nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kati ya Ibrahim Class (King Class Mawe) na Hassan Mwakinyo Champez (Colorado King/Tornado) nani anafaa kuwa Pound for Pound namba 1 hapa nchini?

    Ibrahim Class anacheza uzito wa super feather wakati Hassan Mwakinyo anacheza uzito wa light middle weight. Je kama wangekuwa kwenye uzito sawa unahisi nani angeshinda pambano? Kwa upande wangu mimi binafsi naona Ibrahim angeshinda pambano ,na kwangu ndio Pound for Pound namba 1 hapa bongo na...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania tumepoteza uelekeo wetu kimataifa, nani awajibike?

    Je, tunapaswa kupoteza rasilimalifedha na muda kumuenzi Nyerere kama tumemgeuka Mzee wa watu kwa kiasi hiki? Hebu msikilize huyu Mama. https://youtu.be/NoD_0Wnehtk?si=rLQ4PzkpZO8fR0-k
  3. JamiiForums Tanzania LATRA wapo kwa niaba ya nani?

    Wakuu nauliza hawa LATRA alieanzisha aliiweka kwa niaba ya nani? Wafanya biashara wa magari au kwaniaba ya wananchi? Mimi nina uhakika ipo kwaajili ya wafanya biashara wala si wananchi, kwasababu; mafuta yakipanda tu wafanyabiashara wanapiga kelele nauli ipande nao (LATRA) wanapandisha nauli...
  4. JamiiForums Tanzania Tumpe nani maua yake kati ya Mercy Chinwo ama Ada Ehi?

    Picha za kusindikizia uzi hizi hapa Uzi tayari! N.B: Ningekuwa na uwezo mkubwa sana ningelimuoa Ada Ehi kuliko hiki kimbemberuka nilichonacho
  5. JamiiForums Tanzania Kwa wadau wa muziki wa zamani, ni nani huyu??

  6. JamiiForums Tanzania Bango hili Magogoni Ferry linaaibisha Polisi

    Bango hili lipo kwenye Kituo cha Polisi Magogoni Ferry na limeandikwa na Polisi wenyewe. Bango hili linawadhalilisheni na kuuweka bayana uwezo wenu mdogo wa kuandika. MALUFUKUKUTUPATAKATA HAPA |-> KA. KITUO CHA POLISI. Àfande Chiku hebu liondoeni bango hili haraka sana.
  7. JamiiForums Tanzania Nani alitarajia kina Halima Mdee wangesaliti vyama vyao?

    Usemi kwamba "adui yako mwombese njaa" una mantiki kubwa sana. Hakuna mbabe wa njaa. Nani alitarajia kuwa Halima Mdee angepingana na Mwenyekiti wa Chama kilichomlea kisiasa hadi kuwa maarufu kwenye medani za siasa za Tanzania? Alikuwa ni mmoja wa wanachama ambao CHADEMA ilikuwa ikimjivunia kuwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha namna cement inavyotumika kutunyonya; serikali mpo kimya kwa manufaa ya nani?

    Mfuko wa saruji (cement) kampuni ya NYATI wa 50kg unauzwa Sh20,000. Katika kila kilo moja ya saruji serikali inachukua kodi ya Sh20. Hivyo katika 50kg ya saruji kodi ya serikali ni Sh1,000 (5%). Kiwandani Mfuko wa saruji (cement) kampuni ya NYATI wa 50kg unauzwa kwa wastani unaoanzia Sh11,000...
  9. JamiiForums Tanzania Turudi kwenye kikao cha chama kati ya Waheshimiwa mawaziri na Mh. Makonda ni nani anakaa viti vya mbele kuwahutubia wenziwe?

    Tulikua tunabishana hapa mtaani kuhusu mgawanyo wa madaraka ndani ya chama na serikali. Mimi bado nilikua nimeshikiria kwamba viongozi wa chama wakiamua wanaweza kuwa na nguvu kuliko mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya. Nimerudi hapa jukwaani nataka kupata majibu juu ya swali langu hili...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu ni nani amefunga goli Merseyside Derby, El Classico & Manchester Derby?

    Mdau wa soka, huyu mchezaji amefanikiwa kufunga magoli katika mechi zinazohusisha upinzani wa jadi wa Timu za Mji mmoja ‘Dabi’ na katika ushindani wa timu kubwa zenye upinzani kutoka miji tofauti Nchini England na Hispania. Amefunga katika mechi ya Liverpool vs Everton, Barcelona vs Real Madrid...
  11. JamiiForums Tanzania Ikiwa huna mtoto ni Nani atakuuguza siku ukiwa hoi?

    Kwasasa tunatembea barabarani ila ndani ya miili ni wabovu usije kumpiga mtu hata kwenzi la kichwa utaishia jela ndugu yangu watu tumeoza maradhi kama yote kutilia ndani saratani,ukimwi na BP. Ni muhimu tujiulize hasa kundi la vijana la kataa ndoa,team chaputa,UWABATA for life na wale wa kutoa...
  12. JamiiForums Tanzania Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

    1. Wana mikia mifupi 2. Wana mlio kama wa Mluzi 3. Wamewala Panya wote wa Kitanzania wenye mikia mirefu 4. Hawategeki kwa Sumu yoyote na hata Ukiwakimbiza hawakuogopi na wanaondoka kwa mwendo wa taratibu huku wakiwa hata hawana wasiwasi nawe 5. Paka wala hawaangaiki kuwakamata 6. Lishe yao...
  13. JamiiForums Tanzania Nani ameweka hizi bei elekezi za taxi pale Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere?

    Mbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda. Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi kizamani, kwa kuwa kuna maeneo madereva wa taxi mtandao hawataki kwenda. Hata hivyo, walioweka bei hizi...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri anayetumia V8 kuchungia ng'ombe ni nani?

    Yapo mambo yaliyoibuliwa kwenye haya Maandamano tunayoendelea nayo yanasisimua sana . Imeibuka Taarifa kwamba yuko Waziri mwenye ng'ombe wengi sana , ambaye anatumia V8 kuchungia mifugo hiyo , yaani iko hivi , wachunga ng'ombe walioajiriwa na Mh huyo wamepewa V8 Kufuatilia ng'ombe hao huko...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Waziri anayemiliki jumba la kifahari ufukweni Dubai atajwa

    Leo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi. Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika havijafanya uchunguzi wowote kwa kumhoji ili ijulikane fedha hizi alikwiba wapi na hatua stahiliki. Hii...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Yupi ni jinga la majinga hapa?

  17. JamiiForums Tanzania Nani anampa kiburi Netanyau? Hamas hatutaki vita iendelee tumeamua yaishe. Analeta Kibri?

    Nimeshangaa ... Anachokitaka atakipata tu. Hamas wanasema wanataka vita viishe. Netanyau analeta habari za kiduanzi. Tutaendelea kumchapa huyu Kafir mpaka aombe pooh... Sisi tunaona inatosha yeye analeta kibri. Ni nini sababu lakini? Si sawa. Njoo wenzangu tumshambulie huyu Israel. Ritz ...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya kuuza copy nyingi, nani mkweli, Mr. Nice niliuza nakala 1.7 mil, feruzi 200k ndani ya wiki?

    Mr. NICE ALIWIKA sana lakini anaonekana ni Mzee wa maneno ya kujisifia sana, kumekuwa na takwimu zisizo eleweka za mauzo ya kazi za wasanii hapo zamani. Huku Mr. Nice akitamba kwamba yeye aliuza nakala milioni 1.7 na aliemfuatia alikuwa around laki 380,000/= wakati huo huo tunaambiwa na Feruzi...
  19. JamiiForums Tanzania Ni nani asiyefahamu Rais wa nchi kwa sasa ni Samia Suluhu Hassan?

    Salamu nishamuachia ndugu yangu GENTAMYCINE yeye na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa! Nimejaribu kutembelea mikoa kadhaa hapa nchini ikiwemo mkoa wa kibiashara wa Dar es Salaam na kila sehemu utakayopita utaona mabango barabarani yakimtambulisha Rais Samia Suluhu Hassan kama ndiye Rais...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya mabango ya Mama Samia kila kona, nani anagharimia? Yanatusadia nini kama nchi?

    Ina maana wananchi wameshindwa kuelewa nini Rais wetu anafanya hadi watangaziwe kwenye mabango? Ina maana raia hawamjui rais wao hadi afanyiwe kampeni kwenye mabango ilihali yupo madarakani? Haya mabango kila kona nchini yanaendelea kusimikwa kana kwamba tupo kwenye kampeni za uchaguzi aa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…