USSR na Urusi ya leo wana legacy gani Afrika? Nimeona juzi kati kuwa wakati mambo yamemfika kooni, Patrice Lumumba aliomba msaada USSR kuweka nchi sawa. Nchi ikatulia. Bahati mbaya akapinduliwa na Mobutu akawatimua wa Soviets.
Hapa karibuni, waasi na wababe wa kivita walijaa karibu CAR yote...