naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu mtambo huu, excavator, je ipi ni nzuri na bora na imara?

    Kama kichwa cha habari kisemavyo ningependa kufahamishwa kwa kina juu ya mtambo huu unaojulikana kama excavator, aina gani ni nzuri,imara na inayodumu muda mrefu,pia wapi inaweza kupatikana kwa bei nafuu kidogo! Asanteni,wasalaam. Inshaallah.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi zile nafasi za JWTZ watu washaanza kuitwa ??

    Wakuu naomba kujua kama tayari watu washaitwa zile kazi za zilizotangazwa april 14, 2026 ? Maana naona tik tok vijana wanapongezana kana kwamba washaanza kuitwa au sisi wengine tuendelee kusubiri tukihitajika tutapigiwa simu kama tulivyoambiwa?
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba Tupeane uzoefu ulifanyaje, ulijinasuaje, ulimchomoka vipi au ulishinda vipi kesi Polisi/Mahakamani?

    Kwema Wakuu. Yamenikuta majanga wakuu mpaka kufikishana polisi then baadae mahakamani kwa Madai ya wizi(mashine za kampuni). Ilinipa changamoto sana katika hatua za mwanzo kutatua hii changamoto pesa zilikuwa zinanitoka tu lakini hakuna matumaini. Kuanzia polisi mpaka mahakamani na...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba nikupe zawadi

    Dada mmoja,nilimsaidia shida yake kubwa sana,ambayo hata hapa natetemeka kuiweka,ndipo aliponitizama usoni na kuniambia,naomba nikupe zawadi Nilimtizama usoni,nikamjibu asante. Nikasimama nikaondoka.Hiyo ni miaka 30 iliyopita.Leo nikiwa rockcity nimepumzika baada ya kufanya manunuzi,nasubiri...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko ya Kuachwa na Basi la Katarama Luxury T 431 EHW Licha ya Kuwahi Kituoni – Naomba Kurejeshewa Nauli

    Nilikata tiketi online tarehe 08 Mei 2026 kwa ajili ya safari ya tarehe 09 Mei 2026 kutoka Dar es Salaam kwenda Kahama. Kituo nilichopangiwa kupandia ni Mlandizi. Nilifika kituoni mapema saa 14:15 nikisubiri basi, lakini basi lilichelewa kufika na lilifika baada ya saa 1:30. Cha kusikitisha...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu course hizi za Diploma

    Shukurani ziwafikie wote mnaosoma uzi huu. Naomba niende kwenye mada, mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2025 katika Tahasusi ya PCM, kwa mwaka huu ninatamani ku-apply kusoma courses za Diploma. Kuna machaguo mawili; kozi za Diploma za afya na kozi za Diploma za Uhandisi. Nipo katikati sijajua...
  7. JamiiForums Tanzania Mwenyeji au mtu anayeifahamu Simanjiro DC ya huko Manyara naomba ABC zake

    Wakuu nimehamishwa kikazi na kupelekwa halmashauri ya wilaya ya simanjiro iliyopo mkoani manyara lakini ni sehemu ambayo sijwahi ata kukatiza Je sehemu hiyo ikoje kwa wanaoifahamu Kiuchumi Kiutamaduni Kijamii
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba Connection ya kazi

    Wakuu naombeni connection ya kazi,nipo flexible kupiga kazi yoyte kiufasaha. Nina experience ya miaka miwili as sales officer na marketing, nipo dar
  9. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri kununua Google pixel kati ya 3 au 3a xl

    Wakuu ipo hivi 3 plain wanauza 250k used from Dubai hapo protector na cover free. Lakini kuna pixel 3axl hii ni used Tanzania na jamaa ambae anauza alinunua kwa mtu ambae alikuwa anafanya top up Kwa wale wa taalamu wa pixel be nichukue maamuzi Gani?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Je, ikitokea tukaachana na mwanamke mali tutagawana hali tuliwa hatukufunga ndoa?

