nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji kontena la futi 20

    Habari zenu waungwana, nahitaji kontena la futi 20, bajeti yangu milioni 2.......Likipatikana leo itapendeza zaidi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji NGO ya kushirikiana nayo miradi ya maswala ya afya

    Habari JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mradi wa afya umebuniwa na kampuni ya kitanzania, ila utekelezaji wake ni lazima upitie shirika au asasi ya kijamii. Hivyo naomba mtu anayemiliki NGO au anafanya kazi kwenye NGO au ni mjumbe wa NGO au una mahusiano na NGO yoyote, inayoweza...
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji semi-trailer kupeleka mzigo Zambia

    Habari, Kama kichwa kinavyojieleza. Naomba mwenye gari anitafute PM. Ahsante
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji Monitor 24inch na kuendelea

    Nahitaji PC Monitor iwe na sifa zifuatazo iwe na minimum resolution 1920 x 1080 Refresh rate ya 75HZ IPS Display iwe added advantage Add Picha ikiwezekana! Nicheki kwenye wa.me?/0757497175
  5. JamiiForums Tanzania Nahitaji kijifunza film making

    Poleni na majukumu wakuu na habari zenu Kabla kusomea course ambayo nimesoma saiz nilitamani Sana kuwa director wa movie kitu ambacho kipo moyoni. Kilochoshindikana Mimi kusoma ni ndugu zangu wakanisema Sana kwamba unasoma vitu havina maana inatakiwa nisome kitu ambacho kipo sokoni, sikuwa na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini na Tume ya Madini inatumia sheria na kanuni zipi kukusanya mrabaha wa mawe na kuyapiga mnada?

    Ukisoma sheria ya madini ya mwaka 2010 na marekebisho yake sehem ya VI isemayo ROYALTIES FEES AND OTHER CHARGE. kifungu cha 87(1) inasisitiza royalty ya 6percentum kwenye dhahabu na madini mengine km yalivyoainishwa japo mengine kiwango chake kiko chini ya 6percentum. Kumezoeleka katika nchi...
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji Raincoats! (Makoti ya mvua)

    Kama heading inavyosomeka anaefahamu wapi naweza kupata makoti ya mvua kwa bei ya jumla (low price) anisaidie... Natanguliza shukrani.
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji mashelf used kwa ajili ya kajiduka kadogo

    Nahitaji mashelf used kwa ajili ya kajiduka kadogo tu. Mashelf ya mbao used namaanisha toka kwenye Duka lililofungwa labda. thanks.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nina mil 7 nahitaji gari IST

    Habari wadau, Naitaji gari ya kununua kwa mtu. Iwe Toyota IST. Cc 1290 (isiwe zaidi ya hizo) Isiwe imeguswa injini Namba D ndio itapewa kipaumbele. Siitaji dalali, sababu sina pesa ya dalali. Aliye na gari anitumie meseji kwenye Pm au anipe namba yake nitamtafuta...Kama gari ipo ata leo...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji Wheel Chair

    Wadau ninatafuta wheel chair nielekezeni maduka yenye bei ya kawaida. Nahitaji leo nataka kutoa msaada sehemu
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke wa Kuwa mchumba Kisha nimuoe

    Mimi ni kijana wa miaka 31, Engineer by professional,mrefu wa futi 6 kasoro nchi 1,body la kiume na very humble. Nahitaji mwanamke wa kuoa,sifa kubwa zaidi hasiwe na gubu,awe msafi na mwonekano wake uwe presentable,kama ni mweusi awe mweusi natural,kama ni mweupe awe mweupe natural. ANGALIZO...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji Kuunganisha Smart Tv (Hisense) na Simu (Samsung)

    Ndugu wana Jf Nahitaji msaada wenu jinsi ya kuunganisha Smart tv na Simu, yaani ninachokifanya au ninachoangalia kwenye simu kionekane kwenye Tv (Mirrow view). Simu yangu haina Screen cast or smart view kwahiyo nashindwa ku Connect. Ila nasikia unaweza kutumia njia ya Wi-Fi so kwa anayefahamu...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji PC Nzima inayofanya kazi kwa Tsh 120,000 nipo Dar

    Habari wakuu, Nina 120,000 cash hapa mfukoni nahitaji PC nzima inayofanya kazi uhakika. Kama kuna mtu umu anauza naomba anichek 0672037238 Nipo Dar.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuwa mchepuko umri 20-25

    Nahitaji mwanamke ambae atakuwa mchepuko niko tayari kuwa nampa hela ya mtumizi 500k kila mwezi awe na vifutavyo *mweupe mwenye tako *awe anajua mapenzi *awe mrefu na pia ajue kuendesha gari
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji kampuni zinazoweza kunitengenezea kreti za vinywaji kwe bei nafuu

    Habari wan JF. Kuna yeyote anayeweza kunipa connection ya kampuni yoyote inayotengeneza kreti za vinywaji hapa Tanzania?
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji LED TV inch 32 kwa bei ya jumla

    wakuu nahitaji piece 5 ya led tv ziwe star x OG, RISING, SOLAR MAX BEI IWE 290,000 - 300,000 KAMA UNAZO NICHECK 0629 945 110
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua basi zuri kutoka Dar kwenda Nairobi

    Habari waheshimiwa, Naomba kujua basi gani ni zuri kwa sasa kutoka Dar kwenda Nairobi, Kenya. Naomba pia muambatanishe na nauli zake. Pia naomba kujua utaratibu na gharama za kupata passport ya muda "ya makaratasi" maana passport yangu ya kitabu imeisha muda wa matumizi na nimepata safari ya...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji wadau/wawekezaji katika madini na gemstone kuna project hapa ya kuiendeleza

    Habari, Kwa wale wadau wanaojihusisha na biashara ya madini leo nina jambo hapa nahitaji tuliangalie. Kumekuwa na uhaba au kutokuwa wazi kwa biashara hii ya madini na vito vya thamani mpaka kuonekana kanakwamba ni biashara ya utapeli au ushirikina wakati ni biashara kama biashara zingiaze...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika tufungue Zahanati

    Ndugu wanajanvi mimi ni mkazi wa DSM Kigamboni, nahitaji kupata mshirika ili tuweze kwa pamoja tufungue dispensery, mimi nitatoa eneo na majengo. Tuwasiliane kwa namba 0713851751
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji kuweka meno bandia

    Habari zenu mabibi na mabwana, Meno yangu ya chini yameoza yaani chini ya meno yanakama ukungu,sasa naona yananiletea show mbaya wakati wa kuongea na kucheka, nataka kuweza ya bandia, je ni hospital ama clinic gani nzuri na bei zao ziwe chini. Naombeni msaada wenu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…