Hawa recrutamento ni kina nani?

Hawa recrutamento ni kina nani?

Risen man

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
20,000
Reaction score
54,077
Habari wakuu.

Kuna hii sms imekuja asubuhi whatsapp kama mnavyoona kwenye screenshot 👇
Screenshot_20220523-210435.png

Nimejaribu kufungua link ikakataa...

Yani wanatoa ajira za muda mfupi na za kudumu kwa mshahara wa Tsh 50,000 hadi 500,000.

Niliposhangaa wanalipa kwa siku
 
Ndo akina mbuzi hao wanataka kula kwa urefu wa kamba zao!
 
Daily salary, Mshahara wa siku fifty hadi mia 5 man si wangejazana ndugu zao tu.
 
Back
Top Bottom