naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani mzuri kwa kuanzia maisha from Zero?

    Wakuu habari za muda huu! Baada ya kukaa nyumbani muda mrefu nikifanya kilimo cha kutegemea mvua, mwaka huu kilimo kimeniangusha sana na hata miaka iliyopita mara zote mavuno yalikuwa tofauti na matarajio hivyo nimeamua kuachana na kilimo kwani sioni hatima ya maisha yangu ikiwa tofauti na ya...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba dada wa kazi

    Mwanza kisasa Mshahara 40 Mtoto 1 0717601531
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri simu ya kununua kwa bajeti isiyozidi 750k

    Habari wakuu. Kama heading inavyojieleza, naomba ushauri kuhusu simu ninayoweza kuipata kwa bajeti isiyozidi laki saba na nusu (750k) Binafsi ninapendelea brand ya samsung na xiaomi
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hawa recrutamento ni kina nani?

    Habari wakuu. Kuna hii sms imekuja asubuhi whatsapp kama mnavyoona kwenye screenshot 👇 Nimejaribu kufungua link ikakataa... Yani wanatoa ajira za muda mfupi na za kudumu kwa mshahara wa Tsh 50,000 hadi 500,000. Niliposhangaa wanalipa kwa siku
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza upatikanaji wa ajira za mortually attendant

    Wakuu habari Leo nimeona Tangazo chuo cha Bugando wanatarajia kutoa mafunzo ya mortually attendant Nauliza vipi upatikanaji wake wa ajira kwa anayefahamu atujuze
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kuuziwa mbwa kwa bei ya kawaida

    Salaam wanabodi, Ndugu zangu hasa kwa wale wapenda mbwa wenzangu watanielewa uchungu wakupoteza mbwa. Leo ni siku ngumu sana kwangu kwani nimefiwa na mbwa watatu kwa mpigo ndani ya siku mbili nikahisi kuchanganyikiwa. Mbwa walionesha mwenendo usioridhisha kiafya kwa takribani kama wiki moja...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kumfahamu Reccep Tayyip Erdogan na Uturuki kwa ujumla

    Nilikuwa namchukulia mwepesi kwa wakubwa wa ulaya kama Romania au Estonia tu. Ila naona kama inabidi nimtafakari mara mbili mbili; Alipinduliwa na ghafla mapinduzi yakazimwa, walioshiriki wote wamesakwa jeshini na wameshakamatwa. Alifika mpaka tz huyu mtu, sijui alimwambia nn jpm lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya English Gold & pure gold

    Wadau, hasa wale wa mambo ya urembo hv vitu viwili nimekuwa nikivisikia sana na mpaka leo sijajua utofauti mkubwa ni upi maana Kuna mama mmoja aliwahi kunionesha Pete zake 2 akanambia moja ni English Gold na nyingine na gold Ila nilizicheck yaaan zinafanana sana ung'aaji wake na vitu kibao...
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu samahani nilikuwa sipo mjini hivyo naomba kufahamu Kama banda la kujifukiza Bado lipo?

    Wakuu lile banda pale Muhimbili Bado lipo la kujifukiza naomba kujua maana naskia mzee wa Chapa ilale mara ya mwisho aliingizwa kwenye banda na ndo ikawa Mwisho wake. Nipo huku nje ya mji nipeni Update wakuu.
  10. JamiiForums Tanzania Naomba tushiriki kuwatakia heri Makomandoo wetu Adamoo na wenzake Mungu awape afya njema na nuru uraiani

    Jamani sina mengi nimewiwa kushiriki kuwatakia heri hawa makomandoo walimu na wazalendo, wawe na heri ya afya na nuru njema ya Maisha uraiani. Karibuni Sana Mungu awabariki note.
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu jinsi ya kuagiza bidhaa Amazon

    Msaada ndugu zangu naomba mnipe procedure za kuagiza bidhaa kwa kutumia Amazon. Wana free delivery au?
  12. JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kwenda Chuo cha Ufundi Arusha, naomba muongozo

    Habari zenu wakuu, Nimechaguliwa kwenda chuo Cha ufundi Arusha (ATC), sasa nilikuwa naomba muongozo nini cha kufanya kwasababu nimeingia kwenye website yao siielewi. Napiga simu haipokelewi. Nilikuwa naomba msaada wenu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Member mpya naomba mnikaribishe

    Habar wakubwa humu jf naomba mnikaribishe member mpya hapa the War machine
  14. JamiiForums Tanzania Mimi naomba Ushauri Bibi Yangu yupo na watoto 09 wote are Mutured hila wanashindwa kumlipia bill zake zote.

    Wakuu hiko hivi I have a Grandmother Called Bibi Haya Kufupisha story siku ya Eaid Nilipewa taarifa kutoka Bukoba kwamba Bibi Hana Mboga ya Eid so niliombwa kutuma pesa kias Flani hivi kukamilisha Mlo mujarabu wa Eid. Kiufupi nilimtafta Jamaa yangu mmoja yupo kijijini mahali anapokaa my Bibi...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike wa awe mstaarabu n.k

  16. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, girl friend wangu amepata ujauzito miezi 3 baada ya kujifungua

    Wakuu, naombeni ushauri wa kitaalamu, mpenzi wangu alijifungua mwezi Januari mwaka huu. Mwezi wa 4 katikati akaomba game kwani ameimisi muda mrefu(hatuishi pamoja). Ajabu mwezi huu hajaona siku zake na ameenda kupima amekutwa na mimba tayari. Naombeni ushauri, je hii mimba anaweza kuibeba na...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba Uzoefu wa zao la nazi

    Kwa haraka haraka nimeambiwa hiki kilimo kina lipa. Naambiwa shina Moja la Nazi linatoa Nazi 15 hadi 20 kila baada ya miezi 2. Ukiwa na mashina 1,000 una Nazi 15,000. Ukiuza kwa 600 kila Nazi ( 1,500 x Shilingi 600) ni sawa na Shilingi 9,000,000 kila baada ya miezi miwili. Wastani wa...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba maelezo ya huyu kiumbe wa ajabu

    Kwa mara ya kwanza nimeona kiumbe wa ajabu, anaitwa "AXOLOTL" Naombeni maelezo ya kiswahili kumuhusu. Kwa haraka haraka nimesikia ukimkata kiungo fulani cha mwili (mguu etc), eti kinaweza kuota kingine baada ya muda fulani. Kama hilo ni kweli kwanini wana sayansi wasifanye sayansi zao...
  19. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa computer naomba kujua kuhusu "HP laptop"

    Nimeona kuna computer nyingi sana aina HP, ususani nataka kujua kuhusiana na izi laptop aina ya HP, nataka kujua zipi lianza kutoka mpaka muda huu zipi ndio zipo updated sokoni, (hapa nataka kueleweshwa mfano kama ulivyo Iphone, ilianza iphoe1, ikaja iphone2, ikaja iphone3, ikaja iphone4...
  20. JamiiForums Tanzania Nina Ordinary Diploma ya Maendeleo ya Jamii, kwenye mfumo wa ajira portal hii ndo inaitwa Diploma/FTC naomba msaada?

    Habari zenu wadau ivi kwenye mfumo wa Ajira Portal ile Diploma/FTC ni special kwa mtu aliye na kiwango kipi cha elimu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…