Natafuta mume wa kunioa, awe HIV+

Habari mimi mdada mwenye umri wa miaka 39 ni muajiriwa, nahitaji kuwa na mwenza awe na miaka 41 hadi 50.

Awe HIV+, Mkristo mwenye hofu ya Mungu.

Aliye tayari na serious aje PM tuzungumze.
All the best. Japo am not sure kama upo serious au la.
 
Si atakuongezea vidudu? Awe negative ili umgawie vidudu, mgawane. Maisha yaendelee kwa upendo. Negative akikubali ujue ana upendo wa dhati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom