Wanawake 7 kumtaka mwanaume mmoja. Unyenyekevu na utiifu vyahusishwa katika ndoa

BAKIIF Islamic

JF-Expert Member
Jul 11, 2021
594
1,827
Hakuna mwanaume mkali mbele ya mwanamke mnyenyekevu na mtiifu. Kuna sababu nyingi zinazo pelekea wanawake kutoolewa na kuongezeka kwa idadi ya ndoa zinazo vunjika.

Katika uislamu lengo la ndoa sio kutafuta utajiri wala kusaidiana maisha, lengo la ndoa katika uislamu ni kupata utulivu na familia bora. Ikiwa utaoa au kuolewa kwa lengo la kusaidiana maisha elewa utapotea na ndoa itakushinda mapema sana, kwasababu hilo sio lengo la ndoa. Wakukusaidia maisha walikuwa ni wazazi wako na sio mwenza wako. Mume anawajibu wa kutunza familia yake (mke na watoto) nasio kusaidiana maisha na mke wake.

Unyenyekevu na utiifu ndio silaha kubwa mwanamke anatakiwa kuwa nayo dhidi ya mumewe. Baadhi ya Wanawake ni tatizo, Wanawake wengi wanapenda kuolewa lakini akishaingia katika ndoa anataka kutoka, sababu kubwa wanapenda maisha ya hali ya juu hawataki kuolewa na watu wa hali ya chini, ndio maana idadi ya wanawake wasioolewa inaongezeka siku hadi siku. Japokuwa swala la Mahari na harusi limewashinda vijana wengi kutokana na ukubwa wa gharama.

Wanawake wengi wanaangalia maisha ya walioolewa hayana ushuhuda mzuri, hivyo wanaona ni bora kutoolewa kwasababu asilimia kubwa ya wanandoa hawana furaha na ndoa zao, kutwa nikulia matatizo haya kwishi.

Vijana wengi wanashikwa na uoga kutokana na mambo ambayo yanakuwa yamewapata ndugu zao na wao kuona kama ndoa ni manyanyaso lakini wanasahu msingi wa furaha ya nyumba ni mwanamke mwenyewe.

Sababu kubwa ni mabinti wamekuwa wakichagua wanaume kiasi ambacho mwanaume anaye mtaka anapendwa na wengi, wakijitokeza wanaume ambao akiolewa nao hawezi kujuta anawakataa anawatafuta wakumliza halafu baadae anaanza kusema ndoa ni ngumu.

Mwanaume akipata pesa anawaza namna gani ataweza kumtunza mkewe na watoto wake lakini mwanamke akipata pesa anawaza namna ya kuishi bila mwanaume, tayari fikra zao zinakuwa tofauti. Mwanamke akipata pesa huwaza kwao (upande wa familia yake) na namna ya kujitawala yeye mwenyewe, kwasababu wengi wao hutaka uhuru usio na mipaka. Mwanamke akiwa na chanzo chochote cha mapato anaona hana haja ya kuwa na mume wa kudumu.

Pia wanawake wanapata ujasiri wanapoona wanawake wenzao wenye nyadhifa kubwa katika serikali, mashirika makubwa ya kimataifa na ndani ya nchi na pia wafanyabiashara waliofanikiwa hawajaolewa. Hivyo nao huona maisha mazuri bila ndoa yanawezekana.

Utakuta mwanamke anataka cheo cha baba ndani ya ufalme wa baba na akivae hata baba akiwepo ndani ya nyumba, huu sio utiifu na hakuna mwanaume anapendelea kitu kama hicho. Japokuwa ndoa za wasomi ndizo zinazoongoza kwa migogoro na wasomi wengi hawaolewi!

Imeandikwa katika Biblia takatifu kwamba "siku ile wanawake 7 watamwendea mtu mume mmoja wakisema tumekula, tumejivika, tuondolee tu aibu yetu, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee tu aibu yetu " (Isaya4:1).
Mambo kama haya ili yatimie lazima wasimbe wawe wengi na wanawake wazaliwe wengi kuliko wanaume, ili mwanaume awe adimu kama kumpata mfungwa wa kiume kwenye gereza la kike. Maandiko hayo yametimia, kwani nyakati za sasa ni nadra sana mwanaume kuwa na uke mmoja wa kuingilia.

Imeandikwa katika Qur'an tukufu kwamba ''Basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wanne. Na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi (oeni) mmoja tu'' Qur'an [4:3]

Haukuwa Uislamu ndiyo dini ya kwanza kuruhusu kuoa wake wengi na wala Uislamu haukuzua utaratibu huu.

Bali Uislamu umekuwa ndiyo dini ya kwanza kuratibisha na kuyawekea utaratibu mzuri masuala ya ndoa. Isitoshe Uislamu ukaliwekea suala la kuoa wake wengi masharti madhubuti na magumu, ambayo Mume analazimika kuyazingatia kabla ya kuongeza mke/wake.

Suala la kuoa wake wengi ilikuwa ni desturi ya mataifa mbalimbali kwa namna moja au nyengine, kama historia inavyokiri ukweli huu.

Historia inaonyesha kuwa hata hapa kwetu Tanzania, watemi (machifu) wa makabila mbali mbali walioa mke zaidi ya mmoja, watu wa kawaida wenye mali walikuwa na wake wengi, huu ni ukweli usiopingika.

Utaratibu huu wa kuoa wake wengi ulikuwemo pia katika vitabu vilivyotangulia
Mna ndani ya Taurati maandiko na matukio yanayouthibitisha ukweli huu na wala hamna ndani ya Injili aya/maandiko yanayoharimisha kuoa wake wengi.

........
Mada hii imedadavuliwa kutoka kwa wachangiaji wa BBC na kuletwa hapa na Taasisi ya Kiisilamu ya BAKIIF
 
Mm n mkristo ila nataman ndoa za kiislam maana hazina mambo mengi, na wengi wanaheshimiana
Ni kweli katika uislamu hakuna mambo mengi kunako swala la ndoa lakini changamoto bado zipo katika kupata mwenza bora na mwenye dini, kwasababu watu bado ni wale wale.
 
Katika kuoa unatakiwa kuchagua mwanamke mwenye dini awe mkristo basi hakikisha awe na dini, awe muislamu basi hakikisha anaifahamu dini. Utaishi kwa amani katika ndoa. Usioe mke kwa ajili ya kusaidiana nae maisha. Maisha unatakiwa kusaidiwa na wazazi wako nasio mkeo.
Nimekupata !
 
1. Ndoa ipo Kwa ajili ya kuondoa zinaa kwenye Jamii
2. Tendo la ndoa ndio msingi wa ndoa kwa mwanaume/mwanamke na hapa ndio utulivu wa nafsi unapatikana.
3. Wanaume pendeni wake zenu na wanawake heshimuni waume zenu.

Nje ya hapo hakuna ndoa ni uwanja wa vita.
 
Mwanaume akipata pesa anawaza namna gani ataweza kumtunza mkewe na watoto wake lakini mwanamke akipata pesa anawaza namna ya kuishi bila mwanaume, tayari fikra zao zinakuwa tofauti.

HIZI NDIO SBB ZA KUTA WATU WAOANE KWA MAKATABA TU.
WANAKUALIANA KUISHI KWA MWAKA MOJA, WATAONGEZA KAMA ITAONEKANA INA FAA

HII YA KUSEMA ETI MPAKA KIFO KITUTENGANISHE, HII NI KITANZI CHA KUNYONGA WANANDOA
 
Shukran sana
 
Uislamu haujaacha kitu, pia ndoa hiyo ya mkataba ina ufafanuzi wake katika uislamu
 
Hakuna mwanaume mkali mbele ya mwanamke mnyenyekevu na mtiifu. Kuna sababu nyingi zinazo pelekea wanawake kutoolewa na kuongezeka kwa idadi ya ndoa zinazo vunjika.

Katika uislamu lengo la ndoa sio kutafuta utajiri wala kusaidiana maisha, lengo la ndoa katika uislamu ni kupata utulivu na familia bora. Ikiwa utaoa au kuolewa kwa lengo la kusaidiana maisha elewa utapotea na ndoa itakushinda mapema sana, kwasababu hilo sio lengo la ndoa. Wakukusaidia maisha walikuwa ni wazazi wako na sio mwenza wako. Mume anawajibu wa kutunza familia yake (mke na watoto) nasio kusaidiana maisha na mke wake.

Unyenyekevu na utiifu ndio silaha kubwa mwanamke anatakiwa kuwa nayo dhidi ya mumewe. Baadhi ya Wanawake ni tatizo, Wanawake wengi wanapenda kuolewa lakini akishaingia katika ndoa anataka kutoka, sababu kubwa wanapenda maisha ya hali ya juu hawataki kuolewa na watu wa hali ya chini, ndio maana idadi ya wanawake wasioolewa inaongezeka siku hadi siku. Japokuwa swala la Mahari na harusi limewashinda vijana wengi kutokana na ukubwa wa gharama.

