Nahitaji Mwanamke umri miaka 20 hadi 27

Activation

Member
May 29, 2021
5
45
Habari wana bodi! Mimi ni mtanzania umri wangu ni miaka 31, nimejiajiri, NAHITAJI mwanamke umri miaka 20 hadi 27 awe anajua nini maana ya familia pia awe mcha dini sichagui kabila rangi wala dini Elimu kuanzia yoyote.

Ahsanteni naomba kukamilisha

Mwenye nia anakaribishwa.
 
N-handsome

JF-Expert Member
Jan 23, 2008
2,420
2,000
Habari wana bodi! Mimi ni mtanzania umri wangu ni miaka 31, nimejiajiri, NAHITAJI mwanamke umri miaka 20 hadi 27 awe anajua nini maana ya familia pia awe mcha dini sichagui kabila rangi wala dini Elimu kuanzia yoyote.

Ahsanteni naomba kukamilisha

Mwenye nia anakaribishwa.
Sema unahitaji msichana 20 -24 au mwanamke 25 - 27
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom