naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu makundi ya muziki ya Wenge BCBG na Wenge Musica

    Mimi huwa nasikiliza miziki ya Kicongo lakini sio mjuvi sana wa kudadavua mziki huo. Sasa nimekuwa nikipata mkanganyiko kuhusu Wenge BCBG na Wenge Musica. Naombeni mnijuze, haya makundi yana uhusiano? Na je waliwahi kufanya kazi pamoja? Lipi ni kundi lenye mafanikio zaidi? Karibuni mtiririke...
  2. MTINGIJOLI

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia Zanzibar

    Wakuu nimepata ka-trip kuelekea Zanzibar, katika kutembea kwang kote, sijawahi fika Zanzibar, hii ni mara ya kwanza, sasa naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia (pasiwe gharama sana) sehemu za kwenda kupata kilaji na ku enjoy na totoz, kwa anayefahamu please ningeomba ange-share hapa nipate...
  3. Tadeo Luzwili

    JamiiForums Tanzania Naomba kufaam soko kua soko kisheria linatakiwa kua na vigezo gani?

    Naomba kufaam soko kua soko kisheria linatakiwa kua na vigezo gani?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada kwa mtu yeyote anayefanya kazi ofisi za halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kuna jambo nataka kuuliza!

    Ndugu zangu wana Jamiiforums, mimi ndugu yenu naomba kama kuna mtu yoyote humu anayefanya kaz ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti nahitaji nimfate DM tuzungmze nina shida ya muhimu sana Ahsanteni
  5. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Wapi nitanunua friji la mtumba Mwanza?

    Wakuu bila kuwapotezea muda naomba kujua chimbo ambalo naweza kupata friji za Mtumba imara kwa hapa Mwanza. Asanteni.
  6. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Naomba nijuzwe taratibu za kufuga Chui au Simba

    Wana JF nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Nime graduate sasa, kwa muda mrefu nimemiliki Pit bulls, Doberman na GS. Sasa nataka kwenda wild not tamed, big cats OG. Keeping a lion, leopard or jaguar, is my new dream. The idea of having neighbours lamenting...
  7. Exuberant Boe

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ufadhili wa masomo (ADA YA CHUO)kwa mwenye uwezo binafsi au taasisi.

    Habari zenu wanandugu. Naitwa Sadiki Salumu, mkazi wa Dar se salaam wilaya ya ilala. Nipo chuo mwaka wa pili kozi ya BACHEROL IN MECHANICAL ENGINEERING Samahani naombeni kupata msaada kwa anaefahamu sehemu yoyote au mtu yoyote anaehusika na ufadhili wa masomo ikiwemo Ada maana ninahitaji...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta softwares

    Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia softwares OS na designing softwares Naomba sana wakuu 0744210614
  9. angel_papaa

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu sharing kwenye biashara ndogondogo

    Kabla ya kuingia kwenye share, vitu gani lazima vizingatiwe???
  10. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu ugonjwa huu wa kuku

    Wana JF, Kwanza niseme asanteni sana maana ushauri ambao mmekuwa mnanipa nimekuwa nikiufanyia kazi unanipa matokeo mazuri. Sasa nina changamoto ya kuku wa sasso ambao wana umri wa miezi miwili wamekuwa wakifa hovyo. Dalili wanakunya kinyesi cha rangi kama chokaa,wengine kinyesi ni kama udongo...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mechi ya Yanga na Marumo Gallants naomba kusitokee Msiba wowote wa mwana Yanga

    Nawaomba Yanga SC kuelekea Mechi yao ya Dar es Salaam na ile ya Afrika Kusini dhidi ya Marumo Gallants FC katika Hatua ya Nusu Fainali kusitokee Taarifa ypyote ile ya Msiba wa Mtoto wa Mchezaji au Baba na Mama wa Mchezaji au Mke wa Kiongozi au Ndugu wa Kiongozi au wa mwana Yanga Maarufu...
  12. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kumpima DNA za Mtoto, Naomba kufahamu taratibu za upimaji

    INTRODUCTION Mimi ni mwanaume Nina miaka 33 Ni mtumishi wa Halmashauri moja wapo nchini Nina mabinti wawili wa kwanza miaka 8 na wapili miaka mi3. SCENARIO Binti wa kwanza. Huyu ni mtoto wangu pure, yaani kila kitu ni Mimi. Ni copy ya sura na vitu vingi sanaa. Binti wa pili. Huyu ndio nahisi...
  13. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Nakosa usingizi kwa kuwaza hili jambo, Wazoefu naomba ushauri wenu

    Jamani wanaume wenzangu mimi mcanada nimeoa tayari mwanamke wa kichaga tuna miaka 6 kwenye ndoa na tumefanikiwa kupata watoto wawili katika harakati zangu za maisha nikafanikiwa kuja canada na baadae nikamvuta mke wangu na mtoto wetu wa kwanza wakafika canada na baada ya miaka miwili baadae...
  14. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Ni sawa anayedhaminiwa Mahakamani kulipia fomu ya dhamana?

    Kuna sheria au utaratibu unaotaka mtu anayedhaminiwa mahakamani kulipa hela ya fomu ya dhamana tena kwa watuhumiwa wote.? Huyo aliyesema mahakama ya mwanzo songea.
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba Waziri wa Elimu pita hapa, shule za kutwa kuwe na utaratibu wa chakula

    Mh waziri Elimu inabidi kufanyiwa maboresho katika maeneo muhimu kama haya Wazazi wanabidi kushirikiana na walimu katika kuandaa ustawi bora wa watoto wao ikiwemo swala la shule ambazo ni day schools Kupata chakula cha mchana na Uji. Kwakuwa idadi ya Wanafunzi ni kubwa kila Mzazi/mlezi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba mnishauri kuhusu jambo hili

    T
  17. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada, Screen yaLaptop Ina Rangi ya Pinc

    Tafadhali husika na kichwa Cha Uzi huu. Awali Nilidhani Ni "dark mode" lakini siyo. Nilinunua kwa mtu ikiwa hivyo
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Hatuhusiki na kukatika umeme kwa Mkapa. Alaumiwe waziri wa Utamaduni na Michezo

  19. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Tupac and Jada; Naomba tafsiri ya maneno 'Regal grace'.

    Nilikuwa ninasoma kitabu hiki cha Mashairi ya Tupac. Nimekutana na shairi hili ambalo Tupac akimsifia mwanamke wake Jada. Hapa mwamba anasema Jada alimfanya 'avunje dafu' mara mbili, tena kwa Regal grace. Naomba kujua, hili neno maana yake nini?
  20. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, hivi ni lini wanafunzi waliofanya vizuri mitihani ya form four 2023 watatowa selection ya shule walizopangiwa A level?

    Anajuwa humu kuna wadau wa mambo yote, matokeo ya form four yalishatoka na kila muhusika anajuwa ana division gani. Sasa nataka kujuwa ni lini serikali itatangaza selection ya shule za serikali kwa waliofanya vizuri?
Back
Top Bottom