Natafuta rafiki wa kike wa awe mstaarabu n.k

Rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo, we una mawazo gani, tuone kama yanafaa nikuitie watu wenyewe mawazo mazuri mazuri.

Sio uwe na mawazo ya kifunza funza halafu utake kubadilishana na watu, ukae tu na mawazo yako
Daah😂
 
Kwani uko mtaani kwako, kijiweni, kazini kwako vp ujamuona yoyote wa kubadilishana nae mawazo mana waliopo jf ndio wale wale wapo kitaani tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom