Habari wakuu naona kuna utitili wa hizi xtrail new model mjini hapa Dar tafadhari naomba kujua kama na zenyewe zina changamoto kama ya zile za mwanzo! Nataka kujitwisha
Consumption ya mafuta ikoje?
Habari za wakati huu wanajukwaa,
Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne Alipata ufaulu wa Division 2 na alisoma masomo ya Sanaa(arts) Kapata selection ya chuo cha uhasibu Dar es salaam (TIA) lakini kwa uchumi wangu sasaivi sijasimama kwaio itakua changamoto kidogo kumudu ada ya 890,000/= kwa...
Kuna moja hiyo nimeisikia na Kabambe sana ( japo nakataa Kuiamini nikijua TISS si Makatili na Wapuuzi ) hivyo nawatahadharisha wale Wenzangu na Mie Wapenda Kugombea Mbunye za Baa kuwa ukigundua tu unayegombea nae Mbunye ni wa Kitengo ( TISS ) mwachie tu hiyo Mbunye na tafuta nyingine kwani...
Ikitokea mbuzi amekula mboga mboga bustanini bas kuna asilimia kubwa ya hizo mboga kukauka au kuendelea kusurvive kwa shida na hatimae kufa ila ng'ombe akila hakuna kitakachotokea nini kinasababisha hilo?
Habarii great thinkers,
Naomba assistance Kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu. Natafuta room ya kupanga iwe na choo ndani(single self) mazingira yawe na usalama Nahitaji kuhamia harak sana. Yoyote mwenyej taarifa kindly assist me Natanguliza shukrani 🙏
Hivi,
1. Kama bandari inabinafsishwa gati na 5 hadi 8 na kuachwa gati namba 9 hadi 11 kwanini kelele ziwe nyingi kiasi kwamba ni bandari yote inauzwa?
2. Kama huyo anayekuja anakuja kuboresha miundominu na utoaji huduma sasa mbona wafanyabiashara ndio wanapiga kelele hawataki kabisa kwani si...
salamu wakuu..
naomba kuuliza mtoto amefaulu kidato Cha nne kapata divishen 2 masomo ya sayansi yote kapata c kasolo bailoj kapata A
ndoto zake anatamani kuwa eiza awe rubani au injinia akikosa sana awe daktari
sasa wadau kwaufaulu wake Hapo itawezekana malengo yake ili nimpambanie?
Habari wanaJF,
Naomba kujua utofauti wa kazi au majukumu ya afisa mipango(Planning officer) na mchumi kwenye maeneo mbalimbali ya halmashauri au taasisi mbalimbali za serikali.
Anayefahamu naomba anijuze.
Habari ndugu wadau!
Naomba mwenye ABC Kuhusu masuala ya urubani atusaidie kujibu kwa ufafanuzi machache kuhusu ndege inavyoruka na kutua.
Pamoja na mengine; Naomba ufafanuzi
1. Kazi ya kifeni kule mbele kulikochongoka ni nini?
2. Je ndege inayoruka ndani ya Tanzania inatakiwa kutembea umbali...
Wasalaam,
Habarini wajameni, kwa wiki mbili ntakuwa safarini tanga got some friends from Ethiopia, Europe and Uganda a crew of 15 Baharia tunafanya regionwise city beak travels, and our exploring trip bogins with tanga, naombeni kujua maeneo recent yenye vyombo vikali.
Hawa wageni nataka...
Habari za wakati ndugu zangu waungwana,
Naitwa Mbota Matari, nilihitimu kidato cha sita miaka michache nyuma, kwasababu kadhaa kwa wakati huo sikuweza kwenda JKT- kwa mujibu wa Sheria.
Kwasasa ninatamani kwenda kupata mafunzo hayo kwani ni muhimu ili niweze kuweka mazingira mazuri ya kozi...
Mimi ni ngeni ktk kata ya Kifanya, nilibahatika kupata mashamba ya miti na baadae kuongeza ya parachichi. Eneo nililoongeza lipo kijiji cha mikongo njia ya kuelekea songea.
Altitude yake ni m800 mpaka m1200.
Je eneo hilo ndizi zitafanya vizuri? nimeona mashamba ya ndizi za moro zile fupi...
Ukiwa mwanachama wa bima ya afya umewaunganisha baba, mama na watoto ikatokea mume au mke mmeachana ukataka kumtoa kwenye mfumo wa bima mbona wanakata mpaka uende mahakamani uape.
Hapo vipi?
Golden tz - Lonely.
Kama inavyoonekana hapo juu, Msanii anaitwa Golden tz na wimbo unaitwa Lonely. Frankly kwangu ni wimbo mkali sana Ila nimejaribu kuutafuta kwenye platforms mbalimbali sijafanikiwa kuupata.
Kwa mara ya kwanza niliusikia Clouds FM siku kama mbili zilizopita kwenye kipindi...
Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.