naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo wa kununua Subwoofer

    Nina uhitaji wa Subwoofer kwa matumizi binafsi (nyumbani). Kama mnavyojua siku hivi kuna kampuni nyingi au aina kedekede za kichina zinazotengeneza hizo bidhaa. Hivyo naomba mwongozo kwa wataalamu na wazoefu. Je, ninunue/nichukue ya kampuni gani,- ambayo ni imara na ina muziki wa ukweli...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo

    Wakuu, Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo. Kwa njia ya MPESA.
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za CPA kwa aliyemaliza degree

    Nina Kijana wangu nahitaji kumsomesha CPA amemaliza degree ya Uhasibu wa umma amenieleza Jumla ni 3,650,000/= Naomba wajuzi mnisaidie
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faida ambazo Wananchi wanapata kwa kila mara kuangalia Picha za Rais akitoka Dom kuja Dar na Dar kwenda Dom kwa Ndege

    Binafsi nitafaidika zaidi nikiona Picha za Rais yypo maeneo mbalimbali ya nchi yenye Changamoto mbalimbali akionana na Wananchi wake na kutatua Matatizo yao ya Kimsingi. Mpaka hivi sasa GENTAMYCINE naitafuta Tija ya kila mara tu Mitandaoni tunaonyesha Picha za Rais akipunga mkono akipanda Ndege...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Milioni 5, ninaomba mwongozo biashara ya nafaka

    Habari za mchana. Naomba msaada wa mwongozo kuhusu biashara ya nafaka. Nipo Mwanza. Mtaji wangu milioni tano. Naomba kupata dondoo zote ikiwemo changamoto na wapi nitachukua mzigo kuja kuuza
  6. JamiiForums Tanzania Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

    Jamii humu ni watu wanakushauri vizuri ila sio wote. Ishu yangu ni hii nimepewa namba namaza nikakutane na mtu ofisini ili nikamilishe zoezi lake la kupata vyeti vyake vya kusafiria ila kiukweli nilikuwa sipendi kumfuata huyo mtu. Sasa siku moja nikampigia tusettle kumeet ofisini ila huyo...
  7. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu.

    Kati ya hizo course hapo ni ipi course ambayo ina wigo mkubwa wa ajira.🙏🙏🙏 Naombeni ushauri wenu kwa mwenye ujuzi 🙏
  8. JamiiForums Tanzania Ninaomba kujuzwa dawa kwa mtu aliyeng'atwa na ng'e

    Nina ndugu aling'atwa na ng'e mara mbili kwa wakati mmoja kutokana na maumivu makali aliyokuwa nayo alikimbizwa hospital nakupatiwa matibu zimepita siku sita sasa toka apatiwe matibabu nakumaliza dozi aliyopewa lakini leo ameanza kuvimba na kukakamaa mwili mzima. Je hii inaashiria nini? Ni...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujua haya Mawe yanapatikana wapi?

    Karibu kwa anaefahamu.
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Tafsiri ya ndoto hii

    Heshima kwenu wakubwa zangu, na madogo hamjambo. Niende moja kwa moja kwenye hoja. Asubuhi hii saa 12 nimeota ndoto ambayo inaninyima raha sana, . Katika ndoto hiyo nimeota nimesingiziwa nimeiba box 9 za karatasi nyeupe yaani rim paper na kufungwa miaka miwili jela Nikiwa jela napata taarifa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar, naomba nikukosoe kwa staha; usingilie Mahakama

    Udhalilishaji na Madawa ya kulevya ni tatizo kubwa katika nchi yetu, sote tunawajibu wa kuwafichua wadhalilishaji. Natoa maagizo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini yoyote atakae kamatwa kwa kosa la madawa ya kulevya au udhalilishaji nasisitiza asipewe dhamana. Ziara: Donge Chechewe Huu ni ujumbe...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujua vitabu vya science fiction vilivyoandikwa na Watanzania/ kwa Kiswahili

    Kama kuna mtu anafahamu kitabu cha aina hiyo, kilichoandikwa na Mbongo au kwa Kiswahili, naomba anijuze.
  13. JamiiForums Tanzania Naomba Muongozo kutoka kwa serikali: Je, mwaka huu kutakuwepo sikukuu za Nane nane?

    Wakuu Kwema! Nafahamu viongozi wengi wa serikali wanapita humu JF. Naomba kujua Kama mwaka huu kutakuwa na sikukuu za Nane nane. Ili wakulima tujue tunafanyaje. Natanguliza shukran
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa solidty programing na blockchain naomba msaada

    Salamu wakuu, Nina tokens (ERC20 token) kwenye wallet ya Metamask na zinaonyesha thamani ya wastani wa $8 kwa token lakini kwenye etherscan inaonyesha $0. Kuna namna ya kutengeneza Dapp ambayo itaunganishwa (integrate) na Metamask na kuweza kuzitumia hizi tokens for online payments?
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kujua mimi ni kundi gani /mtu wa aina gani

    Naomba kwa wataalamu humu mniambie Mimi ni mtu wa Aina gani kwa izi sifa zangu; - Mimi ni mkorofi (tokea utotoni napenda Sana ugomvi na sehemu zenye ugomvi na shari) - Mimi ni mkimya (yaani sipendi kuongea na pia sipendi mtu aniongeleshe kwa muda mrefu nachukia sana yaani natak nikiwa na wewe...
  16. JamiiForums Tanzania Kati ya AISHA na ZUCHU yupi yupo vizuri kwenye vokoz?

    Habari za Leo wadau, Binafsi mimi nimetokea kumkubali sana mwanamuziki AISHA. Namwona mbali sana, katika vokozi. Pengine naweza kusema anakuja kuwa malkia wa Muziki Tanzania. Hivi tukiwalinganisha na ZUCHU unadhani yupi ni mkali kwenye vokozi. Hili ni song jipya la AISHA linaitwa Tamutamu...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu Podcast, ni kitu gani? inafanyaje kazi?

    Naomba kufahamishwa kuhusu hii kitu ndugu zanguni. Inafanyaje kazi. App sijui website zake ni zipi na mtu anawezaje kuimonetize. Natanguliza shukrani.
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishishwa kuhusu ajali iliyohusisha magari yanayoenda Songea

    Wakuu salam, Nimepata ujumbe wa SMS kutoka kwa namba ya ndugu yangu unaoonyesha kuwa amepata ajali akielekea songea, nimejaribu kupiga simu haipokelewi lakini ujumbe wa SMS umetaja jina lake na ni kweli alikuwa anasafiri kwenda songea jumamosi ya tarehe 26/6/2021. Naomba kupata taarifa zaidi...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa

    Naomba kujua hivi ni nini hasa kilichosababisha Manji kuacha kuifadhili yanga. Maana kama hakuwepo nchini sio sababu yenye mashiko. Najaribu kutafakari na sipati majibu maana aliiacha yanga ilihali akijua ilikuwa bado iko vibaya kiuchumi KWA LUGHA NYINGINE NI KAMA KUACHA KUMSAIDIA MTU AMBAE...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kisheria kuhusu changamoto hii niliyoipata katika kiwanja changu

    Habarini za Majukumu Wadau. Naomba msaada wenu wa ushauri kisheria kulingana na tatizo langu. Mimi nilinunua kiwanja cha makazi vilivyo kuwa vinauzwa na halmashauri X, sikukiendeleza kile kiwanja kwa muda wa miaka kadhaa. Baada ya kujipanga na kuwa tayari kukiendeleza kile kiwanja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…