Wanawake wengi wanaangalia maisha ya walioolewa hayana ushuhuda mzuri, hivyo wanaona ni bora kutoolewa kwasababu asilimia kubwa ya wanandoa hawana furaha na ndoa zao, kutwa nikulia matatizo haya kwishi.
Vijana wengi wanashikwa na uoga kutokana na mambo ambayo yanakuwa yamewapata ndugu zao na wao kuona kama ndoa ni manyanyaso lakini wanasahu msingi wa furaha ya nyumba ni mwanamke mwenyewe.

Sababu kubwa ni mabinti wamekuwa wakichagua wanaume kiasi ambacho mwanaume anaye mtaka anapendwa na wengi, wakijitokeza wanaume ambao akiolewa nao hawezi kujuta anawakataa anawatafuta wakumliza halafu baadae anaanza kusema ndoa ni ngumu.

Mwanaume akipata pesa anawaza namna gani ataweza kumtunza mkewe na watoto wake lakini mwanamke akipata pesa anawaza namna ya kuishi bila mwanaume, tayari fikra zao zinakuwa tofauti. Mwanamke akipata pesa huwaza kwao (upande wa familia yake) na namna ya kujitawala yeye mwenyewe, kwasababu wengi wao hutaka uhuru usio na mipaka. Mwanamke akiwa na chanzo chochote cha mapato anaona hana haja ya kuwa na mume wa kudumu.

Pia wanawake wanapata ujasiri wanapoona wanawake wenzao wenye nyadhifa kubwa katika serikali, mashirika makubwa ya kimataifa na ndani ya nchi na pia wafanyabiashara waliofanikiwa hawajaolewa. Hivyo nao huona maisha mazuri bila ndoa yanawezekana.

Utakuta mwanamke anataka cheo cha baba ndani ya ufalme wa baba na akivae hata baba akiwepo ndani ya nyumba, huu sio utiifu na hakuna mwanaume anapendelea kitu kama hicho. Japokuwa ndoa za wasomi ndizo zinazoongoza kwa migogoro na wasomi wengi hawaolewi!

Imeandikwa katika Biblia takatifu kwamba "siku ile wanawake 7 watamwendea mtu mume mmoja wakisema tumekula, tumejivika, tuondolee tu aibu yetu, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee tu aibu yetu " (Isaya4:1).
Mambo kama haya ili yatimie lazima wasimbe wawe wengi na wanawake wazaliwe wengi kuliko wanaume, ili mwanaume awe adimu kama kumpata mfungwa wa kiume kwenye gereza la kike. Maandiko hayo yametimia, kwani nyakati za sasa ni nadra sana mwanaume kuwa na uke mmoja wa kuingilia.

Imeandikwa katika Qur'an tukufu kwamba ''Basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wanne. Na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi (oeni) mmoja tu'' Qur'an [4:3]

Haukuwa Uislamu ndiyo dini ya kwanza kuruhusu kuoa wake wengi na wala Uislamu haukuzua utaratibu huu.

Bali Uislamu umekuwa ndiyo dini ya kwanza kuratibisha na kuyawekea utaratibu mzuri masuala ya ndoa. Isitoshe Uislamu ukaliwekea suala la kuoa wake wengi masharti madhubuti na magumu, ambayo Mume analazimika kuyazingatia kabla ya kuongeza mke/wake.

Suala la kuoa wake wengi ilikuwa ni desturi ya mataifa mbalimbali kwa namna moja au nyengine, kama historia inavyokiri ukweli huu.

Historia inaonyesha kuwa hata hapa kwetu Tanzania, watemi (machifu) wa makabila mbali mbali walioa mke zaidi ya mmoja, watu wa kawaida wenye mali walikuwa na wake wengi, huu ni ukweli usiopingika.

Utaratibu huu wa kuoa wake wengi ulikuwemo pia katika vitabu vilivyotangulia
Mna ndani ya Taurati maandiko na matukio yanayouthibitisha ukweli huu na wala hamna ndani ya Injili aya/maandiko yanayoharimisha kuoa wake wengi.

........
Mada hii imedadavuliwa kutoka kwa wachangiaji wa BBC na kuletwa hapa na Taasisi ya Kiisilamu ya BAKIIF
Mada zenu hua hazinogi bila kuweka verse kadhaa za Bible.
 
Back
Top Bottom