naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Speakers & Mic(Sound system) naomba ushauri wenu tafadhali

    Nahitaji Speaker na Mic mbili zile zinazotumika sana kuhubiria Injili barabarani(mitaani). Naomba mnishauri ni aina(brand) ipi ina ubora wa sauti, portable na sifa nyingine muhimu za ziada. Natanguliza shukrani 🙏
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mh Rais naomba umpatie tuzo Dudubaya, na mkurugenzi MSD, mwongezee cheo kwa wizi wake.

    Dudu BAYA apewe tuzo, na mkurugenzi MSD mpandishe cheo awe mwizi mkuu wa serikali Tanzania.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Naomba mnieleweshe matuta yanasababishaje mafuta kuisha haraka kwenye ndinga?

    Wakuu, Naomba msaada kwa yeyote anayeelewa namna engine inafanya kazi kwa uhusiano wa tuta na mafuta kuisha. Nilipitia kwenye post ya Eliudi alitoa listi ya matuta Goba then jamaa mmoja akasema ishu ya mafuta kuisha, Nataka kuelewa ili nitathmini kwa mazingira ya barabara ya huku mtaani kwetu...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Homework nayokupa uifanye sasa hivi: Nenda Chatgtp kisha iambie, naomba unifokee na kunigombeza haswa

    Najua watu wengi huku ni watu wa heshima na wengine wapo top kwenye maamuzi mengi, na ni muda mrefu umepita bila self reflection. Sasa kukosa self reflection ni kama kuanguka kidogo kidogo. kwakua ukiwa katika stage fulani unaweza usikutane na anayekukosoa ana kwa ana sanasana wengi watakua...
  5. A teller

    JamiiForums Tanzania Naomba Nielekezwe namna ya kufika idodi, Iringa kutokea Njombe

    Wasalaam Naomba kuelekezwa namna ya Kufika Idodi, Iringa nikiwa natokea Njombe kwa usafiri wa basi. Nipo mapumzikoni Njombe Nimekaa iddle na ningetamani kuhudhuria msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani Mh. William Lukuvi Ahsante.
  6. Dr. Zaganza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hello Kenyans, Naomba contacts za wauza old cosmetics hizi

    Dr Mussa Zaganza: I am looking for these old cosmetics They are sold at Isirii shops : Plaese help me to contacts of sellers My number is : +255 713 039 875 Dr.Mussa Zaganza Pamoja, tunaweza!!
  7. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na hili naomba msaada

    Wakuu nilianza kupata changamoto ya hairline kurudi nyuma japo umri wangu ni miaka 28 nilijaribu kutumia mafuta mbalimbali but sikupata matokeo. Ni kwamba nywele zangu za mbele zimeanza kuondoka. Baada ya kufeli nikaamua kutumia Minoxidil kirkland nakimbilia mwezi sasa but changamoto nayikutana...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu mfuko wa Hatifungani (Bond) wa UTT AMIS

    Eid Mubarak. Naomba kueleweshwa mfuko wa bond wa UTT AMIS. Mfano muwekezaji akiwekeza million 100, gawio lipoje? Na je kuna uwezekano wa mtaji huo wa million kukuwa? Na je hizo bond huiva baada ya muda gani?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Lile dimbwi la pale Police Mbande limefukiwa, tunashukuru kwa wahusika

    Hoja ya awali ~ Barabara ya Mbande - Kisewe Stendi eneo la Kituo cha Polisi kuna dimbwi kubwa la maji linasababisha usumbufu
  10. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi Italy timu kubwa na maarufu na ina mashabiki wengi ipi kati ya hizi Juventus, AC Milan, Inter Milan, AS Roma, Napoli

    Hapa nani mkubwa kuzidi wenzie maana hapo hizo timu huwa sielewagi nani maarufu. Na yenye mashabiki wengi kuzidi zote hapo
  11. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba connection ya Kazi ya udereva

    Habari za wakati ewe Boss au dereva mwenzangu. Naamini chuki husababishwa na hasira basi nakuomba hiyo chuki itoe kwangu unipe connection ya Kazi ya udereva. Mimi ni professional Driver. Nimesoma Basic Driving Veta Cheti ninacho Nimesoma Professional Driver kwenye chuo cha National Institute...
  12. dmketo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ushauri wa kisheria juu ya mgogoro huu wa ardhi

    Habari ndugu zangu. Kuna ndugu yangu ana nyumba huko Mbezi Msakuzi. Leo wameitwa na mwenyekiti wa mtaa na kuelezwa kuna mtu amekwenda ofisini kwake akamueleza anaomba ampatie barua ya kufufua mipaka ya eneo lake. Kwa maelezo ya mwenyekiti, mama huyo anadai mumewe alinunua eneo mwaka 1989 na ana...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwenye hilo Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano
  14. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Naomba KAZI yoyote

    Nina miaka 25 Elimu ni shahada ya maendeleo ya jamiii. Mahali ni Dar es salaam Naombeni KAZI yoyote ndugu zangu. Ya kutumia nguvu akili nk Ila isiwe kazi haramu hata kama ni haramu niambie niangalie risk zake kwanza. Ahsante sana
  15. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yenu tumsaidie kuhusu magonjwa ya H Pylori na presha

    Naomba tumsaidie annzie wapi vipendhy
  16. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa juu ya H-Pylori

    Kutokana na kuumwa na kila kitu bila kujua tatizo nn nimejisogeza hosptal katika vipimo nikaambiwa damu ni nyingi km 18.8 lkn nikaambiwa nina h-pylori na mm siumwi tumbo naomba kueleweshwa juu ya huyu bacteria anaweza kukupata bila maumivu ya tumbo?
  17. A

    JamiiForums Tanzania Naomba dawa ya miguu kuwaka moto

    Habari wakuu kwa anaejua naomba anisaidie dawa ya miguu kuwaka moto baadhi ya muda miguu yangu inawaka moto anaejua dawa anisaidie tafadhal
  18. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa JF naomba tusaidiane kuikomboa JF

    Ni muda mrefu sasa (yapata miezi 3) tangu kifungo cha JF kifike tamati lakini bado wahusika hawajaiachia 💯 %. Tukumbuke kuwa JF ilipigwa ban ya miezi 3 tangu September 2025 na hiyo ban ilipaswa kuwa lifted by December 2025. Ndugu wanaJF, an attack to JF is an attack to all JF members...
  19. Pacific sixteen

    JamiiForums Tanzania Naomba kukaribishwa mimi Pacific sixteen

    Mimi ni new member humu JamiiForums naomba mnipokee. Ndugu zangu humu
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Naomba niulize kuhusu makato ya akaunti za biashara NMB

    Nina akaunti ya biashara NMB. Jana nimedownload statement yangu imesoma kama unavyo ona hapa chini: Ni kipi kinasababisha Monthly Fee ya kila mwezi itofautiane? Kilichofanya nilete mada hii hapa ni baada ya kuona nimekatwa Monthly fees Jumla ≈ TZS 227,780.85 na hiyo imefanyika ndani ya siku...
Back
Top Bottom