Duh...kweli adui yako mwombee njaaa!
Hivi kweli 'SuperPower' wetu kafikia hatua ya kulialia njaa?! Hadi Ikulu 'kubwa' kuitisha kongamano rasmi la kujadili namna ya kupigana vita na adui mpya 'njaa' anayesumbua taifa teule!
Kweli maajabu hayaishi dunia hii.
Asante sana Urusi kumvua nguo Super...
Umewahi kupata wazo kuwa mtu kazini kwako hana nia njema na wewe?
Je, wakati mwingine unahisi kuna watu fulani unaofanya nao kazi ni wabaya wako?
Inawezekana isiwe uadui wa moja kwa moja lakini kuna ile hali ya kutokuamni wenzako.
Unajisikia haupo salama unapomsikiliza mtu lakini hujui ni...
Urgent: ninahitaji id copy ya NIDA,nina namba tu,mwenye kujua namna ya kupata
Najua humu kuna watu wa aina mbalimbali,na wenye uwezo tofauti
Naomba msaada
Amina, arusha Tanzania
Urgent: ninahitaji ID COPY ya NIDA, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata.
Najua humu kuna watu wa aina mbalimbalina wenye uwezo tofauti
Naomba msaada
Amina, Arusha tz
NAMNA YA KUWEZA KUISHI DAR! ISHI KIBEPARI
Anaandika Robert Heriel
Ni ndoto ya Vijana wengi hapa nchini kuja mjini hasa Dar es salaam. Hilo sio ajabu kwani hata katika mataifa mengine hiyo ni kawaida. Kwa Kenya Vijana wengi hutamani Nairobi, Nigeria ni Lagos na Abuja, Misri ni Cairo, na majiji...
Hakuna mwanaume mkali mbele ya mwanamke mnyenyekevu na mtiifu. Kuna sababu nyingi zinazo pelekea wanawake kutoolewa na kuongezeka kwa idadi ya ndoa zinazo vunjika.
Katika uislamu lengo la ndoa sio kutafuta utajiri wala kusaidiana maisha, lengo la ndoa katika uislamu ni kupata utulivu na familia...
Aomba Marekani itafute namna ya kuitenganisha Afrika na vikwazo vyake kwenye ugomvi ambao hauhusu Afrika.....
Shukrani Museveni kwa kutusemea, jameni mafuta yamepanda bei Afrika kisa ubabe wa Mrusi kutaka kuonea kainchi kadogo jirani yake japo kamempa shida sana..............
“The problem here...
Karibu tuongee.
Jiunge na mjadala wa kuendesha biashara yako kwa mfumo wa digital kupitia smartphone yako kiganjani.
Sisi hapa tunatoa application ya simu inayosaidia wafanyabiashara kutunza rekodi zao za biashara kupitia simu
Kwa mawasiliano zaidi tuma email kupitia service@hesabu.app...
Maana kwamba HIMARS ni too advanced kutumika na wanajeshi wa Ukraine wenyewe bila kuwa na waelekezaji, ni zana ambazo zimesababisha majanga makubwa sana kwa Urusi na kubadilisha mkondo.
Mpaka sasa zimetumika kulipua maghala 50 za silaha za Warusi pamoja na maangamizi mengine, Warusi wanazisaka...
Moderator au wataalam wowote humu ndani naomba mnisaidie.
Frankly naamini kabisa Kuna mtu kadukuwa account yangu na anaifahamu vyema, obviously nimechukia sana hii issue, ni mtu wangu wa karibu sana It seems that kani-target na kafanikiwa kujua ID yangu humu maana sina MAZOEA ya Kulogout...
UTETEZI WA KIJINAI
DEFENSES IN CRIMINAL CASES.
Karibu tujifunze namna ya kujitetea katika makosa ya jinai kulingana na mazingira ya kesi husika kwa kusoma makala hii.
Imeadaliwa na
Mr. George Francis.
Email: mr.georgefrancis21@gmail.com
Zifuatazo ni baadhi ya aina za utetezi wa makosa ya...
Habari wakuu... Kwanza kabisa inatakiwa tuelewe kuwa kuna tofauti Kati ya kutengeneza pesa na kutafuta pesa. Mimi na wewe tunajua namna ya kutafuta pesa lakini watu matajiri wanajua namna ya kutengeneza pesa.
Tofauti ya kutengeneza pesa na kutafuta pesa ni kuwa pesa haitaki kuonwa wala...
UTANGULIZI.
Asilimia kubwa ya jamii inayotuzunguka imekuwa na uelewa mdogo juu ya watoto wenye usonji hivyo kupelekea watoto kunyanyasika na kutojua haki zao na pia kutopewa kipaumbele katika nyanja mbalimbali Kama upande wa afya na elimu pia.
MAANA YA USONJI/AUTISM.
Ni Changamoto inayompata...
Mfanya biashara ni mtu anaye fanya biashara kwa lengo la kupata faida kusudi kuu Ni kukuza kipato chake kwa Mahitaji yake
Wengi hunzisha biashara zenye ushinda katika maeneo ambayo watu wengine wanafanya biashara Kama yake ,Hii inapelekea watu wengi wanapo anzisha biashara zao kushindwa na...
Tuanze na hivi vitu viwili, kwanza:-
Ajira za kudumu zifutwe, na badala yake zipewe mikataba ya miaka 10
Hii itasaidia idadi ya watu wengi kuajiriwa
Wengi watakula keki ya taifa
Itaongeza ubunifu na ujenzi wa viwanda
Sekta binafsi zitakuwa kwa kasi
Uchumi utakuwa kwa kasi n.k
Watu waajiriwe...
Hapo awali alikuwa akisifia sana kwamba anajua mahaba na anakata mikato yote mpaka za samaki akipiga reverse!! Sasa nature imefanya yake, mshangazi wa watu kanasa mimba na kagoma kuitoa!.. kakomalia kuzaa na kwa vile jamaa hana mtoto bado lishangazi limemwambia atulie walee mtoto!.
Mchizi...
“Akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe”, Mt 4:6 SUV
Shetani alitumia Neno la Mungu kumjaribu Kristo kutenda dhambi. Pia lilikuwa ni jaribio la kumshawishi Yesu...
Habari,
Wadau naomba mwenye elimu ya kuzuia message zisionekane kwenye group maana nina group nyingi sana mpaka za kanisa lakini ni fujo nyingi sana nataka kuzuia popup kama kuna new message ili nisifungue nafanyeje au kufuta kabla kufunga au kublock nisipate message kwa group A au B.
Msaada...
Wazazi wanapitia changamoto ya watoto wao kutoolewa na kutooa kwa wakati waliotarajia wao, vijana wa kiume wakiulizwa kuhusu hili wana sababu nyingi juu ya hili.
Wapo watakuambia bado hawajaona wa kumuoa, wengine watasema wasichana wanachagua sana wanaume wa kuwaoa, wengine watakuambia muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.