Kuna kidada cheupe pale TANESCO Mbezi Beach Afrikana nani anakipa jeuri namna ile?

mswangilishi

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
557
1,000
Kama mwezi hivi umepita!

Baada ya kusikia bei ya umeme imeshuka, Nilimtuma mdogo wangu kuomba umeme pale afrikana Tanesco!

Kwasababu nyumba ile anaishi mdogo wangu, hivyo nikamwambia aingize umeme kwa jina lake!

Dogo alipofika pale ili kuchukua fomu, Alikikuta kidada cheupe hivi kina nywele nyingi kichwani, kikamwambia dogo atoe hela ili kimpige picha ya passport! Dogo kwasababu kilimwambia picha alokuwa nayo haifai! (Hakijasema haifai kivipi)

Dogo akakubali kupigwa hiyo picha, Hicho kidada kikampiga picha dogo kwa simu pale dirishani na kuisafisha mle mle ndani ya ofisi ya umma!

Dogo alipoomba kupewa ile fomu, kile kidada kikamwambia atoe hela ya picha kwanza!

Dogo akatoa pesa pale dirishani lakini hakupewa listi yoyote ya ile pesa,
Baadae akanipigia simu kunielezea ilivyokuwa nikashangaa! Inakuwaje mfanyakazi wa umma anakuwa na ujasiri wa kiwango kile!

Nikamwambia dogo aulizie namba ya meneja pale ili nipate kumuuliza vyema,

Nikabahatika kumpigia simu yule meneja, lakini ajabu akasema wazi malalamiko ya hicho kidada hata yeye yanamkera kashakionya Mara kadhaa lakini yanajirudia!

Nikauliza mbona nimetozwa pesa ya picha katika ofisi ya Tanesco hapo afrikana pasipo kupewa lisiti? Yule meneja akasema atalifanyia kazi,

lakini ajabu hadi Leo sikupewa taarifa yoyote na malalamiko nilimfikishia!

Sasa nikajiuliza, kama mambo kama hayo kile kidada kimenifanyia Mimi hivyo.
Je ujasiri huo wa kupiga picha kwenye ofisi ya umma kimewafanyia watu wangapi?
Ina maana kinafanya biashara ndani ya ofisi ya umma?
ujasiri ule nani anakipatia?

Pia kama meneja alinijibu kuwa taarifa na malalamiko ya huyo mfanayakazi ni mengi na kashamuonya Mara kadhaa lakini haachi, je hicho kidada kinapewa jeuri hiyo na nani?

TANESCO YETU embu fuatilieni mtuambie hicho kidada cheupe chenye nywele nyingi pale mapokezi Tanesco mbezi beach afrikana kimewekwa pale na nani hadi kiwe jeuri namna hiyo?

Kinafanyia hivyo watu wangapi?
 
Zabron Hamis

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
3,803
2,000

@TANESCO
 
TANESCO

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
3,516

Tunashukuru sana kwa taarifa tunaipokea kwa hatua zaisi tafadhali tusaidie namba yako pm tuifatilie
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
53,684
2,000
Tuliomba lisiti ya hiyo huduma ya picha hakutoa, kwani vibaya kudai lisiti?
ungefuatilia kwanza kama tanesco wanapiga watu picha?
usikute dogo aliingizwa mjini.
then inabidi ufuatilie wafanyakazi wa Tanesco tabia zao..

hakuna kitu mle kuanzia ma director kushuka chini wote ni wala rushwa watupu.. kwao pesa mbele sio mkubwa wala sio mdogo..kwa hio chekecha akili usijipotezee muda bure wanaweza kukuwekea umeme baada ya miaka minne au mpaka utoe ch0chote
 
TANESCO

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
3,516
2,000
ungefuatilia kwanza kama tanesco wanapiga watu picha?
usikute dogo aliingizwa mjini.
then inabidi ufuatilie wafanyakazi wa Tanesco tabia zao..

hakuna kitu mle kuanzia ma director kushuka chini wote ni wala rushwa watupu.. kwao pesa mbele sio mkubwa wala sio mdogo..kwa hio chekecha akili usijipotezee muda bure wanaweza kukuwekea umeme baada ya miaka minne au mpaka utoe ch0chote
Kuna haki ya kusikiliza upande wa pili na uchunguzi hivyo tumelipokea kwa kulifatilia wakati mwingine unakuta mtu katoa fedha kwa kishoka asiye mfanyakazi wa TANESCO ndio maana tunasisitiza kuchunguza
 
Mlatino Zeshalo

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
702
1,000
Kama mwezi hivi umepita!

