namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru ana la kujifunza kuhusu namna Rais Samia alishughulkia mauaji yanayofanywa na Polisi Tanzania

    Rais Samia bila kumumunya maneno amelishambulia jeshi la polisi kwa mauaji Tanzania na kusema lenyewe haliwezi kujichunguza, ameagiza iundwe tume huru pembeni iwachunguze hao mapolisi. Wakenya tuna la kuiga hapa, haya mambo ya polisi kufanya mauaji halafu wanalindana kwenye uchunguzi yataisha
  2. KENZY

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wanawake wanapenda mwanaume wa namna gani!

    It's simple wanawake wanapenda mwanamme mpole na mwenye vurugu. Nimemaliza.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada yafadhali: Namna ya kurejeshewa fedha zilizozidi HESLB

    Naomba mwenye ulewa anisaidie namna ya kujaza maombi ya kuresha fedha iliyozidi Toka bodi mikopo Kwa njia ya online. Natanguliza shukrani.
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mchimbo Dubai: Tujuzane namna ya kufika, maisha yalivyo, machimbo ya bidhaa na kuufikisha mzigo Bongo.

    Dubai ni mji wa kiv=biashara ambao watu kibao wanaenda kufata mizigo yao na kuiuza hapa bongo. Naamini kuna wazoefu humu wengu wanaofata mizigo huko Dubenga, tunaombeni ushirikiano. Binafsi nimecheki videos mitandaoni za wahindi wengi na wapakistani wakippategemea sana Dubai kwenye kujumua...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nini faida na hasara za nyumba za mawe? Bongo kuna wataalamu wa kujenga kwa mawe namna hii?

    Eti wakuu, bongo kuna wataalamu wa kujenga na mawe namna hii, wakatoa nyumba imara? Pia naomba kujua faida na hasara za nyumba ya mawe. Gharama zake zikoje?
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umeelemewa na michepuko, au wapenzi wengi na unashindwa namna ya kuwaacha? Wambie huna pesa

    Habari! Ni hulka ya kila mwanaume kutamanitamani vibinti vizuri vyenye sura au umbo zuri. Na ikitokea una kakipato kidogo cha kubadilisha mboga ghafla unaweza kujikuta una wapenzi 3-5 au zaidi huku nyumbani una mke. Hii hali inachukuliwa poa ila kwa hakika inafanya umasikini uendelee...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Waziri wa Elimu: Shule zishindanishwe/zitengwe kulingana na mazingira ya utoaji elimu

    Sijui kama ni makusudi au uvivu wa kufikiri, au kuamua kuishi kwa mazoea. Kila mwaka baraza la mitihani wanakuja na majina ya wanafunzi na shule bora katika matokeo ya mitihani ya ngazi tofauti. Kinachosikitisha ni kwamba kuna utofauti mkubwa sana wa mazingira ya utoaji elimu hapa nchini...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu ya kuweka namna ya kutoruhusu upotevu wa Kodi katika masoko makubwa Dar es salaam

    Ni mbinu ya kuweka namna ya kutoruhusu upotevu wa Kodi katika masoko makubwa Dar es salaam hii itambatana na kuwajenga majengo makubwa yenye frame Kwa ajili ya biashara! Wamachinga wawe sehemu ya kusaidia Kodi pia.. Kuwafukuza Ingechukua muda mrefu sana.. hii itakuwa interval ya miezi 6 miaka...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama wanajadili waziwazi namna ya kukwapua Mali ya Umma, ni dhahiri walimchukia na hawakupenda hayati Magufuli awepo. Inaonekana aliwabana sana!

    Kumbe ukitaka uchukiwe na wanaCcm basi we ziba mianya yao ya kuiba mali ya umma. Hayati JPM alichukiwa na wanaCcm japokuwa walicheka nae na kumzunguka hio hii ni sababu aliwabana sana juu ya rushwa na ufisadi. Sasa wanatoa michongo namna ya kupiga madili. Naona tangu amefariki wanachekelea...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nimeshtusha kusikia Mawaziri na Manaibu Waziri wanalogana na kuchukiana kisa safari za Mikoani kuja kutafuta namna yakuwatumbua wasio na hatia

    Kama nchi Hadi kufikia mwaka huu 2022 Waziri anaweza kumzui Naibu Waziri kufanya kazi au Katibu Mkuu kuficha Fedha Waziri asilipwe na ikawa agenda basi tuna safari ndefu. Waziri unapitisha Fedha Bungeni bila kuwa na mamlaka na Fedha? Naibu Waziri unapijibu majibu Bungeni kumbe hata haki na...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia Mtoto wako kuwa Mtu bora

    1. Mfundishe kufanya kazi kwa Ushirikiano (Teamwork). Mfano unaweza kutenga muda kusaidiana naye kwenye kufanya 'Homework' au majukumu madogo madogo ya Nyumbani akishirikiana na Wenzake 2. Shiriki au Mfundishe kupanga malengo pamoja na maono mliyonayo. Hili linaweza kuwa gumu kwasababu Wazazi...
  12. VictoniX

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress

    Naomba masaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress nishaweka order zangu kwenye cart lakini sina uzoefu wowote wa kununua bidhaa online kwa njia hii, nimewahi kununua kupitia kikuu pekee... Nahisi namna ya kuagiza sio shida sana maana naweza kusoma kwenye tovuti yao na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu ni namna gani naweza kujiunga na JWTZ baaada ya kumaliza kidato cha sita

    Mwaka huu namaliza kidato cha 6 na ningependa kujiunga na jwtz baada ya hapo na inakuaje Kama sitapangwa JKT.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kusubiri uchaguzi wa mwaka 2025 ni mbali sana, kuna namna tunaweza kuwaondoa madarakani hawa wanaCcm kabla hawajakomba mali za taifa letu?

    Ukweli ndio huu, mpaka tuje tufanye uchaguzi mkuu mwaka 2025 tutakuwa tumeshaumizwa sana. Maana kuna dalili za safu ya kulipiga na kulimaza kabisa hili taifa. Sasa kuna uwezekano wa kutumia bunge au nguvu ya umma wakaachia ngazi? Maana tusikubali kuibiwa na kufanywa watwana.
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kombe la mapinduzi linathibitisha namna Simba na Yanga zinavyobebwa na waamuzi wa Bara.

    Ile haki bin haki inayofanywa na waamuzi wa Zanzibar kwenye kombe la mapinduzi ndio inayokosekaana kwenye ligi ya Bara. Kama refa angetoka Bara Yanga na Simba zingepata matokeo mazuri sana dhidi ya timu ndogo za Zanzibar kwenye mashindano ya mapinduzi. Mungu awalaani waamuzi na watu wote...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Bunge linalokuja mwezi Februari lijadili kwa hati ya dharura Mkopo wa tril 1.3. kwa maslahi ya Taifa. Namna ulivyopatikana na matumizi yake

    Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene. Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara. Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh...
  17. Poker

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwa tajiri mwaka huu, hii biashara inalipa ni kiboko huhitaji kafara!

    Zinahitajika ngozi za nyoka wafuatao; 1- kifutu 55'' to 61'' shs 380,000/= kwa ngozi 2- sawaka 155'' to 655'' shs 200,000/= kwa ngozi 3-nyoka wa kijani(boomslang) 100'' to 155'' shs 400,000/= kwa ngozi 4- koboko 255'' to 400'' shs 600,000/= kwa ngozi 5-moma 100'' to 200'' shs 300,000/= kwa ngozi...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kisheria, Spika wa Bunge anaweza kuondolewa. Je, Job Ndugai aondolewe?

    Wanabodi, Niliposema Rais wa JMT anaweza Kuondolewa madarakani na Bunge, wengi walibeza kuwa nilikuwa nazungumzia hypothetical situation, yaani kitu ambacho hakipo, nikauliza hakipo vipi wakati kipo kwenye Katiba yetu?, sema haijatokea tukapata rais wa kulazimika Kuondolewa. Leo ninazungumzia...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jitabirie namna mwaka 2022 utakavyokuwa kwako

    Natabiri mwaka 2022 utakuwa mwaka mzuri sana, mwaka wa mavuno kwa wengi. Natabiri utakuwa ni mwaka wa kurejesha vyote vilivyoliwa kwa miaka mingi na tunutu, madumadu, nzige na maparare . Utakuwa mwaka wa kufanya mambo makubwa, wengi ambao hawajawahi kumiliki magari wataenda kuyamiliki. Na wale...
  20. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Kwa kipaji hiki alichonacho, unashauri ajiendeleze kwa namna ipi?

    Heshima kwenu Wakuu. Mtoto wa binamu yangu hakufanikiwa kupata ufaulu mzuri wa kuendelea na masomo ya kidato cha tano mwaka huu. Lakini kutokana na kipaji cha uchoraji alichonacho tukaona ni vema ajiendeleze kwa kuongezea taaluma juu ya kipaji chake. Kulitolewa wazo la kumpeleja VETA na...
Back
Top Bottom