Natafuta mwanamke wa kuoa, tukielewana taratibu za kuoana zitafuata

Albus3116

Member
Jul 20, 2021
6
8
Naitwa Jumanne
Nina umri wa miaka 29
Mkazi wa Ifakara morogoro, Kwa Sasa napatikana Mwanza kikazi. Ni mrefu kiasi. Mweusi kiasi. Sio mnene.

Nahitaji Mwanamke aliye tayar Kwa ajili ya kuanzisha familia. Umri kuanzia miaka 18-27.
Awe mweusi kiasi.
Mnene kiasi.
Dini yoyote.
Kabila lolote.

Aliye mvumilivu na mwenye uelewa wa maisha. Kwa aliye tayar tuwasiliane
Kwa Gmail jmayunga32@gmail.com
Au 0753112138
Tafadhari awe serious.
 
Kila la kheri mkuu, ila jaribu na kuzungukia kanisani Kwa zumaridi unaweza opoa chombo kikali sana pale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom