Kwanza, mafuta bei yake iko chini huko Zanzibar. Pia maisha ya Wazanzibari ni nafuu mno kwasababu hakuna mfumuko wa bei.
Pili, ukitupia jicho kwenye umeme bei iko chini na ni karibu na bure. Mwaka huu rais wa visiwa hivyo alitangaza kuwa nguzo za umeme itakuwa bure
Tatu, mwaka wa mwisho wa...
Leo nimehudhuria msiba wa waluguru nimeona mambo ya kushangaza naomba mnisaidie maelezo.
Mtu amefia nyumbani kwake tena chumbani kwake anapolala na mke wake.
Sasa kwakuwa marehemu ni muislam wameamua kupitia mila ya waluguru kumuosha mwili wake mulemule chumbani.
Kilichotokea wamechimba shimo...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la hojaji kuhusu uhusiano kati dini ya mtu na IQ yake, dini ya mtu na longevity?, dini ya mtu na udikiteta, na IQ ya mtu na elimu yake, na mwisho ni IQ ya mtu na kudanganyika kirahisi. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling factors.
Haya ni maswali valid...
Nakumbuka nilipokuwa na umri wa miaka 6 hivi, niliwahi kuugua sana sana. Baada ya muda, kuona kwangu kukawa kwa ajabu.
Nilikuwa naona vitu viwiliviwili quite exactly! Kama mapacha waliozaliwa kutokana na yai lililogawanyika, kiasi kwamba mlangoni nilikuwa najigonga kwa kukosea mlango.
Kila...
When I die , I wish to be buried at Kinondoni and not Bukoba
Thank you
Why Kinondoni ? Is place where my Best friend And sibling buried Dr Ndibalema Alphonce , This man was the lecture of Udsm so he taught me various issue about Life and how I can deal with this thug life done by our leaders...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Kuna hivi vifaa:
Naomba kujuzwa ni amplifier za nini, japo nimekuwa nikihisi ni za mitambo ya broadcasting japo sina hakika.
Lakini pia kwa mwenye uhitaji nimuuzie kwani sina kazi nazo.
Juzi nilihoji humu juu ya sintofahamu kuhusu Sera ya ulinzi shirikishi!
Nilisema ulinzi shirikishi mijini kinadhalia inawezekana lakini kivitendo haiwezekani! (Niliainisha sababu ikiwemo upigaji wa michango ya ulinzi na ukubwa wa maeneo)
Panya road ni vikundi vinavyoratibiwa na watu kwa...
Mimi BabaMorgan ni mshamba licha ya kuwa nimezaliwa jijini(Amana Hospital-Ilala) huko Dar es salaam ila kwa sasa naishi huku kaskazini magharibi ushamba wangu unaanzia kwenye lafudhi licha ya kuzaliwa Dar es salaam kitu cha kustaajabisha nina lafudhi ya kisukuma na ulimi mzito kiasi kwamba...
Wandugu wapendwa;
Naikumbuka hiyo filamu yenye mafunzo mengi na yenye kuburudisha ilichezwa mwanzoni mwa mwaka 2000, waigizaji ni wabobezi, wacheshi na wabunifu sana kutoka Chuo cha Sanaa Bagamoyo wakati huo, ilikuwa inaonyeshwa na Mlimani TV, mwenye nayo tafadhali tuburudike pamoja naomba...
Nimekuwa na shida ya macho yenye uoni hafifu kwa miaka kama mitatu sasa siwezi kuona maandishi madogo hata nikitumia lenzi yeyote ya miwani nilienda CCBRT waliniandikia dawa nyingi lakini nilipokuwa nameza sikupata nafuu nikaamua kwenda Muhimili kwa bima niliyokatiwa na mzazi baada ya vipimo...
Kwanza ni kuhusu manyanyaso tunayopata sisi tunaojivutia bhangi. Ni kero katika nchi yetu wenyewe. Polisi wanatunyanyasa sana tumekuwa tunaishi maisha ya wasiwasi, nusunusu,kigugumizi na kudua dua.
Wakikukuta mtu unavuta jani wanakutia jamba jamba na kukutishia ili wapate nafasi wakupore...
Isabela na wenzake 67 wanaushirika kwenye kampuni ya kitalii huko Venezuela. WakiJua kabisa Tanzania invavivutio vingi vya utalii basi wamewiwa kuJa kuwekeza Tanzania kwenye sekta hiyo ya utalii lakin hadi sasa wana machaguo mawili na wasijue nini cha kufanya. Ambayo ni 1.kuanzisha kampuni ya...
Ndugu habari zenu Mabibi na Mabwana
Kwa kudra za Allah naamini hata walio wagonjwa watapata nafuu na kupona na walio Magerezani watapata kutoka:-🙏🙏🙏
On my point
Kiufupi hali ya Maisha Ni ngumu sana Kuna high cost of living mainly kwenye bidhaa muhimu Kama Foodstuffs
Wazo langu Ni kwamba...
Habari wana JamiiForums
Nilikuwa naomba kufahamishwa list ya milima ya mikunjo(FOLDS) na milima ya tofali(BLOCK) kwa Tanzania
Nitashukuru kwa ushirikiano wenu
Nilipata changamoto ya kukataliwa Registration namba yangu tangu juzi lakini nimejaribu leo ikanletea neno kua Registration number verification failed nilipo bonyeza option ya ok nikarugusiwa kuapload transcript pamoja na cheti na wakanijazia 100. Wasiwasi wangu ni neno Registration number...
Salaam wakuu. Natumai wote mpo wazima.
Naomba kazi ya Graphic Design kama
• Kudesign logo
• Kudesign business cards
• Kudesign presentation
Yaani kiujumla any design kwa kutumia
• Adobe photoshop
• Adobe Illustrator
Uzoefu wangu ni miaka 2,
Sijafundishwa chuo nimejifunza...
Habari za muda huu ndugu zangu, naomab kujua endapo nitamtumia email mkurugenzi wa taasisi flani ya serikali, je email iyo mfano dg@tcra.go.tz je inamfikia yeye mwenyewe mkurugenzi wa iyo taasisi moja kwa moja na anaisoma au inafikia kwanza kwa msaidizi (secretary wake) the yeye mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.