Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,513
- 167,172
Natabiri utakuwa ni mwaka wa kurejesha vyote vilivyoliwa kwa miaka mingi na tunutu, madumadu, nzige na maparare .
Utakuwa mwaka wa kufanya mambo makubwa, wengi ambao hawajawahi kumiliki magari wataenda kuyamiliki. Na wale ambao hawakuwahi kujenga, utakuwa ni mwaka wa ujenzi, mafanikio na maendeleo zaidi.
Mungu atayafuta machozi na hasara, hapo miaka ya uchungu itakoma.