Tanzania inabidi ijifunze namna ya kuendesha nchi na kuleta maendeleo kwa muda mfupi kutoka China

DENG XIAOPING

JF-Expert Member
Mar 6, 2022
2,398
2,593
Serikali inayoongoza taifa hili la TANZANIA na WATANZANIA wote inabidi tujifunze mambo mbalimbali ya faida kutoka China :- i, Ni kwa namna gani serikali inaweza kuiongoza nchi kiufasaha.

ii, Ni kwa namna wananchi wanapaswa kushirikishwa katika kuleta maendeleo ya taifa lao.

iii, Ni kwa namna gani serikali inaweza kuweka mipango ya muda mfupi na mrefu na kuweza kutekelezeka.

iv, Ni siri gani ya wachina kufanya kazi kwa bidii kwa manufaa ya taifa lao.

V, Njia iliyo bora ya kulifungua taifa kwa ajili ya kukuza uchumi.

Vi, Namna ya kuweza kufanya rapid development/economic revolution kwa miaka isiyo zidi 30.

Nb: Na mengine mengi ya faida kutoka China serikali yetu inapaswa kujifunza ili kuleta maendeleo ya taifa letu na kukomesha umasikini uliokithiri.
 
Nipo hapa Kwa msisi nenda burundi
 
Attachments

  • 20220901_191518.jpg
    20220901_191518.jpg
    34.5 KB · Views: 8
Yaani kaaa kwa kutulia mtoto mdooooogoooo, mnuka jasho ,kubwa jinga lisilo na akili a.k.a MNYONGE, sasa kwa taarifa yako kila mwaka v-8 za billions 600 zinaagizwa, V-8 MOJA NI MILLIONS 500 SAWA NA KITUO CHA AFYA

Zinajazwa mafuta full tank, full Ac na hakuna kuzimwa hata kama boss yuko bar na mrembo wa bongo movie wanakula manyama na kushushia na ma wine toka ufaransa

Kaa kwa kutulia weweeeee unalalamika tozo unadhani watoto wako watsomea kwenye nini bila tozo? madarasa yatajengwaje? vituo vya afya vitajengwaje?

Najua mimacho umetolea kwenye v-8 , yees ni lazima kila mwaka model mpya ikitoka waheshimiwa waipate sababu wanaumiza sana vichwa kuwatumikia nyie wanuka jasho msio na shukrani

Mmeletewa hadi wachezaji toka brazil, argentina kwenye team iliyoko singida lakini bado hamna shukrani, hela yenyewe ndogo inayovamiwa kwenye vi account vyenu mnaiona nyiiingi wenyeeewe, LAZIMA MUUMIE LA SIVYO SHULE NA ZAHANATI HAKUNA NAMBA NYINGINE YA KUJENGA

UNAIJUA V-8 WEWEEEEEEEE? MTOOOOTO M-LITTLE, MNUKA JASHO, KUBWA JINGA

v81.JPG

v82.JPG

tozovx.jpg
 
Mkuu umechanganya uzi nini ?
 
Mao Aliiweka nchi sawa -Cultural revolution.. na mengineyo ..
Akaja Deng Akafungua Nchi.. Kaka shin anauendeleza mwendo.
 
Yaani kaaa kwa kutulia mtoto mdooooogoooo, mnuka jasho ,kubwa jinga lisilo na akili a.k.a MNYONGE, sasa kwa taarifa yako kila mwaka v-8 za billions 600 zinaagizwa, V-8 MOJA NI MILLIONS 500 SAWA NA KITUO CHA AFYA

Zinajazwa mafuta full tank, full Ac na hakuna kuzimwa hata kama boss yuko bar na mrembo wa bongo movie wanakula manyama na kushushia na ma wine toka ufaransa

Kaa kwa kutulia weweeeee unalalamika tozo unadhani watoto wako watsomea kwenye nini bila tozo? madarasa yatajengwaje? vituo vya afya vitajengwaje?

