naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gabb_y

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufika bungeni

    Habari wana JamiiForums. Nina ombi la dhati. Mimi ni kijana wa miaka 21 kutoka Tanzania, na moja ya ndoto zangu kubwa ni kupata nafasi ya kutembelea Bunge la Tanzania na kushuhudia kikao cha bunge nikiwa kwenye jukwaa la wageni. Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya bunge kwa muda mrefu, na nina...
  2. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Ninaomba Rasmi niwe Mlinzi wa John Heche,Viongozi wa Chadema mkipata huu Ujumbe tafadhali sana naomba mumfikishie John Heche

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane! Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mtakaopitia huu Ujumbe,Tafadhali sana naomba mumfikishie Mh.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kwamba ninaomba kwa ridhaa yangu mwenyewe niwe mmoja ya Walinzi wake...
  3. under500

    JamiiForums Tanzania Mwanachama Mpya JF: Naomba Mnikaribishe

    Habari za j2 wakuu Mm ni mwana chama mpya hapa JF ndo najiunga leo kwa mara ya kwanza japo kuwa nilianza kufatilia JF toka mwaka 2024 ila ilishindikana kujiunga coz nilikua natumia simu ndogo Naombeni mnipokee wakuu nawakubali sana Wana JF
  4. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Jibu swali! Naomba kuuliza na hili swali ninaomba nijibiwe.

    Sina haja ya kuiuliza AI nakuuliza wewe na wewe usiiulize AI. Nipe jibu lako wewe km wewe. Swali langu ni hili hapa, Kwanini kuna watu wanawahi kuzeeka na kwanini kuna watu wanachelewa kuzeeka? Usiniambie suala la chakula, vinywaji na mazoezi, tafadhari sana hayo yote nayajua. Nipe sababu...
  5. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia suluhu Hassan Naomba mfukuze waziri wa mambo ya ndani huyu anakuhujumu mchana kweupe

    Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima...
  6. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu masomo yanayofundishwa sasa hivi ngazi ya Nursery na Primary (Mtaala Mpya - English Medium)

    Habari za majukumu wana-JamiiForums? Naomba msaada wa kufahamu masomo rasmi yanayofundishwa kwa sasa katika ngazi ya Elimu ya Awali (Nursery) na Shule za Msingi (Primary) kwa mfumo wa English Medium. Lengo langu ni kupata uelewa sahihi wa mtaala mpya ili niweze kuwaandaa vizuri watoto wangu...
  7. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Naomba majibu sahihi kutoka kwa wataalamu wa Uchumi

    Pendekezo jipya la Serikali ya Tanzania kuruhusu kukopa moja kwa moja kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limezua mjadala mkali. Serikali inasema hatua hiyo itasaidia kukabiliana haraka na upungufu wa mapato unaotokana na matukio yasiyotegemewa. Hata hivyo, wakosoaji wanaibua maswali muhimu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Naomba 'connection' ya wanaotoa mkopo binafsi, nimekosa vigezo vya bank.

    Napitia changamoto kubwa mno. Naomba mwenye uwezo wa kukopesha, nitarejesha kidgo kidogo kwa 6 months . Kwa interest atakayosema yeye
  9. Pumpkin girl

    JamiiForums Tanzania Naomba ukaribisho

    Hello habarini mimi ni mgeni kwenye hii forum japo nilikua nikiiona siku nyingi hivyo basi nimeamua kuji register Rasmi ili niwe na uwezo wa ku reply kwenye mada zenu naombeni mnipokee kwa ukarimu
  10. prida

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mosaic Tiles naomba msaada wenu.

    Habari ya majukumu ndugu zangu mafundi tiles. Eti njia sahihi ya kubandika hizo tiles hapo pichani zinate vizuri hata watoto wakizichezea zisitoke ni ipi kati ya kutumia gundi yake au kuzibandika kwa kutumia cement.? Fundi wangu kasema ninunue cement na dukani nilikonunua hizo ndude wanasema...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania JamiiForums naomba ile mada: Wanafurahia utekaji kuna siku watashindwa kuzibiti

    Kuna mada niliweka hapa kuhusu tabia hii ya mtindo wa ukamataji au kiufupi ni utekaji ambao ukijiambatanisha wasio julikana. Kwa haya wanayofurahia na mtindo wanaotumia nilisema kuna siku kutatumika kama person ndani ya jeshi asilimia kubwa na ndogo itakuwa kwa wananchi. Tusipo likemea na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mazishi yangu yawe Jf

    Endapo nitafariki na halafu bado ikiwepo naomba mazishi yangu yawe live kupitia JF. Zile sehemu ambazo tu kisheria na kimila, na utamaduni wa kiislam unaruhusu. Kuanzia kuswaliwa, watu watapokusanyika mpaka hatma yake.
  13. Afisa_Nkai

    JamiiForums Tanzania Naomba nieleweshwe kwa kwa upole

    Natumai huu uzi utawakuta mkiwa katika hali ya utulivu huku mkinzigatia nature na life la kiturist. Moja kwa moja kwenye mada, Inawezekanaje Leseni ya Udereva ya Tanzania inayotambulika na SADC kutumika Nchi za East Africa na Nchi za pembeni haitambuliki Zanzibar? Au sijaelewa vizuri...
  14. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Leo naomba niongee na wewe brother unaetaka kuoa. Ongea na wakubwa

    Kwanza naomba kwa nitakae mchukiza kwa hiki ninachoenda kukiandika hapa tusameheane ila nitasema ukweli na ukweli tupu sitosema uongo. Niende moja kwa moja, kwanza brother huyo binti au mwanamke kabla hujamuoa hakikisha unamjua vizuri nje ndani. Sio unamjua juu juu tu kisha unapapatika kutaka...
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kama Kuna mbinu za kukwepa kifo Cha mapema

    Sijachanganyikiwa lakini nimefikiria TU maana sielewi kuishi ni bahati au Kuna Nini. Mbona Toka kuzaliwa kwangu nimezika na kusikia misiba mingi. Je? Kuishi ni bahati TU. Maana kama mabasi nimepanda Sana pikipiki boti kutembea Kwa miguu barabarani kuogelea nk. Kwanini Bado naishi?
  16. prida

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa rangi za nyumba naomba msaada wenu kabla hapajakucha🙏

    Eti wakuu hiyo rangi hapo kwenye picha ni ya kupaka ndani au nje ya nyumba.? Eti ni kweli kwamba rangi ikiwa na neno EMULSION haifai kupaka nje ya nyumba? Kama rangi hii ni ya nje,je ni miongoni mwa rangi bora? Kama sio,naomba mapendekezo ya rangi bora za kupaka nje. Nyumba ilishapakwa...
  17. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Hello naomba msaada

    Na mtu ambaye yupo Dodoma jana katutext eti ameshikwa na polisi tumlipie dhamana tokea hapo hatuna taarifa yeyote naomba msaada kama kuna mtu ambaye anaweza kutusaidia tumpate . Maana hapatikani kwenye simu. Tunaomba msaada maana hii ni serious . Mimi napendaga matani ila naombeni msaada...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Halmashauri ya Wilaya ya Siha, ajira ya Julai 2021 bado tunadai mshahara wa kwanza

    Baadhi ya watumishi walioajiriwa wilaya ya Siha mwaka 2021, hatukulipwa mshahara wa kwanza wa July 2021. Imepita miaka minne sasa unaenda mwaka wa tano. Tumeshaandika sana barua na kujaza fomu za kulipwa mshahara huo lakini hakuna majibu yoyote ya kuridhisha.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ufafanuzi wa maswali haya maana pengine suluhisho la mgogoro wa Marekani, Israel na Irani ndo uko hapa

    GUYS NAOMBENI UFAFANUZI WA MASWALI HAYA MAANA PENGINE SULUHISHO LA MGOGORO WA MAREKANI, ISRAEL NA IRANI NDO UKO HAPA. 1.Kwa muda sasa tumekuwa tukishudia uchokozi wa USA katika mataifa mbalimbali.Je Marekani ni nani hapa duniani? 2.Nchi zingine zote zilizopo hapa duniani zikiungana zinashindwa...
  20. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa inakuaje kwenye selection za form five kuna baadhi ya wanafunzi wamepangiwa Combination ya PMCs na hawajasoma Computer kabisa

    Jamani naomba nipate maelezo ya kina imekuwaje baadhi ya wanafunzi wamepangiwa somo la computer kwenye combination ya advance kwenye michepuo wa PMCs ilhali o level hawakuwahi kusoma Computer ufafanuzi tafadhali
Back
Top Bottom