Naomba kujua tofauti ya English Gold & pure gold

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,383
5,509
Wadau, hasa wale wa mambo ya urembo hv vitu viwili nimekuwa nikivisikia sana na mpaka leo sijajua utofauti mkubwa ni upi maana Kuna mama mmoja aliwahi kunionesha Pete zake 2 akanambia moja ni English Gold na nyingine na gold Ila nilizicheck yaaan zinafanana sana ung'aaji wake na vitu kibao..

Wale wataalam wa madini naomba mnipe Somo hapa tofauti yake ni nini hasa.. Sitaki kwenye mambo za bei nataka sifa, au namna zinavyotengenezwa na materials kwa ujumla.
 
English Gold : ni mchanganyiko wa dhahabu pamoja na madini chuma mengine hasa copper, tin nk
kitahalamu : refers to artificial alloy made of copper (Cu) and some high amount of gold (Au)

Pure Gold : 24 karats gold, signifies 99.9% purity. it does not contain traces of any other metals
 
Kwahyo kuanzia karats 23 kushuka chini kwa pambo lolote lile
Inakuwa ni English Gold..?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom