Rangi nyekundu ndie mm na kosa nlilofanya ni kupandisha kete ya juu kulia ili kuwahi kingi. Ile kete sio kosa,kosa ni kete ya kushoto kuto kulisha bure au kubadilishana. Drafti liliisha hapo hapo.
UPDATED VIDEO.
💫Njia ya Cold Press ziko namna 2,kwa kutumia Tui na kutumia nazi kavu,kaa nasi tukueleweshe;
⚡nazi zilizokomaa huvunwa kisha hukaushwa ili kuondoa Tui kubakiza mafuta.Zipo namna 2 za kukausha kwa kutumia Hot Air Vacuum Machine au Kutumia njia ya asili ya jua.
⚡Kukausha kwa "Hot Air" huchukua...
Waungwana eeegh hawa nyoka naelekea kuanza kuchoka.
Hii ni Mara ya pili sasa naua nyoka chumbani kwangu. Nimejaribu kuangalia ni wapi wanaweza kuwa wanapitia kwa kweli sijaona.
Niko Mkoani, kwahiyo niliamua kupanga chumba ili kupunguza gharama za Lodge kila mara maana huwa nakaa week au week...
My take
1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa
2. Simuungi mkono kuhusu kumtetea Samia katika hili, Samia anahusika, kama angekuwa hahusiki viongozi wanaotekeleza hili zoezi wasingekuwa...
Ni dhahiri hata nyie viongozi wa serikali mnakubali kuwa mliingia kitanzini kupata mkopo wa tril 1.3 toka Wb kwa mashariti ya kupambana na Uviko 19 lakini mkijua kabisa hali sio mbaya kihivyo.
Maana nawaona kwenye dhifa la kitaifa kumkaribisha rais wa Burundi wengi mmevaa barakoa kama geresha...
Umeshasema kuwa mwisho wa Wamachinga kuwa maeneo wasiyotakiwa ni tarehe 18 Oktoba, 2021 kwanini tena msogeze Siku mpaka tarehe 30 au 31 Oktoba, 2021?
GENTAMYCINE nachukia Watu (hasa Watawala) wasio na 'Misimamo' na wanakuwa 'Kigeugeu' katika ama Matamko au Mwamuzi yao.
Kama mnadhani hii...
Brentford wanaupiga mwingi sana, has a wakiwa nyumbani. Watu wengi waliwadharau sana Arsenal walipofungwa 2 bila na Brentford mechi ya mwanzo.
Kusema ukweli haka katimu kalikopanda daraja mwaka huu ni moto wa kuotea mbali! Mashabiki wa Chelsea walipata wakati mgumu sana kipindi cha pili...
Kwa sekta binafsi dogo ni mgonjwa. Yupo sick leave karibu two months sasa na anasema hataki tena kufanya kazi anataka apumzike kwa muda.
Mnaozijua sheria tuambieni afanyaje ili achukue stahiki kama gratuity, pesa ya mizigo nk
Kujiuza ni kutoa penzi kwa malipo. Haijalishi unakuitaje, kufanga, kuchuna, gold digging n.k kote ni kujiuza.
1. Jane Mkenya ni mfanyabiashara mkubwa, mwenye pesa ya uhakika. Pamoja na pesa zake zote anatoka kwa kamishina wa mapato ili apate msamaha na upendeleo wa makadirio ya kodi.
2. Asha...
USSR na Urusi ya leo wana legacy gani Afrika? Nimeona juzi kati kuwa wakati mambo yamemfika kooni, Patrice Lumumba aliomba msaada USSR kuweka nchi sawa. Nchi ikatulia. Bahati mbaya akapinduliwa na Mobutu akawatimua wa Soviets.
Hapa karibuni, waasi na wababe wa kivita walijaa karibu CAR yote...
Wanafunzi na Walimu wanapaswa kupata elimu ya kina kuhusu chanzo, dalili, athari na namna ya kujilinda na #coronavirus.
Walimu wajisimamie na wawasimamie Wanafunzi katika kuchukua tahadhari zote za kujilinda kama vile kusimamia usafi mikono kwa wanafunzi, kudhibiti miosongamano na kuzuia...
Wakuu Someni Hii Taarifa Kutoka Mamlaka Ya Mapato Tanzania (TRA)
=====
October 8, 2021 by Global Publishers
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kumekuwepo na changamoto kubwa ya baadhi ya watu wanakuwa wamesajili vyombo vya moto lakini usajili wao ni batili, hawajasajiliwa na TRA ambapo...
Nataka kupata msaada ni namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja anayofanyia kazi hadi idara nyingine?
Mfano mtumishi wa Idara ya mahakama kuhamia idara ya ardhi. Au ardhi kuhamia mahakama.
Msaada kwenye tuta.
Naandika kwa jinsi nilivoelewa baada ya kusoma comment za watu wa Quora kuhusu dhana nzima ya uchawi, ulozi, na laana.
Ki ufupi kabisa, wadau wamezungumzia uchawi kama aina fulani ya nguvu ' energy' kama ilivo energy nyingine unazozifahamu kama nishati ya jua, umeme n.k.
Na wamezungumzia...
Utangulizi:
Ulevi wa pombe limekuwa ni janga linaloitafuna sana jamii yetu kutokana na kusababisha matatizo mengine mengi zaidi ikiwemo umaskini, migogoro kwenye ndoa, ugomvi na hata mauwaji, watu kufukuzwa kazi , matatizo ya kiafya na mengineyo mengi.
Pamoja na matatizo yote hayo lakini bado...
Nyanja: Kilimo
Andiko hili linapendekeza kwmb ili kuleta mapinduzi makubwa ya sekta ya kilimo yatayoendana na muda waDira ya Taifa 2025; sekta ambayo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi ambao kw mantiki hiyo basi Dira hiyo inaitegemea ili kuliingiza taifa ktk pato la kati-la-juu. Kimsingi ni ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.