Chumba, Sebule, Choo na Jiko Arusha Moshono mpaka Siara nahitaji.

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,959
2,177
Wadau habari zenu.

Nahitaji nyumba tajwa hapo juu kwa budget ya 150k mpaka 180k iwe ndani ya fence luku ya kujitegemea tafadhali.

Ikiwa kuanzia Moshono Corner/Kilimani mpaka Siara itapendeza zaidi.

Natanguliza shukran kwenu.
 
Back
Top Bottom