Nahitaji mwanamke aliyezaliwa kati ya 1982 mpaka 1970

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
859
1,012
Nimechoka kuwa mwenyewe, nahitaji mzee mwenzangu wa kuja kujenga na kupanga maisha. Sitaki vidada vya mjini vya hovyo maana nimechoka stress za mapenzi.

Hivyo nahitaji MWANAMKE aliyezaliwa kati 1970 mpaka 1982. Aliyetayari na mimi akuje inbox au hata kama una jirani yako njoo PM uchukue namba zangu umpe.

Vigezo. Awe na shepu mzuri sanasana awe na kalio kubwa sipendi vibibi vimodo.

Pia awe na uwezo wa kuja nilipo nauli nitamtua sipendi matapeli.
Pesa iko ya kutosha mkoa wowote.

Mimi.
Nina 28 years ni mfupi mweusi.
Vigezo zaidi pichani.

🤣🤣pia hata wewe ndugu msomaji mwanajamvi mwenzangu unaweza nisaidia pia, kama unamuonaona mmama yupo tu mtaani na hana tabu fanya kwa kuniibia namba zake nitumie PM nitatililika mwenyewe. Na sitakutaja nitakuja kukushukuru baadae.🤣🤣👋🙏
 
daah mie sina aisee, mie team mafuta, kwanza mie domo halichezi
nimekupa mtu wa kumcheki, mcheki Hamisi, yuko Tabata
 
Back
Top Bottom