Nahitaji jaw crusher mashine ya kokoto

Charlie chaplin

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
337
500
Wadau naomba kama Kuna mtu Ana jaw crusher ya bei nzuri. Mashine ya kutengeneza kokoto nahitaji kama unayo au pengine unaweza kuniuzia au kukodisha nitashukuru
 

Rkz5

Member
Oct 9, 2018
13
45
Habari kaka nashukuru kwa maelezo yako..
Kwa upande wangu na shauri ungeagiza direct kutoka alibaba Wanazo za kila aina na pia wapi maagent wa kitanzania ambao wapo China wanakusafirishia kwa njia ya salama bila ya shida yoyote,,
Laa kama unahisi itakuwa tabu na nzunguko nenda mnazi mmoja kwenye maduka ya vifaa vya kilimo yupo mdosi anazo itategemea na capacity unayo taka ila kipindi nilivyoulizia zipo za mil 4 na nyengine 7mil ila unaongea nae.

Naimani nimekupa mwanga kidogo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom