naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye alarm ya kipindi Cha michezo rtd aniwekee hapa

    Kama Kuna member anaweza kunisaidia aniwekee hiyo sauti hapa jukwaani nitashukuru
  2. IN JESUS WE TRUST

    JamiiForums Tanzania naomba msaada

    hivi Naweza badili coz maana nmepangiwa DIT na serkali Naweza badili kama nkifika chuo inawezekana🤔
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kwa anayetumia majiko haya ya induction je yanafaa kwa uchumi wa kitanzania

    Inasemekana ndio majiko bora zaidi duniani na salama kuliko majiko yoyote yale, kwa anayetumia atujuze kuhusu sisi wanyonge, je yanatufaa?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Naomba connection ya mfugaji wa kuku wa mayai anayeweza kuniuzia trey 50-100 kwa wiki Dodoma na Morogoro

    Salaam wana JF, Naombeni connection ya mfugaji wa kuku wa mayai (layers) aliyepo DODOMA au Morogoro anayeweza kuniuzia trey 50 hadi 100 kwa wiki moja tufanye kazi. Nipatieni tu mawasiliano, nitampigia na kumfata popote alipo anipe mzigo kwa gharama zangu. Ahsante
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kuna kiashiria chochote cha tabia kwa mtoto anayenyonya kidole?

    Ndo hivyo wakuu, naomba nisaidiwe hilo!. Najua kuna wataalamu na wazoefu wa kung'amua tabia humu. Mtoto ni wa kike, still todler (2+ yrs). Mtoto huyu halali kama hajanyonya kidole chake gumba cha mkono wa kushoto huku mkono wa kulia akiutumia kumfinyafinya mama yake (au yeyote aliyemshika). Na...
  6. The Eric

    JamiiForums Tanzania Naomba wanaume tuje tubuni mbinu mpya za kuomba namba za simu.

    Salaam! Imani yangu inaniambia Jf wengi wao ni watu mordenized ones......kwa heshima hii nawapa. Sasa naomba wakaka wa kisasa tubuni namna ya kuomba namba kwa hawa wadada. Hizi ni tabia za kijinga kwa wakaka washamba na limbukeni. 1. Kila demu anayepita unajeuza shingo au kumtolea mimacho...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Leo Juni 29, 2023 Ofisi za Serikali zipo wazi?

    Habarini wana JF, Hivi leo Alhamisi Juni 29, 2023 Ofisi za Serikali zipo wazi, au bado ni Eid Al Hajj?
  8. eze malongo

    JamiiForums Tanzania Naomba kumfahamu vizuri Shaaban Robert

    Ndugu zangu hivi history ya mwandishi nguli hapa Tanzania Shaaban Robert imehifadhiwa wapi? Nimesikia alifanya makubwa sana katika sekta ya Lugha lakini watu hawamuenzi ipasavyo, tasnia ya lugha hamzungumzii kwa lolote licha ya vitabu vyake kufanya vizuri A level secondary lakini ni kama...
  9. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Wimbo flan umetend Sana TikTok naomba msaada kuupata

    Nimejarib Kila namna kuupata lkn wahsika wanaoucheza n hawa Sina hakika kama wanaonekana sawasawa
  10. mwaibile

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

    Wadau kuna demu wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa naomba ushauli wenu fafadhali
  11. F

    JamiiForums Tanzania Naomba tofauti ya Rasilimali zifuatazo...

    Naomba kutofautishiwa au tafsiri ya maliasili hizi 1: Pori tengefu 2: Pori la akiba 3: Hifadhi ya misitu Asanteni Sana kwa ufafanuzi sahihi
  12. T

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri kabla sijanunua Hilux surf ya mwaka 1994 yenye engine ya 1KZ-TE

    Habari wataalamu, Ninatafuta gari kutoka Japan ambayo ni ngumu ya miaka ya 90s, inavumilia shida na inavumilia safari ndefu za mara kwa mara, na inayotumia engine ya diesel. Baada ya kufanya research kwa muda mrefu na kufanya cost benefits analysis kwa muda mrefu niligundua Hilux surf ya mwaka...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar

    Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika. Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Designer au supplier wa T-shirt ya "Tunatangazwa bure "Burj Khalifa" tafadhali sana naomba kujua nitaipataje?

    Leo katika pitapita yangu nimeona Mtanganyika mwenzetu kavaa Tshirt imeandikwa "Tunatangazwa bure Burj Khalifa", nikashindwa hata kupiga picha, hata kumpata kwa haraka sababu nilikuwa nadrive na wakwe zangu na taa ziliruhusu, kwa hiyo nikashindwa kabisa ila nimefarijika sana kwa ujasiri ule...
  15. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri Ninunue Bajaji au IST Nifanye Uber/Bolt

    Wakuu salaam, Naomba ushauri wenu aisee maana ni wiki sasa najaribu kudadavua kipi ninunue kati ya Bajari au Gari aina ya IST kwaajili ya biashara ya huduma ya usafiri hapa mjini kupitia Bolt na Uber, mbali na hilo ntakuwa nafanya mishe zingine kupitia chombo nitakachonunua sasa naomba wenye...
  16. The bump

    JamiiForums Tanzania Nahitaji LOGO ya Biashara, Motion na Logo ya kawaida Wakufunzi wa After Effect naomba mnisaidie

    Biashara yangu ina Jina lakini haina Logo nimekua nikiwaza kuhusu hili muda mrefu lakini sikua nalipa kipaumbele sana ila sasa naona linaelekea kuni cost huko mbeleni. Sina pesa wakuu naommba yeyote ataechukua MUDA wake kunipa design nzuri ya LOGO zile za motion kama maandishi ya ITV...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu barua ya kurejeshwa upya kazini

    Habarini, Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji uliopo. Sasa kuona tangazo ni ishu ukiliona leo mpaka baada ya miezi au mwaka pia nafasi ni chache...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Toyota Passo

    Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Toyota Passo Naomba kufahamu ubora na changamoto za Passo. Picha: Toyota Passo
  19. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke analeta wivu, ikiwa alikataa aliotongozwa?

    Kwanini unakuta unamtongoza mdada na unampenda kweli, ila anakukatalia ila muda umeanzisha mahusiano mengine analeta hisia za wivu au kutaka kukuharibia wakati yeye alikuwa kataa
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa tumewakataa DP World kuwekeza Bandarini, naomba tuwaruhusu sasa Wawekeze katika Akili zetu zilizolala

    GENTAMYCINE nina uhakika wa100% kuwa ile nguvu Kubwa iliyotumika kuwakataa Wawekezaji wa DP World ingetumika katika Kupinga Matatizo Makuu Saba ( 7 ) yanayoikabili Tanzania na Watanzania ya Upumbavu, Maradhi, Umasikini, Ushamba, Roho Mbaya, Wivu na Unafiki leo hii Tanzania ingekuwa mbali sana...
Back
Top Bottom