Rafiki yangu mpendwa,
Huwezi kutoka nyumbani kwako na kwenda popote kama huna mwongozo unaoufuata.
Hata kama haujauandika mahali, unajua kabisa utapita wapi na wapi ndiyo ufike kule unakotaka.
Na hata unapokuwa njiani na kukutana na njia nyingine, hutahangaika nazo kwa sababu unajua njia...