Wanawake wengi sana wanajiuza, ila namna ya kufanya biashara ndio imetofautiana

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,706
155,293
Kujiuza ni kutoa penzi kwa malipo. Haijalishi unakuitaje, kufanga, kuchuna, gold digging n.k kote ni kujiuza.

1. Jane Mkenya ni mfanyabiashara mkubwa, mwenye pesa ya uhakika. Pamoja na pesa zake zote anatoka kwa kamishina wa mapato ili apate msamaha na upendeleo wa makadirio ya kodi.

2. Asha (sio jina lake halisi) ni msichana wa kazi za ndani, asubuhi waajiri wake huondoka saa kumi na mbili asubuhi na hurejea saa moja usiku. Nyumbani hubaki Asha na mtoto mdogo.

Muuza mboga za majani hupitisha nyumbani mboga za majani kila siku kwa ajili ya mlo wa familia, Asha humalizana ndani na muuza mboga na hupewa mboga bure na posho juu.

3. Irene yeye ni mwanachuo wa chuo kimoja cha elimu ya juu jijini, bwenini kwake kuna friji kubwa nyeusi ya milango miwili yenye kutengeneza ice cubes/ ice blocks, 50" smart tv screen 4K Samsung, Sound bar from Grundig German, iPhone 13 na manukato original ya ma designer.
Irene anatoka na profesa ili kupata maksi nzuri, ana bwana ana duka la simu , pia anaye mwingine Yuko hazina, na hata yule aliye mpeleka vacation Maldives ni afisa ubalozi wa nchi fulani hapa Tanzania.

4. Fatuma yeye ni muhudumu wa bar, ana watoto wanne kila mmoja na baba yake. Mshahara wake ni 70'000 kwa mwezi lakini analipa nyumba, chakula, mavazi na ada za watoto wake na bado anawasaidia nduguze kijijini.
Fatima hata leo usiku hajui atalala wapi na bwana gani.

5. Mariam ni mhasibu wa shirika fulani kubwa nchini, yeye ndiye mkuu wa idara ya uhasibu.

Meneja huwapangia Safari za Mara kwa Mara walio chini yake, nje na ndani ya nchi, Mariam yeye hapati kitu.

Mariam kabadilisha mavazi, na hurembua na kubadilisha sauti wakiwa na bosi wake, kamlaghai boss Hadi boss kapewa penzi. Sasa kila siku kawa no kiguu na njia
 
Any way acha tu watuuzie hakuna namna ila wapunguze bei kidogo bei zao zinamuumiza mtanzania wa kiwango cha chini serekale iliangalie hili pia.
Imagine sahivi natakiwa kumlipia mtu kodi ya 3month wakati alinipa kifo cha mende tu. Eti kwani kifo cha mende waga ni bei gani wakuu
 
Amina yupo reception kwenye geust house ya mjomba wake Amina Ana mtoto mmoja mdogo Amina hukaribisha watu na kuwatandikia kitanda na kuwapa mataulo..Amina huliwa na kijana mmoja mwajiriwa wa shirika fulani kijana huyo humuachia Amina 5000 na pia Mara nyingi hubeba chips nakwenda kula naye guest hapohapo
 
Duh huyu anamegwa kwa hasara
 
Kujiuza ni kutoa penzi kwa malipo. Haijalishi unakuitaje, kufanga, kuchuna, gold digging n.k kote ni kujiuza.

1. Jane Mkenya ni mfanyabiashara mkubwa, mwenye pesa ya uhakika. Pamoja na pesa zake zote anatoka kwa kamishina wa mapato ili apate msamaha na upendeleo wa makadirio ya kodi.

2. Asha (sio jina lake halisi) ni msichana wa kazi za ndani, asubuhi waajiri wake huondoka saa kumi na mbili asubuhi na hurejea saa moja usiku. Nyumbani hubaki Asha na mtoto mdogo.

Muuza mboga za majani hupitisha nyumbani mboga za majani kila siku kwa ajili ya mlo wa familia, Asha humalizana ndani na muuza mboga na hupewa mboga bure na posho juu.

3. Irene yeye ni mwanachuo wa chuo kimoja cha elimu ya juu jijini, bwenini kwake kuna friji kubwa nyeusi ya milango miwili yenye kutengeneza ice cubes/ ice blocks, 50" smart tv screen 4K Samsung, Sound bar from Grundig German, iPhone 13 na manukato original ya ma designer.
Irene anatoka na profesa ili kupata maksi nzuri, ana bwana ana duka la simu , pia anaye mwingine Yuko hazina, na hata yule aliye mpeleka vacation Maldives ni afisa ubalozi wa nchi fulani hapa Tanzania.

4. Fatuma yeye ni muhudumu wa bar, ana watoto wanne kila mmoja na baba yake. Mshahara wake ni 70'000 kwa mwezi lakini analipa nyumba, chakula, mavazi na ada za watoto wake na bado anawasaidia nduguze kijijini.
Fatima hata leo usiku hajui atalala wapi na bwana gani.

5. Mariam ni mhasibu wa shirika fulani kubwa nchini, yeye ndiye mkuu wa idara ya uhasibu.

Meneja huwapangia Safari za Mara kwa Mara walio chini yake, nje na ndani ya nchi, Mariam yeye hapati kitu.

Mariam kabadilisha mavazi, na hurembua na kubadilisha sauti wakiwa na bosi wake, kamlaghai boss Hadi boss kapewa penzi. Sasa kila siku kawa no kiguu na njia
Kila kitu kipo utakavyokichukulia wewe
That's just a perception but does it bother to just let them be!
Wanauza zao si zako ingawa wanunuaji pia si ndio nyie wenyewe
 
Back
Top Bottom