Naomba msaada wa ufadhili wa masomo (ADA YA CHUO)kwa mwenye uwezo binafsi au taasisi.

Exuberant Boe

New Member
May 7, 2023
4
3
Habari zenu wanandugu. Naitwa Sadiki Salumu, mkazi wa Dar se salaam wilaya ya ilala.

Nipo chuo mwaka wa pili kozi ya BACHEROL IN MECHANICAL ENGINEERING

Samahani naombeni kupata msaada kwa anaefahamu sehemu yoyote au mtu yoyote anaehusika na ufadhili wa masomo ikiwemo Ada maana ninahitaji msaada wa kusaidiwa ada nimekwama mwaka wa pili..

Nasoma bila mkopo wa serikali,kwa mwenye uwezo au msaada zaidi ntashukuru.
 
Back
Top Bottom