x - mas
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 915
- 598
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Inasemekana "Malkia Wa Ubembe" ni moja ya dini zetu za asili za kiafrica hata kabla ya ujio wa dini za kisasa za wazungu na waarabu. Dini hii wafuasi wake ni watu kutoka kigoma Tanzania na watu wa mashariki mwa congo.
Ningependa kujuzwa mambo yafuatayo kuhusu dini hii:
Nawasilisha

- Kwanini wakoloni walishindwa kuifuta dini hii kama walivyofanya kwa dini zingine za kiafrica kabla ya kuanzisha dini zao?
- Nawezaje kumpata muhumini wa dini hii ili nijue utaratibi wa kuabudu?
- Je, nimakabila gani yenye waumini wengi wa dini hii?
- Kwanini dini hii imeitwa malkia wa ubembe