Wadau naomba Connection ya kazi

Wadau naomba Connection ya kazi

deoxy

Member
Joined
Mar 24, 2025
Posts
7
Reaction score
14
Wakuu naombeni connection ya kazi,nipo flexible kupiga kazi yoyte kiufasaha. Nina experience ya miaka miwili as sales officer na marketing, nipo dar
 
Kuna uzi mmoja sijui wa nan? Mimesahau.. utajiri uliyojificha kwenye viatu vya mitumba.. kitu kama hicho

Kama upo poa kwenye hizo fani.. kachukue viatu vya mtumba kimbiza bingwa, maisha ndio yale yale tu

Hata Mimi sina kazi natarajia kutafuta mtaji niingie kwenye viatu vya mtumba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom