namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Namna za 4 Simba kufuzu robo fainali

    HALI ILIVYO ASEC 9 BERKANE 7 SIMBA 7 USGN 5 SIMBA IKISHINDA NA BERKANE AKISHINDA ASEC 9 BERKANE 10 SIMBA 10 USGN 5 SIMBA IKISHINDA BERKANE AKAFUNGWA ASEC 12 BERKANE 7 SIMBA 10 USGN 5 SIMBA AIKITOA SARE BERKANE AKIFUNGWA ASEC 12 BERKANE 7 SIMBA 8 USGN 6 SIMBA IKISHINDA BERKANE AKITOA...
  2. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Namna elimu ya 'Balagha' inavyoingiza watu wengi kwenye Uislam

    Balagha ni elimu ya maneno au Hotuba inayoathiri, na kumsogeza mtu kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine. Ili kuielewa vyema, hebu turudi nyuma na tuangalie jinsi tunavyowasiliana, Tuna mawazo au hisia ndani yetu, tunaita ''Maana katika nafsi'' Ili kueleza mawazo au hisia hizo, tunatumia...
  3. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna namna yeyote ile 7 - 1 jibu likawa 5? Tusaidiane mawazo

    Je, kuna any possible scenario ambapo 7 - 1 outcome ikawa ni 5? Kweli hakuna kabisa uwezekano?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupata fridge za TBL

    Kama kuna mtu anajua procedures za kufuata ili kupewa fridge za bia kama Safari n.k na TBL naomba anijuze tafadhari?
  5. Mshamba wa kusini

    JamiiForums Tanzania Sahili za vitendo (practical) kada network administrator wanatoa maswali ya namna gani?

    Habari Nimeitwa kwenye practical ya utumishi kada network administrator, ningependa kupata hints jinsi namna maswali yanavyotoka na ni part ipi nijiandae vizuri.
  6. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Namna nilivyonusurika kufa kwenye ajali ya gari, Bongo unakufa huku unajiona

    Kwema wadau? Mwaka huu mwanzoni nikiwa nimetoka kusheherekea sikukuu ya mwaka mpya na nikiwa nimefanya maombi ya mipango yangu mingi kwa mwaka huu na kumsihi sana Mungu wangu aliye hai anijalie afya, uhai, furaha na amani tu mengine nayaweza hayanisumbui kabisa, basi sikuwa najua siku chache...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Msaada vitabu vya Mathias E. Mnyampala, tutalipana namna hii

    Mnyampala ni moja ya waandishi wa mwanzo mwanzo kabisa Tanzania. Nisaidie vitabu vyake vitatu. Kama unavyo viscan halafu nitumie. Kila kitabu 10,000. 1. Diwani ya Mnyampala 2. Kisa cha mrina asali na wenzake wawili. 3. Historia, mila na desturi za wagogo wa Tanganyika.
  8. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Nikiamka namna hii aisee siku huenda vizuri sana

    Bila shaka mu bukher wa Afya wana Jf. Mi binafsi namshukuru Mungu kwa afya njema Mi napenda sana nikiamka basi simu yangu iwe Full Charge.. Iwe na Bando la Kutosha (Dakika na Gb) Mtandao uwe na kasi basi siku yangu huenda vizuri sana maana 80% ya utafutaji wangu upo online.. Muwe na...
  9. Mnyuke Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kufanya booking ya tiketi ya ndege kutoka Mpanda kwenda Dar

    Habari zenu wakuu Naomba msaada wa muongozo wa namna ya kubook online ticket ya ndege kutoka Mpanda to Dar es salaam kwa Air Tanzania Nina mpango wa kusafiri tar 18 mwezi huu na nina hitaji kubook ticket hiyo online ili nikimaliza shughuli zangu nitumie flight hiyo kurudi Dar JF Wajuaji...
  10. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Eritria ni nchi ya namna gani?

    Habari za mda huu Wadau naomba kujuzwa zaidi ni nani anaefahamu vizuri nchi ya Eritria maana hii nchi inaonekana kuja na surprise za kiwendawazimu kila muda Mfano walikuwa na ugomvi wa muda mrefu na Ethiopia lakini walivyozungumza na kufunguka mipaka wakaanza kituma wanajeshi kusaidia Ethiopia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

    Inasikitisha. Kulikuwa hakuna utii bila shuruti?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Abnormal menstrual bleeding: Je nini chanzo na ni kwa namna gani tunaweza kutibu tatizo la kutokwa damu ukeni (kipindi cha hedhi) bila kukata?

    Habari za wakati huu wana JF! Ni matumaini yangu kuwa mko wazima na bukheri wa afya. Naomba kuuliza , ni nini chanzo cha kutokwa na damu ukeni (menstrual bleeding) kwa muda mrefu bila kukoma tukiangalia sanasana kwenye mazingira yetu ya kitanzania, na je tiba yake ni ipi? Mwenye kufahamu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

    Mhalifu hawi mhalifu hadi pale itakapothibitika! Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria! Sipo hapa kumtetea Mfalme Zumaridi, Bali nashangaa namna ya uharamu wa ukamtaji! Taratibu za ukamataji kwa mujibu wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Trump amsifia Putin kuwa ni 'Genius' kwa namna alivyoingia Ukraine

    Trump anasema kuwa namna Rais Putin alivyotangaza majimbo mawili makubwa ya Ukraine kuwa huru, hayapo ndani ya Ukraine, ni namna ya kipekee iliyotumia akili kubwa mno (Genius). Trump akaendelea kusema kuwa Putin anaenda ingia ndani ya Ukraine na kuwa mlinda amani..."hilo ni jeshi imara zaidi la...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia mtoto kukabiliana na msiba wa mtu anayempenda

    Kuwa muwazi na mueleze kile kilichotokea kwa njia rahisi anayoweza kuelewa. Tumia maneno kama 'amefariki', usifunike kwa kumwambia amelala au namna nyingine yoyote. Mtoto akiuliza maswali yajibu kama unaweza na usimdanganye kwa kutunga hadithi ya uongo. Kubaliana na hisia za mtoto. Mtoto...
  16. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Miamala kwa njia ya simu inatufilisi bila kujua

    Kusaidiana ni njia mojawapo ya Kudumisha Upendo Baina yetu sisi na watu wengine ikiwemo ndugu zetu, jamaa na Marafiki. Kukua na kuongezea kwa matumizi ya Huduma za Kifedha kwa njia ya simu imesaidia na kurahisisha kwa kiwango Kikubwa sana ndugu, jamaa na marafiki kutumiana fedha pindi...
  17. love life live life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri bora kwa wanaume waliooa/wanaotaka kuoa namna ya kumjua mkeo

    Mjue mkeo. Nimeombwa kutafasri.. tafasri hii sio ya moja kwa moja.. "Omba likizo ya siku 21, nenda nyumbani mwambie mkeo umefukuzwa kazi, Kutokana na upotevu wowote wa hela au sababu zinazofanana na hiyo. Na sasa unatakiwa kutumia akiba yako kidogo uliyonayo ili kujipanga upya. Jaribu kukaa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli kwa gharama hizi za umeme, tutawasha chemli hakuna namna

    Jamani, TANESCO naomba nielewesheni Jana nimenunua umeme wa 200000 lakini nimekatwa vat 29500 Ewura 14000 Rea 4900 Swali ni kwann mimi mteja nikatwe pesa zote hizi wakati umeme nguzo nalipia waya nalipia na mita nanunua sasa swali langu ni kwann nikatwe pesa hizi Source CarolNdosi Twitter...
  19. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Maelekezo toka TANESCO ya namna ya kuondoa Error 77 kwenye mita zinazoanza na namba 2421.

    https://t.co/DCXZzvg2Pu
  20. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujiajiri ukafanikiwa kwa haraka (kwa wenye mitaji)

    Biashara ni ni kazi nzuri sana lakini inahitaji akili nyingi sana ili uweze kuifanya kwa mafanikio ukafikia ukaipenda na kuona maisha yako bila biashara nikazi bure,yahitaji ujue kufikiri sana sana kabla hujaianza au kuingia. (Usikurupuke) Leo nataka nitoe siri 1 ya mafanikio ya waliofanikiwa...
Back
Top Bottom