Naomba kuuziwa mbwa kwa bei ya kawaida

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,283
3,274
Salaam wanabodi,

Ndugu zangu hasa kwa wale wapenda mbwa wenzangu watanielewa uchungu wakupoteza mbwa.

Leo ni siku ngumu sana kwangu kwani nimefiwa na mbwa watatu kwa mpigo ndani ya siku mbili nikahisi kuchanganyikiwa. Mbwa walionesha mwenendo usioridhisha kiafya kwa takribani kama wiki moja hivi nimepambana lakini haikua bahati yangu.

Mbwa wangu walikua ni mchanganyiko wa shepherd na local lakini niliwapenda sana siwezi ishi bila mbwa kwani ninaisha mashambani na mifugo, sio vema mtu mzima kuomba lakini ukweli ninashida sana ya mbwa, lakini kwa dharula hii ilionikuta sijajiandaa.

Nafahamu mbwa ni gharama lakini sijajiandaa, shida yangu ni jike na dume ila offer yangu ni 100,000 kwa wote.

Samahani local hawanifai walau wawe wamechanganyika,

Plz mwenye kunisaidia tafadhali,

Natanguliza shukirani.
 
kwa bei hiyo hupati mbwa, hata kama ni puppy wa miezi 3, chanjo tu zinazidi hiyo offer yako labda mpate rafiki akupatie tu kama zawadi. Changamoto nyingine ikiwa utapata mbwa hawa wa kizungu kama shepherd, Rottweiler, borebull, nk kama anapotoka hakuna mifugo jiandae na msiba mwingine. Kama ni mbuzi, kondoo, kuku kila siku utaokota mizogo. Mbwa watatu kufa ndani ya wiki kuna shida mahali na ugonjwa unaoweza kuua mbwa wote ni Pavo pekee hayo mengine unaweza tibu. Au la sivyo walipigwa sumu ya polepole.
Pole dog lovers mwenzangu mimi mbwa ni sehemu ya familia ninao Rottweiller 4, jike 2 na dume 2 napiga hela tu. Bila millioni huwa siuzi mtoto wa mbwa kabisa na kadili anavyokuwa bei inapanda
 
Sijakuelewa hapo,unamaanisha mifugo kama mbuzi inapelekea maradhi kwa mbwa ama mbwa wataua mbuzi
 
kwa bei hiyo hupati mbwa, hata kama ni puppy wa miezi 3, chanjo tu zinazidi hiyo offer yako labda mpate rafiki akupatie tu kama zawadi. Changamoto nyingine ikiwa utapata mbwa hawa wa kizungu kama shepherd, Rottweiler, borebull, nk kama anapotoka hakuna mifugo jiandae na msiba mwingine. Kama ni mbuzi, kondoo, kuku kila siku utaokota mizogo. Mbwa watatu kufa ndani ya wiki kuna shida mahali na ugonjwa unaoweza kuua mbwa wote ni Pavo pekee hayo mengine unaweza tibu. Au la sivyo walipigwa sumu ya polepole.
Pole dog lovers mwenzangu mimi mbwa ni sehemu ya familia ninao Rottweiller 4, jike 2 na dume 2 napiga hela tu. Bila millioni huwa siuzi mtoto wa mbwa kabisa na kadili anavyokuwa bei inapanda
Japo picha ya mbwa wako
 
Sasa hapa unamlingishia jamaa au niaje.
Maana jamaa ameshaeleza kuwa hana hela, hilo moja.
Anachotaka ni msaada wa mbwa wawili kwa lakimoja.
Anajua mbwa wako bei juu ila kaomba asaidiwe tu kwa laki.
 
Back
Top Bottom