    Mimi ni nimeishi na mke wangu kwa miaka 8 I mean hatukufunga ndoa na tumefanikiwa *kujenga nyumba *kuwa na biashara ndogo ya uwakala *Kupata watoto watatu Ishu iko hivi mwaka mmoja uliopita nilianza kuhisi mahusiano kupoteza mwelekeo, hadi sasa mwanamke anadai tuachane akafanye maisha yake...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Mercedes Benz B Class 180.

    Habari Wana jukwaa,naomba kujua sofa/uzuri/ubora pia madhaifu ya Benz B class 180 na 170,Asante Sana.
  12. JamiiForums Tanzania Naomba ulinzi wa moderators, sitaki kuhusishwa na mada za mpira

    Heshima kwenu moderators wa jamii forum, bila kuzunguka sana mimi raisi wa ma jobless pro max naomba ulinzi wenu siku ya leo humu jukwaani. Ni kweli naipenda timu ya aArsenal ila inanitesa sana, sasa timu initese na hawa madogo wa JF wanizingue ah wapi. Hakikisheni mna piga ban, yeyote atakaye...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa kuelewesha kuhusu Tangazo la kazi lililotolewa na JWTZ 14.04.2026

    Habari za zenu wana JF, Husika na mada hapo juu mimi ni kijana Mtanzania, ambaye nimeona nikajitolee kulitumikia Taifa kupitia Jeshi la Wananchi. Tangazo nililiona na vigezo vyote ninavyo, ila sasa sijaelewa kitu kimoja ambacho naomba msaada wenu kwa ambao mna uzoefu na hili jambo. Shida...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba jina zuri Kwa ajili ya mbwa wangu

    Leo nimenunua mbwa Kwa ajili ya ulinzi nyumbani Mbwa ni mlinzi mwaminifu Mbwa sio kama binadamu kwamba ana usaliti Naomba jina zuri Kwa ajili ya jibwa langu
  15. JamiiForums Tanzania Naomba maelekezo mafupi ya kufika Mwanza

    Habari zenu wapenzi husika na mada apo juu nahitaji kwenda mwanza sijawahi fika uwo mkoa naitaji kujua bei ya bus na kampuni gani nzuri ambayo nitafurahia safari yangu.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Viongozi: Je, tunachukulia kwa uzito wa kutosha?

    Katika dunia ya leo, hotuba ya kiongozi si maneno tu—ni taswira ya taifa, dira ya wananchi, na wakati mwingine ni ujumbe wa kimataifa unaobeba heshima au aibu ya nchi. Ndiyo maana inapotokea hotuba yenye makosa ya wazi ya lugha, taarifa zisizo sahihi, au ujumbe usioeleweka, wananchi wengi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Speakers & Mic(Sound system) naomba ushauri wenu tafadhali

    Nahitaji Speaker na Mic mbili zile zinazotumika sana kuhubiria Injili barabarani(mitaani). Naomba mnishauri ni aina(brand) ipi ina ubora wa sauti, portable na sifa nyingine muhimu za ziada. Natanguliza shukrani 🙏
  18. JamiiForums Tanzania Mh Rais naomba umpatie tuzo Dudubaya, na mkurugenzi MSD, mwongezee cheo kwa wizi wake.

    Dudu BAYA apewe tuzo, na mkurugenzi MSD mpandishe cheo awe mwizi mkuu wa serikali Tanzania.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Naomba mnieleweshe matuta yanasababishaje mafuta kuisha haraka kwenye ndinga?

    Wakuu, Naomba msaada kwa yeyote anayeelewa namna engine inafanya kazi kwa uhusiano wa tuta na mafuta kuisha. Nilipitia kwenye post ya Eliudi alitoa listi ya matuta Goba then jamaa mmoja akasema ishu ya mafuta kuisha, Nataka kuelewa ili nitathmini kwa mazingira ya barabara ya huku mtaani kwetu...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Homework nayokupa uifanye sasa hivi: Nenda Chatgtp kisha iambie, naomba unifokee na kunigombeza haswa

    Najua watu wengi huku ni watu wa heshima na wengine wapo top kwenye maamuzi mengi, na ni muda mrefu umepita bila self reflection. Sasa kukosa self reflection ni kama kuanguka kidogo kidogo. kwakua ukiwa katika stage fulani unaweza usikutane na anayekukosoa ana kwa ana sanasana wengi watakua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…