US na washirika wake wajadili namna ya kutuma ndege za kivita Ukraine

mtarimbo

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,529
3,919
Marekani na washirika wake wanatarajia kukaa kikao kujadiliana namna ya kuweza kutuma ndege za kivita Ukraine. Kumbuka hitaji Hili Ukraine wamekua wakilihitaji kila siku.

Pia Ukraine anahitaji vifaru vya kisasa aina ya leopards kutoka German, Germany alionekana kusitasita ila kwa mafanikio waliyoonyesha madogo naona watakubali. Hii vita bado mbichi sana.

========

Washington, its allies discussing possible transfer of fighter jets to Ukraine​

Tue, September 13, 2022 at 8:26 PM·1 min read
Successful counter-offensive have bolstered the case for NATO countries and partners to provide Kyiv with lethal aid

Successful counter-offensive have bolstered the case for NATO countries and partners to provide Kyiv with lethal aid.

The senior U.S. defence official said Washington and its allies were discussing Ukraine’s longer term needs, such as air defences, and whether it might be appropriate to give Kyiv fighter aircraft in the “medium to longer term.”

Source: The guardian
 
ata wasipeleke ndege nyingi washushe F-35 mbili tu. wasipo shimda vita ndani ya week niulizeni mimi.
nimekaa palee
HIMARS kwa sasa inasemekana zipo kama 20 hivi ila balaa lake tunalisikia huko, hizi ndege hata haihitajiki kwenda nyingi. Ziende hata 10 tu, mapema saana Ukraine anakomboa mpaka vijiko vyake, sahani zake, bakuli zake n.k

Teknolojia za magharibi ni hatari.
 
Hahahahahaha eti mpaka vijiko na uma ngoja niongezee mpaka masefuria nayo yatarudi tu
 
Tatizo si kutuma ndege tatizo ni training. Ndege vita za ulaya zina different set of instruments tofauti na tech tofauti. Unless wamesha train pilots wa ukraine kwenye ndege zao ndio wapeleke .

Elewa nato wewe, wakati wa vita baridi tu, hawa jamaa walishapelekwa trainings siku nyingi! Hatari ya Hii vita haikuanza Leo!

Hivi unajua aliyemtoa Gadafi shimoni alikuwa Nia mtu wake wa karibu aliyeenda kusoma usa mda for one purpose: Gadafi.

Haya mataifa ni issue nyingine kabisa tofauti, yanajielewa sana!
 
Marekani na washirika wake wanatarajia kukaa kikao kujadiliana namna ya kuweza kutuma ndege za kivita Ukraine.
Kumbuka hitaji Hili Ukraine wamekua wakilihitaji kila siku.
Pia Ukraine anahitaji vifaru vya kisasa aina ya leopards kutoka German, Germany alionekana kusitasita ila kwa mafanikio waliyoonyesha madogo naona watakubali.
Hii vita bado mbichi sana .

Washington, its allies discussing possible transfer of fighter jets to Ukraine​

Tue, September 13, 2022 at 8:26 PM·1 min read
Successful counter-offensive have bolstered the case for NATO countries and partners to provide Kyiv with lethal aid

Successful counter-offensive have bolstered the case for NATO countries and partners to provide Kyiv with lethal aid
The senior U.S. defence official said Washington and its allies were discussing Ukraine’s longer term needs, such as air defences, and whether it might be appropriate to give Kyiv fighter aircraft in the “medium to longer term.”
Source The guardian
Ukraine ni no flying zone kwa ndege za ukrein wakipeleka ndege wapeleke na marubani na anti aircraft missiles maana s300 za Ukraine zishadunguliwa kitambo
 
Tatizo si kutuma ndege tatizo ni training. Ndege vita za ulaya zina different set of instruments tofauti na tech tofauti. Unless wamesha train pilots wa ukraine kwenye ndege zao ndio wapeleke .
Hilo lilishafikiriwa kitambo na huenda wanapotamka kuwa wanafikiria kupeleka ndio ma pilot wanamalizia mafunzo.
Lakini kwanini wazungu wambea hivi? Si wangepeleka kimya kimya?
 
Elewa nato wewe, wakati wa vita baridi tu, hawa jamaa walishapelekwa trainings siku nyingi! Hatari ya Hii vita haikuanza Leo!

Hivi unajua aliyemtoa Gadafi shimoni alikuwa Nia mtu wake wa karibu aliyeenda kusoma usa mda for one purpose: Gadafi.

Haya mataifa ni issue nyingine kabisa tofauti, yanajielewa sana!
Hao jamaa si ajabu wanajua fika jinsi vita itavyomalizwa Ukraine.
Usiku na mchana wanapanga mikakati ya kumalizia hii vita kwani ina hatari kwao moja kwa moja
 
Elewa nato wewe, wakati wa vita baridi tu, hawa jamaa walishapelekwa trainings siku nyingi! Hatari ya Hii vita haikuanza Leo!

Hivi unajua aliyemtoa Gadafi shimoni alikuwa Nia mtu wake wa karibu aliyeenda kusoma usa mda for one purpose: Gadafi.

Haya mataifa ni issue nyingine kabisa tofauti, yanajielewa sana!
Sio kwamba napinga. Hili jambo us alishatangaza tokea mwanzoni. Tatiz ni kwamba jeshi la anga la ukraine mainly wanatumia soviet erra airplanes. Fighter jets sio kama gari kwamba unaweza badilisha gari lolote na ukaendesha.

kama wana maruban ambao wamekuwa trained for european and us air crafts that good. Kama bado hilo litakuwa gumu kidogo. But not impossible
 
Tatizo si kutuma ndege tatizo ni training. Ndege vita za ulaya zina different set of instruments tofauti na tech tofauti. Unless wamesha train pilots wa ukraine kwenye ndege zao ndio wapeleke .
Nakumbuka Ukraine walishatuma watu kwenda US kwa ajili ya Training, na ukishasikia kuwa wanadiscuss kutuma ndege ni kwamba mzigo umeshaenda huo, hivyo wanajaribu kufanya diversion waone response ya Put in.
Link hii hapa:House authorizes training for Ukrainian pilots to use US aircraft
 
Hizo F35 hicho wanachokiita "stealthy" doesn't apply to RUSSIA technology ndio maana Uturuki aliponunua S400 US aligoma kumuuzia hizo TOYS
Israel wanazitumia na wako successful nazo. Lakin US bado hawajaweka hadharan fully capability ya hii ndege.
Why? sababu bado iko kwenye program mbali mbali za development na upgrades.

Kama stealth doesnt aplly how comes russia wako kwenye program za kutengeneza stealth airplanes?
 
Back
Top Bottom