Najua mimacho umetolea kwenye v-8 , yees ni lazima kila mwaka model mpya ikitoka waheshimiwa waipate sababu wanaumiza sana vichwa kuwatumikia nyie wanuka jasho msio na shukrani

Mmeletewa hadi wachezaji toka brazil, argentina kwenye team iliyoko singida lakini bado hamna shukrani, hela yenyewe ndogo inayovamiwa kwenye vi account vyenu mnaiona nyiiingi wenyeeewe, LAZIMA MUUMIE LA SIVYO SHULE NA ZAHANATI HAKUNA NAMBA NYINGINE YA KUJENGA

UNAIJUA V-8 WEWEEEEEEEE? MTOOOOTO M-LITTLE, MNUKA JASHO, KUBWA JINGA

v81.JPG

v82.JPG

tozovx.jpg
Kweli kabisa picha hii ni maelezo tosha kabisa
 
Hatutaki Ukomunisti tena nchini kwetu,
Africa ina asili ya mfumo wa soko huria tangu karne na karne. Ujamaa wa Nyerere uliopigiwa chapuo na rafiki yake Mao pamoja na Zhou Enlai ulifeli vibaya sana.
Serikali inayoongoza taifa hili la TANZANIA na WATANZANIA wote inabidi tujifunze mambo mbalimbali ya faida kutoka China :- i, Ni kwa namna gani serikali inaweza kuiongoza nchi kiufasaha.

ii, Ni kwa namna wananchi wanapaswa kushirikishwa katika kuleta maendeleo ya taifa lao.

iii, Ni kwa namna gani serikali inaweza kuweka mipango ya muda mfupi na mrefu na kuweza kutekelezeka.

iv, Ni siri gani ya wachina kufanya kazi kwa bidii kwa manufaa ya taifa lao.

V, Njia iliyo bora ya kulifungua taifa kwa ajili ya kukuza uchumi.

Vi, Namna ya kuweza kufanya rapid development/economic revolution kwa miaka isiyo zidi 30.

Nb: Na mengine mengi ya faida kutoka China serikali yetu inapaswa kujifunza ili kuleta maendeleo ya taifa letu na kukomesha umasikini uliokithiri.
 
Hatutaki Ukomunisti tena nchini kwetu,
Africa ina asili ya mfumo wa soko huria tangu karne na karne. Ujamaa wa Nyerere uliopigiwa chapuo na rafiki yake Mao pamoja na Zhou Enlai ulifeli vibaya sana.
Ulifeli kwa sababu nyie ni mazezeta sio ujamaa wala ubepari utakao faulu kwenu mazezeta msiokuwa hata na punje ya akili timamu.
 
Serikali inayoongoza taifa hili la TANZANIA na WATANZANIA wote inabidi tujifunze mambo mbalimbali ya faida kutoka China :- i, Ni kwa namna gani serikali inaweza kuiongoza nchi kiufasaha.

ii, Ni kwa namna wananchi wanapaswa kushirikishwa katika kuleta maendeleo ya taifa lao.

iii, Ni kwa namna gani serikali inaweza kuweka mipango ya muda mfupi na mrefu na kuweza kutekelezeka.

iv, Ni siri gani ya wachina kufanya kazi kwa bidii kwa manufaa ya taifa lao.

V, Njia iliyo bora ya kulifungua taifa kwa ajili ya kukuza uchumi.

Vi, Namna ya kuweza kufanya rapid development/economic revolution kwa miaka isiyo zidi 30.

Nb: Na mengine mengi ya faida kutoka China serikali yetu inapaswa kujifunza ili kuleta maendeleo ya taifa letu na kukomesha umasikini uliokithiri.
China walitumia nguvu sio blaa blaa kama hapa Tzn..

Yaani Serikali inaleta tozo harafu mataahira wachache eti wanjaza wengine upepo nao wanaumuka kama Amira,aisee hili jambo limenikera kweli kweli..

Miaka yote ya kabla ya Mwinyi na hata na ya Mkapa matumizi ya nguvu yalifanikisha maendeleo kadhaa ila hizi blaa blaa za Sasa hazikubaliki..

Ndio maana namuelewa Mwigulu aliposema yuko tayari kubakia peke yake na watu wa Iramba ilimradi asimamie anachokiamini..Tozo zipo kwa ajili ya maendeleo na si vinginevyo.
 
Tozo ziwepo Ila sio utitiri wa yozo usioeleweka , pia lazima wananchi wajulishwe tozo zinaenda kufanya nini , na kipi zime fanya , zime kusanywa ngapi na ngapi zinetumika [ mapato na matumizi ] hivi vitu lazima wananchi wajulishwe.
 
Mimi naunga mkono tozo Kwa ajili ya malengo mahsusi na ziwe na mfuko wake na sio kuingizwa kwenye mfuko mkuu wa serikali moja kwa moja na hivyo kushindwa ku trace specific expenditures zake..

Nasisitiza Mwendazake angekuwepo mungelipa ila sasa tuna Rais ambae anataka kufurahisha kila kundi..

Rais alifuta tozo harafu miradi ya Vijijini ikwame kama awali ajue hana kura yangu maana mimi ni WA kijijini najua machungu ya maisha ya Vijijini..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom