namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wazee wetu walipambana na mbu namna gani?

    Eti wakuu, wazee wetu na nyumba zao za udongo na miti walipambana vipi na mdudu mbu? Sidhani kama walilala wakidungwa usiku kucha, lazima walikuwa na namna. Walitumia mbinu gani?
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujenga uzalendo kwenye taifa

    Uzalendo hauhubiriwi bali unajengeka wenyewe kwenye mioyo ya watu. How? Elimu yetu. 1. Shule za msingi: darasa la kwanza, pili na tatu wanafunzi wajifunze TU kusoma, kuhesabu, kuandika na kuimba nyimbo mbalimbali kuhusu nchi yao ukiwemo wimbo wa taifa. Wajifunze kuichora ramani ya Nchi yao...
  3. issac77

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kununua shiba coin

    Wakuu tafadhali mwenye kujua ABC about shiba coin namna ya kuji-regist; kununua...nimevutiwa na aina hii ya uwekezaji wa pesa ya kidigtal Mwenye kujua steps by steps tafathali anielekeze, niko tayari hata nimpoze ya voucher kwa usumbufu na muda atakaokuwa amepoteza. Nawasilisha.
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tuacheni kumsingizia January Makamba mambo mazito namna hii

    Ni uongo na uzandiki mkubwa kusema au kutaka aminisha watu kuwa January Makamba yupo smart kuchwani. Uongo na uongo ni dhambi. Hizi Kampeni zimepigwa miaka mingi na watu flani vilaza na walioamua kujitoa akili. Hawa huwa tu wanaenda na upepo wakiwa na stress wanatafuta hero hasa wanapokosa...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Namna ccm inavyotia majaribuni mihimili mingine ya serikali. (Our governing system is tested)

    Imagine kiongozi wa kisiasa (wakati wa magufuli) anaamrisha wizi wa kura hapa ni kuvijaribu vyombo vya ulinzi na usalama vilinde dhuluma. Rejea uchaguzi wa 2020. The states security apparatus were tested . Kesi ya mbowe Kama kweli lengo ni kumfunga kwa gharama yoyote hata iweje Basi mahakama...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Nape ni ubinafsi, chuki na sononeko. Kiongozi wa namna hii hatufai hata kidogo

    kwa tunaomfahamu Nape na tuliyopata kuyajua machache juu yake hatushangazwi kusikia anayosema ila tunachoshangazwa ni kuchelewa kwako kuzungumzia unafiki wake watanzania wakaujua. Nape ana chuki na tukio walilofanya lakini kabla lengo halijatimia wakajulikana ila nikiri kusema kwamba ingekuwa...
  7. Elijah

    JamiiForums Tanzania Ni zipi taratibu za kuanzisha chama cha siasa Tanzania?

    Salamu wakuu, Naomba kufahamu taratibu za kuanzisha chama cha siasa. Ahsanteni..
  8. Frustration

    JamiiForums Tanzania Namna dalmax alivyofinish hili draft nimejiona kama ngumbaru

    Rangi nyekundu ndie mm na kosa nlilofanya ni kupandisha kete ya juu kulia ili kuwahi kingi. Ile kete sio kosa,kosa ni kete ya kushoto kuto kulisha bure au kubadilishana. Drafti liliisha hapo hapo. UPDATED VIDEO.
  9. L

    JamiiForums Tanzania 🌴Nacoco - Cold Pressed (Extra Virgin) Coconut Oil namna yanavyotengenezwa bila kuchanganywa na White oil

    💫Njia ya Cold Press ziko namna 2,kwa kutumia Tui na kutumia nazi kavu,kaa nasi tukueleweshe; ⚡nazi zilizokomaa huvunwa kisha hukaushwa ili kuondoa Tui kubakiza mafuta.Zipo namna 2 za kukausha kwa kutumia Hot Air Vacuum Machine au Kutumia njia ya asili ya jua. ⚡Kukausha kwa "Hot Air" huchukua...
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupambana na Nyoka, naanza kuchoka

    Waungwana eeegh hawa nyoka naelekea kuanza kuchoka. Hii ni Mara ya pili sasa naua nyoka chumbani kwangu. Nimejaribu kuangalia ni wapi wanaweza kuwa wanapitia kwa kweli sijaona. Niko Mkoani, kwahiyo niliamua kupanga chumba ili kupunguza gharama za Lodge kila mara maana huwa nakaa week au week...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole alaani namna zoezi la kuondoa wamachinga linavyofanywa

    My take 1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa 2. Simuungi mkono kuhusu kumtetea Samia katika hili, Samia anahusika, kama angekuwa hahusiki viongozi wanaotekeleza hili zoezi wasingekuwa...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama mnajiachia namna hii mkiwa Chamwino bila kuzingatia mashariti ya Uviko 19. Mkopo wa tril 1.3 una tija?

    Ni dhahiri hata nyie viongozi wa serikali mnakubali kuwa mliingia kitanzini kupata mkopo wa tril 1.3 toka Wb kwa mashariti ya kupambana na Uviko 19 lakini mkijua kabisa hali sio mbaya kihivyo. Maana nawaona kwenye dhifa la kitaifa kumkaribisha rais wa Burundi wengi mmevaa barakoa kama geresha...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Utawala wa namna hii huwa 'nauchukia' na 'naudharau' mno

    Umeshasema kuwa mwisho wa Wamachinga kuwa maeneo wasiyotakiwa ni tarehe 18 Oktoba, 2021 kwanini tena msogeze Siku mpaka tarehe 30 au 31 Oktoba, 2021? GENTAMYCINE nachukia Watu (hasa Watawala) wasio na 'Misimamo' na wanakuwa 'Kigeugeu' katika ama Matamko au Mwamuzi yao. Kama mnadhani hii...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona jinsi Chelsea ilivyoteseka kwa Brentford, nikaelewa Arsenal hakuwa na namna nyingine zaidi ya kufungwa!

    Brentford wanaupiga mwingi sana, has a wakiwa nyumbani. Watu wengi waliwadharau sana Arsenal walipofungwa 2 bila na Brentford mechi ya mwanzo. Kusema ukweli haka katimu kalikopanda daraja mwaka huu ni moto wa kuotea mbali! Mashabiki wa Chelsea walipata wakati mgumu sana kipindi cha pili...
  15. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuacha kazi ili upate stahiki zako zote

    Kwa sekta binafsi dogo ni mgonjwa. Yupo sick leave karibu two months sasa na anasema hataki tena kufanya kazi anataka apumzike kwa muda. Mnaozijua sheria tuambieni afanyaje ili achukue stahiki kama gratuity, pesa ya mizigo nk
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi sana wanajiuza, ila namna ya kufanya biashara ndio imetofautiana

    Kujiuza ni kutoa penzi kwa malipo. Haijalishi unakuitaje, kufanga, kuchuna, gold digging n.k kote ni kujiuza. 1. Jane Mkenya ni mfanyabiashara mkubwa, mwenye pesa ya uhakika. Pamoja na pesa zake zote anatoka kwa kamishina wa mapato ili apate msamaha na upendeleo wa makadirio ya kodi. 2. Asha...
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania USSR/ Urusi wana legacy gani Afrika?

    USSR na Urusi ya leo wana legacy gani Afrika? Nimeona juzi kati kuwa wakati mambo yamemfika kooni, Patrice Lumumba aliomba msaada USSR kuweka nchi sawa. Nchi ikatulia. Bahati mbaya akapinduliwa na Mobutu akawatimua wa Soviets. Hapa karibuni, waasi na wababe wa kivita walijaa karibu CAR yote...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Namna Walimu na Wanafunzi wanavyoweza kujiweka salama dhidi ya Covid-19 katika mazingira ya shuleni

    Wanafunzi na Walimu wanapaswa kupata elimu ya kina kuhusu chanzo, dalili, athari na namna ya kujilinda na #coronavirus. Walimu wajisimamie na wawasimamie Wanafunzi katika kuchukua tahadhari zote za kujilinda kama vile kusimamia usafi mikono kwa wanafunzi, kudhibiti miosongamano na kuzuia...
  19. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka TRA kuhusu kubadilisha umiliki wa chombo cha moto

    Wakuu Someni Hii Taarifa Kutoka Mamlaka Ya Mapato Tanzania (TRA) ===== October 8, 2021 by Global Publishers MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kumekuwepo na changamoto kubwa ya baadhi ya watu wanakuwa wamesajili vyombo vya moto lakini usajili wao ni batili, hawajasajiliwa na TRA ambapo...
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wa namna ya kusafirisha parcel kisangani congo

    Rejea kichwa hapo juu. Kuna mzigo au parcel inatakiwa ifike kisangani kutokea Dsm. Wataalam na wadau wa road naombeni msaada.
Back
Top Bottom