Pumpkin girl
Senior Member
- Jun 24, 2026
- 148
- 394
Hello habarini mimi ni mgeni kwenye hii forum japo nilikua nikiiona siku nyingi hivyo basi nimeamua kuji register Rasmi ili niwe na uwezo wa ku reply kwenye mada zenu naombeni mnipokee kwa ukarimu
ok,Hello habarini mimi ni mgeni kwenye hii forum japo nilikua nikiiona siku nyingi hivyo basi nimeamua kuji register Rasmi ili niwe na uwezo wa ku reply kwenye mada zenu naombeni mnipokee kwa ukarimu
Zamani ulikuwa unatumia Id ipi?Hello habarini mimi ni mgeni kwenye hii forum japo nilikua nikiiona siku nyingi hivyo basi nimeamua kuji register Rasmi ili niwe na uwezo wa ku reply kwenye mada zenu naombeni mnipokee kwa ukarimu
Nenda kwa tahadhari mbele kuna tutaHuyu ni wangu sasa, nimemuwahi wakuu
Aangalie nisije kumpiga Ban ya maisha oho! 😁Nenda kwa tahadhari mbele kuna tuta
Usipokua makini unaweza kujikuta kua yeye ndio kakuwahi wewe.Huyu ni wangu sasa, nimemuwahi wakuu
Pambano ni Kali sana acha me niwe wa kwanza kumpa hela 😂Karibu sana na mimi nimekua mtu wa kwanza kukupa Like kwenye uzi wako.
Mimi nitampa kitumbua na chai ya rangi kwa kumkaribisha vizuri!Pambano ni Kali sana acha me niwe wa kwanza kumpa hela 😂
Mwongezee na Chapati TatuMimi nitampa kitumbua na chai ya rangi kwa kumkaribisha vizuri!