Naomba tushiriki kuwatakia heri Makomandoo wetu Adamoo na wenzake Mungu awape afya njema na nuru uraiani

Kichwamoto

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
3,353
4,535
Jamani sina mengi nimewiwa kushiriki kuwatakia heri hawa makomandoo walimu na wazalendo, wawe na heri ya afya na nuru njema ya Maisha uraiani.

Karibuni Sana

Mungu awabariki note.
 
Hao jamaa nimewakubali sana ila kun mwenzao uku uraiani anaitwa Kharidi au commando mapenzi..
Yani cjui ilikuwaje nae akawa commando..!!!
 
Mkuu historia yao kwa ufupi ingependeza tuwatambue kwa maslahi mapana ya uzalendo wa Nchi hii
 
Na waendelee kumlinda mwenye meza wetu ili asije teleza na kuvunja miguu baada ya kupiga ile ngumu.
 
Nileteeni Moses Linjenje......!
Watanzania hebu tuacheni utani kwa kweli, hivi huyu Komandoo bado hajaptikana tu?

FAYpIkBXMAocV03.jpg
 
Back
Top Bottom