Uchawi 101: Madini kutoka kwa magenius wa Quora na namna ya kuudhibiti

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,602
Naandika kwa jinsi nilivoelewa baada ya kusoma comment za watu wa Quora kuhusu dhana nzima ya uchawi, ulozi, na laana.

Ki ufupi kabisa, wadau wamezungumzia uchawi kama aina fulani ya nguvu ' energy' kama ilivo energy nyingine unazozifahamu kama nishati ya jua, umeme n.k.

Na wamezungumzia kwamba, 'energy' hii ya uchawi huwa inakuwa generated kutoka kwenye mind ya mtu.

Kwamba sasa mtu mwenye nguvu za kichawi ni mtu ambaye anauwezo ku tengeneza 'energy' ambayo haionekani kwa macho ya kawaida kwa sababu inatoka kwenye mind.

Na mtu yeyote anaweza kugenerate hii energy ambayo ni ya kichawi ijapokuwa pia wachangiaji walionesha walisema, kuna watu ambao wanazaliwa tayari na energy za kichawi.

Na kitu kimoja tunapaswa kujua ni kwamba, mind ya mwanadamu inauwezo wa ku create mambo na yakawa. Kwa sababu ni energy ndiyo inayotenda kazi.

Ndo mana tutakuja kuona kwamba, ni muhimu sana kwa mtu kuwa na positive attitute, kwa sababu unavokuwa na attitute ambayo ni positive, maana yake mind yako inakuwa inagenerate positive energy ambayo ina msaada mkubwa kupambana na ushirikina.

Kwahiyo basi, kwa sababu uchawi ni energy, unaweza kuwa positive energy na negative energy.

Ikiwa ni negative energy hii ndiyo tunaiita black magic, ambayo haswa ni ile energy ya kuharibu. E.g. mchawi anaweza hapa akawa ana create negative energy na kui direct kwa mtu fulani 'target' kwa lengo la kumdhuru. Ndo mana unakuta ulozi mara nyingi inakuwa associated na mtu kukunenea mabaya, kwa sababu kupitia kunena kwa mdomo inafanya ile energy isafiri mpaka kwa mlengwa. Na hapa ndipo unaposikia mchawi anatumia nywele, kucha, nguo n.k za mlengwa ikiwa kama daraja la ku transfer hii energy ya uharibifu.

Lakini pia, wanakuambia kwamba mtu ambaye hata sio mchawi anaweza ku mess up with your life just kwa kuwa na negative energy against you, kwa sababu kumbuka energy hapo inakuwa imeshatengenezwa na lazima itende kazi.

Upande wa positive energy huwa tunauita white magic, kwa sababu ni energy ambayo inatolewa au kupatikana kwa nia ya kutokuharibu bali kujenga.

Na hii ipo common sana kwenye imani kama ukatoliki kitu kama kula communio au maji ya baraka, ni white magic ambayo inatengeneza positive energy.

Positive energy pia ni pale unakuta mtu, unamuombea mtu mwingine, kwa kumtaja tu jina ndani ya sala, ina create positive energy ambayo huwa inatenda kazi ki kweli kweli. Ndo mana tunashauriwa tuwaombee hata wale watu ambao tunaona wamepigwa na uchawi, it helps alot.

Baada ya hapo, ambapo tumeona uchawi haswa ni nini, kulogwa ni nini, kulaaniwa ni nini...

Ma genius wa Quora wame propose mambo yafuatayo kama njia ya kujikinga au kujikomboa kutoka kwenye black magic.. uchawi wa kuharibu

1) Kuwa na positive attitute... hii maana yake ni nini? hapa wewe mwenyewe binafsi unatakiwa uwe mtu ambaye nafsi yako umeijaza vitu positive, yaani attitude yako ipo positive.. hii ni tiba namba moja kwa sababu mahali penye positive energy negative energy haiwezi kuingia. Na hapa kuna mifano ya wale watu ambao, pamoja na kwamba sio watu wa dini sana, ila wameshindwa kabisa kuingilika na wachawi kwasababu tayar ile hali ya wao kuwa na positive energy within, imewapa kinga dhidi ya negative energy kuwaingia.

2. Chumvi ... haswa haswa natural 'kuoga na maji ya baharini' au hata chumvi ya kawaida kwenye kuoga, au wakati wa kulala unaweka chini ya mto. Hakuna negative energy huwa inapenya kwenye chumvi, ni njia nzuri ya kujitakasa

3. Maji ya baraka kwa wakatoliki, hii pia kiboko ya ulozi.. na nimekuja kugundua pia ni kwanini maji ya baraka huwa yanatengenezwa pia na chumvi.

4. Udi, sage... hii pia wameshauri wataalamu, inavunja negative energy ambayo imeelekezwa juu yako.

5. Sala kwa dini zote.. kwa sisi wakatoliki, wataalamu wameshauri tukitaka kuvunja negative energy, tuwe tunasali kwa jina la wale watakatifu ambao walikuwa wabapambana na wachawi na nguvu za kishetani mfano hapa.. Mtakatifu Mikhail sala ya Mikhail, Mtakatifu Dominic, na Mtakatifu Batholomew Longo na pia kubwa kabisa ni kusali Rozari ya bikira Maria.. hii inavunja kila kitu

Wataalamu ma genius wa Quora wakatoa pia dalili za endapo kuna negative energy imeelekezwa kwako i.e dalili ikiwa kuna mtu anakufanyia ulozi anakutumia negative energy.. Wanasema ukijiangalia mwenyewe utajua au utahisi

1. Mood swing.

2. Unakuwa mtu wa negative attitude, always umejawa na hisia ambazo ni negative.

3. Unakosa self drive na haupo motivated na maisha yako.

4. Ni rahisi kumuona mtu anayelogwa hajihali hata kimavazi.

wanakuambia ukiangalia sana na ukachambua mtu utajua tu hapa kuna kitu hakipo sawa.

Kwa hiyo ndugu zangu, hayo ndo matokeo ya utafiti wangu hapo jana usiku, nilikuwa nimekesha jana kusoma kwa ajili ya mitihani ila nikajikuta nimesoma kuhusu hayo mambo, na kwa kweli nimejifunza mengi sana kwa masaa machache.

Kwa wasio amini mambo ya ulozi na uchawi, hiyo pia haikuondolei kinga ya kutokurushiwa negative energy from others.

So tujifunze.

Mshana Jr. natumai utakuja kuongeza madini hapa.

N.Mushi
 
wao hupenda kuufafanua uchawi kwa njia za kisayansi, lkn ukwel ni kuwa uchawi sio nguvu ya kila mtu, ama iliyoko ktk mind, watakiwa kutofautisha kati ya power of mind and witchcraft (magic black or whatever).

uchawi ni nguvu za roho znazomvaa mtu kwa kupenda ama kutokupenda, naposema kutokupenda maana yake kurithishwa ukiwa mtoto bila kujijua, ama kulazimishwa ukiwa mtu mzima.

Uchawi si kila mtu anaweza fanya, maana ni nguvy za roho aina ya pepo(jini,mzimu,n.k), ambayo huwa ndan ya mwili wa roho ya mtu, na kumfanya kutenda maajabu kutokana na aina ya pepo alilonalo.

pepo uyo wa uchawi uweza kuwa aina ya mazingaombwe, uganga(mizimu), ushirikina na vijicho(majini) na hawa huweza kurithishwa kutoka kwa mtu na mtu.

pia ktk uchawi kuna aina nyingine ya matumiz ya uchawi lkn usiwe mchawi, yaan mfuasi wa ushirikina, huyu huweza kufanya uchawi pasipo kuhitaji roho(pepo) kumvaa, aina hii ya uchawi ni ile ya matumiz ya madawa yenye nguvu za kutenda maajabu ya kichawi, mfano madawa ya manuizi, ibada na matambiko, ulozi kutoka kwa waganga, hawa wote wanaweza kuwa waumin wa uchawi bila ya wao kuwa na uchawi, yaan unatenda jambo bila wew kuwa na iyo nguvu, lkn unategemea tunguri ama jambo la giza kutokea kwa kutegemea vitendea kaz vya uchawi, hapa hata watoa limbwata na dawa za mapenz huingia, pia wale mnaotumia maji na mafuta ya manabii, mnajikuta mnatenda uchawi pasipo ninyi kuwa wachawi.

uchawi ni uchawi tu hata utendeke vipi, hakuna cha white wala black magic, wote ni uchawi maana ni nguvu moja ya kuweza kutenda negative actions or positive actions under the same demon, who having those power to do wonders.

uchawi ukichambuliwa kisayans matokeo yake ni ''hakuna uchawi" hii kutokana na kukosa shahid za kuelezea uwepo wake ama jinsi unavyofanya kazi, ama ''uchawi ni nguvu za akili/mental tricks to do wonders " jambo ambalo si kweli.

uchawi hauji kwa bahat mbaya wala kuzaliwa nao pasipo kurithishwa na mtu,.

uchawi ni mbaya na ndyo chanzo cha maafa hususan ktk jamii za kiafrika(uswahilin) kwa kuendekeza ushirikina kwa kukomoana, vijicho, wivu, husda, tamaa mbaya, kutoana misukule, kuuwana bila sabbu, kuaribiana maisha, haya yote ni matumiza ya uchawi kwa waswhil

asikwambie mtu uchawi yaan ni mbaya na unaaribu , maisha ya watu wengi, sio Tz tu au afrika, bali kwa dunia nzima
 
Mkuu maelezo yako yapo contradictory, yamechanganya vitu vingi ambavyo havihusiani

Kwanza unaposema energy unamaanisha energy kwa maana ya ki physics au ki pysychology?
Janja- janja ya zama hizi kila kitu ili kionekane fact ni lazima na muhimu uki-associate na sayansi ... ndio mana ukakutana hizo concept za physics hapo
 
Ukiangalia maelezo yangu vizuri, hii energy nimesema haionekani kwa macho, so ipo upande wa metaphysics maana yake haionekani
 
Janja- janja ya zama hizi kila kitu ili kionekane fact ni lazima na muhimu uki-associate na sayansi ... ndio mana ukakutana hizo concept za physics hapo
wao wamezungumzia uchawi kama energy ya ulimwengu wa metaphysics ambao unahusiana na mambo ya kiroho, mind, na soul
 
Kitu ambacho nilichokiona hapo ni kuwa wanajadili kitu ambacho hawakijui.

Uchawi si Energy kama wanavyo dai.
 
Janja- janja ya zama hizi kila kitu ili kionekane fact ni lazima na muhimu uki-associate na sayansi ... ndio mana ukakutana hizo concept za physics hapo
Na hapa ndipo walipofeli sana watu na kudanganyana. Yaani imefikia hatua ili kitu kionekane cha kweli basi lazima kipimwe na Sayansi. Aisee ukisoma maoni ndiyo utaona vichekesho,unaona wazi kabisa wanadanganyana.
 
wao hupenda kuufafanua uchawi kwa njia za kisayansi, lkn ukwel ni kuwa uchawi sio nguvu ya kila mtu, ama iliyoko ktk mind, watakiwa kutofautisha kati ya power of mind and witchcraft (magic black or whatever).

uchawi ni nguvu za roho znazomvaa mtu kwa kupenda ama kutokupenda, naposema kutokupenda maana yake kurithishwa ukiwa mtoto bila kujijua, ama kulazimishwa ukiwa mtu mzima.

Uchawi si kila mtu anaweza fanya, maana ni nguvy za roho aina ya pepo(jini,mzimu,n.k), ambayo huwa ndan ya mwili wa roho ya mtu, na kumfanya kutenda maajabu kutokana na aina ya pepo alilonalo.

pepo uyo wa uchawi uweza kuwa aina ya mazingaombwe, uganga(mizimu), ushirikina na vijicho(majini) na hawa huweza kurithishwa kutoka kwa mtu na mtu.

pia ktk uchawi kuna aina nyingine ya matumiz ya uchawi lkn usiwe mchawi, yaan mfuasi wa ushirikina, huyu huweza kufanya uchawi pasipo kuhitaji roho(pepo) kumvaa, aina hii ya uchawi ni ile ya matumiz ya madawa yenye nguvu za kutenda maajabu ya kichawi, mfano madawa ya manuizi, ibada na matambiko, ulozi kutoka kwa waganga, hawa wote wanaweza kuwa waumin wa uchawi bila ya wao kuwa na uchawi, yaan unatenda jambo bila wew kuwa na iyo nguvu, lkn unategemea tunguri ama jambo la giza kutokea kwa kutegemea vitendea kaz vya uchawi, hapa hata watoa limbwata na dawa za mapenz huingia, pia wale mnaotumia maji na mafuta ya manabii, mnajikuta mnatenda uchawi pasipo ninyi kuwa wachawi.

uchawi ni uchawi tu hata utendeke vipi, hakuna cha white wala black magic, wote ni uchawi maana ni nguvu moja ya kuweza kutenda negative actions or positive actions under the same demon, who having those power to do wonders.

uchawi ukichambuliwa kisayans matokeo yake ni ''hakuna uchawi" hii kutokana na kukosa shahid za kuelezea uwepo wake ama jinsi unavyofanya kazi, ama ''uchawi ni nguvu za akili/mental tricks to do wonders " jambo ambalo si kweli.

uchawi hauji kwa bahat mbaya wala kuzaliwa nao pasipo kurithishwa na mtu,.

uchawi ni mbaya na ndyo chanzo cha maafa hususan ktk jamii za kiafrika(uswahilin) kwa kuendekeza ushirikina kwa kukomoana, vijicho, wivu, husda, tamaa mbaya, kutoana misukule, kuuwana bila sabbu, kuaribiana maisha, haya yote ni matumiza ya uchawi kwa waswhil

asikwambie mtu uchawi yaan ni mbaya na unaaribu , maisha ya watu wengi, sio Tz tu au afrika, bali kwa dunia nzima
Mkuu wao wamesema ni something related to Metaphysics, which means ni kitu connected tu soul, mind etc... mambo yasiyo onekana.

Kama ulishawahi kuona mazingaombwe, it is the same, ila ni namna mtu anafanya energy manipulation kupata matokeo fulani. Lakini namna hii energy inavokuwa generated ni kwa upande wa metaphysics.

Hope imeeleweka mkuu
 
Kitu ambacho nilichokiona hapo ni kuwa wanajadili kitu ambacho hawakijui.

Uchawi si Energy kama wanavyo dai.
Sitaki kukubishia mkuu, ila kwa kweli mimi binafsi nimewaelewa sana. Inategemea pia na namna ulivoelewa wewe. Concept ya energy.
 
Na hapa ndipo walipofeli sana watu na kudanganyana. Yaani imefikia hatua ili kitu kionekane cha kweli basi lazima kipimwe na Sayansi. Aisee ukisoma maoni ndiyo utaona vichekesho,unaona wazi kabisa wanadanganyana.
Ni metaphysics brother
 
Back
Top Bottom