PichaNaombeni ushauri kwa wale wanaozijua gari za Toyota corona, maana kuna mtu anaiuza na ni namba B, nipo kweny process ya kuilipia na kuifanyia matengenezo mdg mdg.
Naombeni ushauri kwa wale wanaozijua gari za Toyota corona, maana kuna mtu anaiuza na ni namba B, nipo kweny process ya kuilipia na kuifanyia matengenezo mdg mdg.
Engine zake zipo bado ., ukienda shaurimoyo kariakoo unapata Ila Kwa oda ingawa mpaka hiyo engine inakufa sio KAZI rahisiSema hivi hizi engine bado ziko kweli incase ikizingua? Au ndio hadi uweke special order japan!
Gari ngumu hizi engine roho za paka kama Volvo
Kwani uongo lakiniKuna mijitu itakuja hapa itakuambia ni Bajaj iliyochangamka, usiisikilize hiyo, fuata moyo wako chukua chuma hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyetengeneza mwenyewe kafa,kwa nini hiyo injini isife?Hio gari nakushauri chukua engine haifi hiyoo