Ninahitaji chumba cha kupanga

maksaidy

Member
Feb 11, 2023
6
8
Habari zenu ndugu zangu wa jf 🖐, Mimi shida yangu kubwa iliyonileta hapa ni uhitaji wa chumba cha kuishi maeneo ya kigamboni ila kisiwe mbali sana na kivuko cha feri.

Sababu iliyopelekea kuja kuomba huku ni baada ya kuhangaika bila mafanikio, ila nina uhakika wakupata chumba moja kwa moja kutoka kwa wahusika au waliopanga sehemu yenye uhitaji wa mpangaji 🙏 ila dalali kama ukija labda unisaidie bure tu (sina pesa ya udalali) na ukizingatia mimi mwenyewe nataka kuishi huko kwa ajili ya Masomo tu 😞.
 
Habari zenu ndugu zangu wa jf , Mimi shida yangu kubwa iliyonileta hapa ni uhitaji wa chumba cha kuishi maeneo ya kigamboni ila kisiwe mbali sana na kivuko cha feri.

Sababu iliyopelekea kuja kuomba huku ni baada ya kuhangaika bila mafanikio, ila nina uhakika wakupata chumba moja kwa moja kutoka kwa wahusika au waliopanga sehemu yenye uhitaji wa mpangaji ila dalali kama ukija labda unisaidie bure tu (sina pesa ya udalali) na ukizingatia mimi mwenyewe nataka kuishi huko kwa ajili ya Masomo tu .
Tafuta Tungi utapata ila dalali lazima
Mpe hata 20-30 anakutafutia
 
me nlikua naishi ferry sahizi tungi,ila bila dalali urahangaika sana labda upite nyumba kwa nyumba,na kuna wenye nyumba wana madalali wao hakupi chumba hadi uje na dalali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom