naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kwa hili

    Hiki kinachoendelea kwenye taasisi zetu ni nani anafanya na anafanya kwa ajili ya nani ? Mbona mwanzo ajira zilikuwa zinatolewa nyingi sana hatukuona haya yakifanyika au kuna mabadiliko mimi ndio nimepitwa na wakati? Nina ushahidi shemeji yangu mmoja alifuatwa hadi kwao akahojiwa na kurekodiwa...
  2. Morning Joy Motors

    JamiiForums Tanzania Hodi JF , Naomba Mtupokee Sisi Morning Joy Motors!

    Tunawasalimu wote kwa pamoja Ndugu Wana Jf , ni matumaini yetu kwamba nyote mko salama na kwa wale ambao wapo kwenye changamoto ni maombi yetu kwa MUNGU kwamba awafanyie wepesi kabisa. Naam mara baada ya salaam hizi naomba tujitambulishe kwenu Kuhusu Sisi ‎ ‎Sisi ni Morning Joy Co., Ltd...
  3. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Naomba Kufahamishwa Kuhusu Nyaraka Tano Za NSSF

    Naomba kufahamu je, zile nyaraka tano( barua ya kuachishwa, certificate of service na copy ya NSSF ID card)za kuambatanisha kwenye maombi ya mafao ni lazima ziwe na muhuri wa mwanasheria(kuwa certified)!?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri; nimerudi safari nimekuta mke sehemu za Siri zinamuuma na anazichua kwa maji ya moto.

    Baada ya kujichua siku tatu amepona. Hii imekaaje wadau?!!! Maana sielewi elewi tu.
  5. Diccas

    JamiiForums Tanzania Naomba Nafasi ya internship.

    Habari viongozi, nimesoma Accounting with IT nimemaliza mwaka jana, nlikua natafuta sehemu nayoweza kufanya internship kusharpen skills. Kama kuna nafasi sehemu tupeane Deals
  6. H

    JamiiForums Tanzania Naweza kuanzisha biashara gani kwa mtaji wa Milioni 5 kwa mwaka 2026?

    Naweza kuanzisha biashara gani kwa mtaji wa M5 na ikawa na mwanzo na muendelezo mzuri kati ya hizi 1. Soft drinks 2. Nafaka Pia kwa mwenye ushauri wa biashara nyingine tofauti na hizo kwa mtaji wa M5 Mkoa ni MWANZA Natanguliza shukrani
  7. boufer

    JamiiForums Tanzania Nina ADO naomba kazi ya kuuza pharmacy au NURSE kwa Dispensary

    Heri ya mwaka mpya wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza pharmacy au NURSE anicheki, nina cheti cha ADO na nimesoma Medical Attendant, nina uzoefu mkubwa wa hizo kazi zote zilizomention hapo juu, mawasiliano yangu 0672498183, KITUO CHA KAZI KIWE DAR ES SALAAM, asanteni
  8. Afisa_Nkai

    JamiiForums Tanzania Wakuu Naomba mchango wa mawazo yenu kwenye hii research title hapa

    Ni matumaini yangu mko salamaa! Mimi niko salamaa sijui ninyi huko, Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia. Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa kutumia hii title “A Critical Analysis of Abortion Laws in Tanzania and Their Impact on Women’s...
  9. Afisa_Nkai

    JamiiForums Tanzania Wakuu Naomba Naomba mchango wa mawazo yenu kwenye hii research title hapa.

    Ni matumaini yangu mko salamaa! Mimi niko salamaa sijui ninyi huko, Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia. Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa kutumia hii title “A Critical Analysis of Abortion Laws in Tanzania and Their Impact on Women’s...
  10. Humble__

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Miundombinu ya Vyoo na majitaka Majengo ya UDOM kitivo cha Elimu (COED) ni hatarishi kwa wanafunzi

    Nimeona mdau mmoja kachangia kuhusu udom Binafsi nimefika pale hasa hayo majengo ya COED ambayo ndio wanaishi wanafunzi wa TIBA na EDUCATION watoto sio wanateseka na uchache wa sehemu za kulala pekee ambapo kuna vyumba watoto wanalala chini chumba kimoja watoto 10 vitandata vipo vinne Pia...
  11. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, naomba msaada wenu – tegemeo langu la kipato limesimama

    Natumaini mpo salama. Nimeamua kuleta changamoto yangu hapa kwenu kwa sababu jamii forum ni kama familia, na mara nyingi tumekuwa tukishirikiana na kusaidiana katika nyakati tofauti. Mimi ni mjasiriamali ninayejiendesha kwa kazi ya bajaj, ambayo ndiyo tegemeo langu kuu la kipato kwa ajili yangu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bajaj za umeme kwa mikopo na cash

    BAJAJI ZA UMEME KWA MIKOPO NA CASH weka oda Yako sasa Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Nikiwa kama wakala wa mauzo Toka kampuni ya JAHA ELECTRIC VEHICLE INTERNATIONAL COMPANY LTD. Nspenda kuwatangazia kuwa kuna promotion ya bajaji au pikipiki za miguu mitatu zinazotumia...
  13. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Vazi la Taifa naomba liwe kanga kwa mtindo wa uvaaji kama wenzetu Hindu

    Habari Tanzania ! Nimeweka mfano wa picha kwa msaada wa tehama. Mnaonaje tukiwa tunavaa hivi wanaume kwa wanawake kama vazi rasmi la utambulisho kitaifa. Asante.
  14. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania MAMA NAIBU WAZIRI MKUU NAOMBA APEWE HUYU

    mtu pekee anae aminiwa na vijana KWA Sasa ni MIKA CHAVALA basi kama haiwezekani maana si mwanachama wa chama Fulani basi APEWE hata unaibu wa wizara ya vijana.
  15. raizen 50

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye ujuzi na utumishi. Nimepata kazi kwa kigezo cha diploma lakini nina degree

    Habari wakuu nimekuja kwenu kuomba uelewa nimeajiriwa na diploma lakn nina cheti changu cha degree bado sijakichukua chuoni naomba kujua je itachukua muda gan kazini hadi niweze kukitumia cheti cha degree na kisheria ya utumishi pia inasemaje ni kosa au, Kwa anaejua naomba maelezo niweze...
  16. bwawani90

    JamiiForums Tanzania Naomba nchi yangu usije ikaingia kwenye hii orodha

    Pamoja na yaliyotokea Mungu atuepushie. Ingawa hawa walio kwenye orodha waliingia baada ya damu za binadam kumwagikanhuko zamani Wanasiasa wasitupeleke huku
  17. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje?

    Wakuu, naomba kwa anayejua anisaidie. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje? Inapatikana wapi au mazingira au maduka gani kwa hapa Tanzania? asanteni sana.
  18. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Wakuu , naomba ulizia ni basi Gani linatoka mwanza hadi moshi stendi pasipo kuishia njiani Arusha ?

    Kuna mzigo unasafirishwa kutokea mwanza hadi Moshi mjini stendi Msaada wa. Hili !?
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Mmakonde yeyote aliyopo humu naomba msaada wa kunitafsiria wimbo huu, chilambo Cha vene!

    Ni wimbo unaoitwa 'Chilambo Cha vene' uliopigwa na mwamba Halila Tongolanga "Field Marshal". Aisee wimbo umenishika vibaya huo miaka na miaka lakini si mjuzi wa kutosha wa kimakonde hivyo naomba msaada wako wa tafsiri ewe Mmakonde usiye na majivuno..... Natanguliza shukrani, Nawatakia Christmas...
  20. bwawani90

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua shule ya kata/ kutwa jijini dsm ambayo Ina hostel

    Kama ilivyo kwenye heading naomba msaada huu. Nahitaji kujua iwe shule ya serikali ya kwenda na kurudi ila iwe na hostel jijini Dar es salaam
Back
Top Bottom