Namna "nzuri" ya kuficha ushahidi

Teleskopu

JF-Expert Member
May 5, 2017
702
760
Tuseme unataka kujitajirisha
Ukasema kuwa bangi ni nzuri kwa afya
kwenye kijiji chenye watu 300
Kisha ukawagawia watu 50 bangi yako.
Lakini baada ya miezi michache watu 42 wakaanza kumwaga mate kama mazezeta.
Wale ambao hukuwapa bangi watasema, “Mnaona, bangi ni mbaya sana. Hakuna hata mtu mmoja anayetoa uderera ambaye HAKUTUMIA bangi. Wote wanaotoa mate, ni wale waliotumia bangi yako.
KWA HIYO BANGI NI HATARI.

Lakini ukiwapa wanakijiji wote 300 bangi,
Kisha baadaye wanakijiji 110 wakaanza kutoka mate,
Hata mtu akifyatua mdomo kuponda bangi yako,
Utamwambia chochote.

Mfano unaweza kumwambia, “Sio kweli. Mbona watu 190 hawatoi
Uderera? Wewe ni mwongo. Hawa wanaotoa uderera watakuwa walikuwa tu
Na matatizo yao mengine. Lakini bangi ni nzuri tu wala haina shinda.
Wewe ni mchonganishi unatakiwa kushughulikiwa.”

Ndio maana ni muhimu kulisha dunia yote “bangi”
Na ndio maana hawataki uchunguzi ufanywe juu ya
Madhara ya “bangi” yao.
Wanataka uamini kuw ani nzuri tu.
Usiulize maswali.

Je, wajua kuwa zamani sigara zilikuwa zikitangazwa kuwa NI NZURI KWA AFYA YAKO?

11.png

Wakaanga sumu hawajaisha. Watatumia your ignorance kujineemesha.
USILALE SANA.
 
Mi nimewaza wanafanya hivyo ili kuikuza thamani wakiruhusu tu cheki itakavyoshuka thamani!
 
Ni kweli wanakuza thamani lakini pia wanajua ni kitu hatari kwa afya yako. Lakini wakiwa wazi watazikosa pesa zako.
 
Tz waruhusu kilimo Cha bangi ila chini ya usimamizi Kuna nchi zinaruhusiwa halafu sisi kila siku tunalia ajira.. walioajiliwa wanakuambia jiajiri Sasa hizi si ndo fursa Sasa tunakwama wapi..😂
 
Ni kwa sababu bangi haijengi afya bali inaharibu mkuu
 
Leo tumeambiwa watu kadhaa tutakao kubali kuchanjwa tutaingia kwa mkapa bure ili tuangalie mechi
Hii siyo rushwa kweli?
Ofa ya siku moja unabaki na kilicho mwilini mwako maisha yako yote yaliyobakia. Mbona hawatoi ofa za kutibiwa malaria au magonjwa ya moyo?
 
Umemaliza kila kitu ni kama ulikuwa nao ila baadae mkaachana kwenye zebra. Dunia itabaki kuwa hivyo, walikubali upumbavu huu wa chanjo ni mazezeta.
 
Kuna wengi ambao hawajakubali bado lakini wana uwezekano wa kufanya hivyo, tunajaribu kuamsha fahamu zao ili wajiponye nafsi zao mkuu
 
Tuseme unataka kujitajirisha
Ukasema kuwa bangi ni nzuri kwa afya
kwenye kijiji chenye watu 300
Kisha ukawagawia watu 50 bangi yako.
Lakini baada ya miezi michache watu 42 wakaanza kumwaga mate kama mazezeta.
Wale ambao hukuwapa bangi watasema, “Mnaona, bangi ni mbaya sana. Hakuna hata mtu mmoja anayetoa uderera ambaye HAKUTUMIA bangi. Wote wanaotoa mate, ni wale waliotumia bangi yako.
KWA HIYO BANGI NI HATARI.

Lakini ukiwapa wanakijiji wote 300 bangi,
Kisha baadaye wanakijiji 110 wakaanza kutoka mate,
Hata mtu akifyatua mdomo kuponda bangi yako,
Utamwambia chochote.

Mfano unaweza kumwambia, “Sio kweli. Mbona watu 190 hawatoi
Uderera? Wewe ni mwongo. Hawa wanaotoa uderera watakuwa walikuwa tu
Na matatizo yao mengine. Lakini bangi ni nzuri tu wala haina shinda.
Wewe ni mchonganishi unatakiwa kushughulikiwa.”

Ndio maana ni muhimu kulisha dunia yote “bangi”
Na ndio maana hawataki uchunguzi ufanywe juu ya
Madhara ya “bangi” yao.
Wanataka uamini kuw ani nzuri tu.
Usiulize maswali.

Je, wajua kuwa zamani sigara zilikuwa zikitangazwa kuwa NI NZURI KWA AFYA YAKO?

View attachment 1951819

Wakaanga sumu hawajaisha. Watatumia your ignorance kujineemesha.
USILALE SANA.
Makala makini sana
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom