namna ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Namna ya kutambua kama umeokoka au wewe ni Mkristo

    Leo mtu akitokea na kuwauliza waumini wengi wa makanisa ya kiroho swali la Je! ni kweli tutakwenda mbinguni?.Bila shaka wengi watajibu ndiyo na sababu watakayoitoa kubwa ni kwamba wamempokea na kumkiri Yesu kama Bwana na Mwokozi. Lakini pamoja na jibu hilo bado siyo sababu kuu ingawa ni sehemu...
  2. S

    Msaada wa namna ya kupata visa/hati ya kusafiria ya tanzania

    Wanajukwaa habarini za wakati huu. Poleni kwa majukumu. Nilikuwa naomba msaada wa namna ya kupata visa/hati ya kusafiria ya hapa kwetu Tanzania. Nataka niende ughaibuni (taifa X huko America kaskazini) nikajitafte kidogo na huko maana bongo land kwetu wanga wamekuwa wengi (natania 😅) Naamini...
  3. Kuna kazi nyingi katika nchi hii hazina faida kwa Taifa. Serikali ifikiri namna ya kuzikomesha au kuziboresha

    Nchi ya Tanzania watu wanachapa kazi sana na watu wavivu au wenyewe wanajiita wasio na kazi wako pia. Turudi kwenye mada. Serikali inawaza nini juu ya kazi ambazo hazina tija kwa taifa, hazichangii pato la taifa? Kazi ambazo zinampa ugali mfanyaji na familia yake basi. Taifa litasonga vipi...
  4. Namna ya kupunguza upweke nyumbani

    Binadamu yeyote anahitaji kuwa na furaha, pamoja na kuzungukwa na watu mbali mbali ambao watamfanya achangamke na kuondoa au kupunguza tatizo la msongo wa mawazo. Hii imekuwa ikitokea kwa baadhi ya familia, baada ya kukuza watoto wao na kwenda kujitegemea, na hatimaye kuwaacha wazazi wao wakiwa...
  5. Msaada namna ya kurudisha message iliyofutika

    Habarini za muda huu wakuu, Msaada namna ya kurudisha tena msg iliyofutika bahati mbaya anaefahamu njia ya haraka pls nijulishe yani ni msg muhimu sana kwaajili ya malipo.
  6. Siku si nyingi, Tanzania Bara tutaenda kujifunza Zanzibar namna ya kutelekeza miradi ya maendeleo

    Naingalia Zanzibar kwa jicho la kipekee sana. Wanafanya miradi kama ya Tanzania bara ina miradi yao inafanywa kwa ubora wa kipekee sana. Naona majengo mengi yanayojengwa kwao wanatumia kampuni binafsi na wanajenga kwa kuzingatia hasa value for money. Jengo la Shule iliyojengwa Zanzibar huwezi...
  7. Naomba kuuliza hili tatizo la thread zangu Mpya ninazopost lipo kwangu tu au Mimi ndo sijui namna ya kuview my post status.

    Habari wanajukwaa, mwenzenu kila nikipost nyuzi(thread) lakini nikitaka kuview comments na kujibu hoja post hizo huwa hazionekani, Bali zinaonekana za zamani tu. Au Mimi nakosea namna ya kuoperate. Majibu tafadhali au muongozo........
  8. Namna ya kupiga hesabu ya material kwa uhakika

    Habari wakuu. Nimekua nikiona members humu wakiulizia kuhusu idadi ya material kwa nyumba. Sasa kwa ufupi ukitaka kupiga hesabu kwa uhakika unatakiwa kujua 1. urefu (running meter) wa nyumba (yani ukiikunjua nyumba kama kamba itakua na urefu gani). Hii itakusaidia kupata idadi ya tofali za...
  9. Naomba kufundishwa namna ya kutengeneza animation ya Automatic Power Factor Correction ya kiwanda kidogo(Small Factory)

    Wanajamii habari zenu ,ninaomba msaada wa kielimu kwenye suala hili la kutengeneza animation ya automated power factor correction system kwenye kiwanda kidogo . Pia na namna ya kuandika literature review ya project work ya hii kazi.
  10. Naomba msaada namna ya kutengeneza portfolio ya kazi

    Mwenye ujuzi ni namna gani naweza kutengeneza portfolio kwa ajili ya kuonesha kazi nilizofanya. Naomba anisaidie maana sifahamu wapi nianzie.
  11. Mapendekezo ya Namna ya Kuleta Maendeleo Katika Eneo Lako la Uongozi; Nimetumia Diwani na Kata Kama mfano.

    Habari humu ndani, heri ya Mwaka mpya! Tuanze mwaka kwa kuwakumbusha wenzetu viongozi hasa hao wa kuchaguliwa na wananchi waambue dhamana waliyopewa ni kubwa na waitumie vizuri kuwaletea wananchi maendeleo. Utangulizi: Kama Mheshimiwa Diwani, kuna fursa kubwa ya kutumia nafasi hii kwa...
  12. Namna ya kuiongoza akili katika kufikiri

    Akili yahitaji kuongozwa katika kufikiri baada ya kuboreshwa, Itatumika wapi? na kwa maslahi ya nani? na kwakujenga lipi? akili ile itatumika.! na vipi mwanaadamu atajizoezesha kukabiliana katika miamala yake kwa vipimo vya akili..! Qur'an imelaumu sehemu kadhaa wa kadha kuhusu fikra ya watu...
  13. Namna gani ya ku-edit scanned documents?

    Habari zenu wakuu,naomba msaada wa namna ya kuedit documents ambazo zimeandaliwa (scanned) kwa kutumia apps cama camscanner
  14. Z

    Msaada kujuzwa yafuatayo kuhusu utungwaji wa mimba

    Habarini wana JF, naombeni kuwauliza yafuatayo: 1) Hivi inawezekana mimba kutungwa endapo mwanaume katumia kinga kikamilifu (condom imara aina ya rough rider) na kinga hizo hazikuharibika hata kama mwanamke akiwa kwenye siku za hatari za kushika mimba? 2) Inawezekana kipimo cha ultrasound...
  15. K

    Serikali (TANROAD NA TARURA) tusaidieni namna ya kuboresha barabara kutoka Kinyanambo C (Mafinga ) - Mlimba

    Kwa heshima na taadhima niiombe serikali kupitia TANROADS NA TARURA kuangalia namna ya kujenga barabara kutoka mafinga,kinyanambo c mpaka mlimba hata kwa kurekebisha au kujenga hata kwa changarawe hasa sehemu zile korofi ili kuwasaidia wananchi kuepuka na adha ya usafiri hasa kipindi cha masika...
  16. K

    Wizara ya Afya angalieni namna ya kuboresha kondomu zenye nembo ya (ZANA)

    Nisiwe muongeaji sana. Wizara ya afya angalieni namna ya kuboresha kondomu mlizoingia nazo ubia na makampuni ya uzalishaji wa kifaa tiba hiki muhimu hasa kwa sisi vijana. Kuna kondomu aina ya ZANA zinazosambazwa na serikali kupitia wizara ya afya kiukweli zile ndomu hazina ubora wowote kiufupi...
  17. Namna ya kufanikiwa katika biashara zenye mitaji midogo. Kufikia hadi 66% profit per day

    Habarini wana jamii forums, Hope everyone is excited as I am! ni matumaini yangu wote tu buheri wa afya ya mwili na akili. Kwanza kabisa Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema aliyetukutanisha siku ya leo, Kujumuika pamoja katika jukwaa hili kwa lengo la...
  18. Njoo hapa ujifunze namna ya kumtambua mganga feki na mganga konki

    Ukiona mganga yeyote anakufuata akutatulie changamoto yako haijalishi kakufuata pm au ana kwa ana basi jua huyo ni tapeli.waswahili wanasema mwenye shida humfuata mganga. Kama yeye kakufuata basi wewe ndio mganga. Mganga yeyote anayeweka bango kwenye nguzo ya umeme, kwenye magazeti, kwenye...
  19. T

    Naomba kufundishwa namna ya kutengeneza automatic school result ya excel

    wakuu naomba msaada namna ya KUTENGENEZA AUTOMATIC templete ya matokeo ya shule ya msingi....yaani niwe naweka tu majina na matokeo, template yenyewe iwe inanitafutia jumla,wastani, daraja na nafasi.....automatic.....msaada wakuuuu
  20. Namna ya kupika sotojo la mchemsho wa ndizi nyama

    Naendeleza somo langu la mbinu za mapishi na masotojo ya kijanja. Nimegundua jamii ya watanzania wapo nyuma sana kwenye mapishi. Last time nilikuja na kigongo cho rosti la kitimoto Mbinu za kupika sotojo / rosti la kitimoto, unaweza kula mpaka ujiume ulimi... Enjoy Leo nakuja na sotojo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…