Baada ya kusikia bei ya umeme imeshuka, Nilimtuma mdogo wangu kuomba umeme pale afrikana Tanesco!

Kwasababu nyumba ile anaishi mdogo wangu, hivyo nikamwambia aingize umeme kwa jina lake!

Dogo alipofika pale ili kuchukua fomu, Alikikuta kidada cheupe hivi kina nywele nyingi kichwani, kikamwambia dogo atoe hela ili kimpige picha ya passport! Dogo kwasababu kilimwambia picha alokuwa nayo haifai! (Hakijasema haifai kivipi)

Dogo akakubali kupigwa hiyo picha, Hicho kidada kikampiga picha dogo kwa simu pale dirishani na kuisafisha mle mle ndani ya ofisi ya umma!

Dogo alipoomba kupewa ile fomu, kile kidada kikamwambia atoe hela ya picha kwanza!

Dogo akatoa pesa pale dirishani lakini hakupewa listi yoyote ya ile pesa,
Baadae akanipigia simu kunielezea ilivyokuwa nikashangaa! Inakuwaje mfanyakazi wa umma anakuwa na ujasiri wa kiwango kile!

Nikamwambia dogo aulizie namba ya meneja pale ili nipate kumuuliza vyema,

Nikabahatika kumpigia simu yule meneja, lakini ajabu akasema wazi malalamiko ya hicho kidada hata yeye yanamkera kashakionya Mara kadhaa lakini yanajirudia!

Nikauliza mbona nimetozwa pesa ya picha katika ofisi ya Tanesco hapo afrikana pasipo kupewa lisiti? Yule meneja akasema atalifanyia kazi,

lakini ajabu hadi Leo sikupewa taarifa yoyote na malalamiko nilimfikishia!

Sasa nikajiuliza, kama mambo kama hayo kile kidada kimenifanyia Mimi hivyo.
Je ujasiri huo wa kupiga picha kwenye ofisi ya umma kimewafanyia watu wangapi?
Ina maana kinafanya biashara ndani ya ofisi ya umma?
ujasiri ule nani anakipatia?

Pia kama meneja alinijibu kuwa taarifa na malalamiko ya huyo mfanayakazi ni mengi na kashamuonya Mara kadhaa lakini haachi, je hicho kidada kinapewa jeuri hiyo na nani?

TANESCO YETU embu fuatilieni mtuambie hicho kidada cheupe chenye nywele nyingi pale mapokezi Tanesco mbezi beach afrikana kimewekwa pale na nani hadi kiwe jeuri namna hiyo?

Kinafanyia hivyo watu wangapi?
Mkuu ungeniomba namba ya mtu flani tanesco. Huyo dada na meneja wake wangenyooka ndani ya dakika tano
 
mswangilishi

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
557
1,000
Kuna haki ya kusikiliza upande wa pili na uchunguzi hivyo tumelipokea kwa kulifatilia wakati mwingine unakuta mtu katoa fedha kwa kishoka asiye mfanyakazi wa TANESCO ndio maana tunasisitiza kuchunguza
Pesa imelipwa kwa huyo Dada mapokezi na alimpiga picha kwa simu yake na kusafisha picha pale, na kudai pesa ya picha kabla ya kumpatia fomu akiwa humo ndani!
 
TANESCO

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
3,516
2,000
Pesa imelipwa kwa huyo Dada mapokezi na alimpiga picha kwa simu yake na kusafisha picha pale, na kudai pesa ya picha kabla ya kumpatia fomu akiwa humo ndani!
Tunaendelea kuwasihi wateja wetu kujenga tabia ya kufata taratibu haswa za kufanya malipo yote ya Serikali kupitia namba ya kumbukumbu ya malopo yaani control number, malipo yote unayofanya nje ya mfumo sahihi ni uvunjifu wa sheria na taratibu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom