Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

Feb 12, 2020
66
84
Ndugu zangu wana JF,

Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani (New York) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.

So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii

hasa ninapotua tu Airport.
 
Karibu Big ila unakuja kipindi cha baridi ndio inaanza anza. Wakati mzuri ni Kuanzia May mpaka September hali ya hewa kama bongo. Utamaduni tofauti kuna mambo yatakushangaza sana achana nayo angalia mambo yako. Pia ni mojawapo ya mji ghali duniani. Karibu sana
 
Ebhana kule ni nchi yenye kila aina ya Uchafu hapa Duniani.

Maana kila biashara uijuayo wewee kule ndiko mahala pake ni wewe tu!

Sasa kama ni hivyo usije jihusisha na Magenge ya ulaghaifu na ukatengeneza connection utapotea.

Kubwa kuliko lote ni tabia ya Ubwabwa ndo usiseme usipo kuwa makini watakupa pesa taam wakufokoe mtaro.

Bro watch out.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Umenikumbusha miaka Zaid ya mitano nyuma nilipoenda marekani kwa mara ya kwanza, nilienda kwa mwaliko wa shirika na nilikua peke yangu kutoka tanzania..bas nikaingia kwenye ndege sijui chochote na kwenye gar hata sioni mbongo mwenzangu yaani niko peke yangu dah! Lakini sikua na wasiwasi sana zaid ya furaha tu! Kimbembe ni tulifika sehem tunataka kubadilisha ndege asee mpaka leo huwa nachekaaa akili ikanijia niulize wale polis mle ndani.

Sasa jaman ugeni huu..naenda kumuuliza na Kiingereza changu cha kuunga nimesahau sasa ntasema marekan? Aah polis hajui marekan kimoyo moyo nasema sasa hili jina la marekani lilitokea wap? Sasa niseme amerika? Amerika si bara hatonielewa aah nikaachana naye nikaanza kufata watu..baahat nzuri kulikua na muda mrefu kabla ya kubadili ndege ndiyo nikaenda kusoma kwenye zile board zao nikaona napotakiwa kwenda..kiufup ni kama vile kulikua tu na roho mtakatifu ananiongoza.

Mpaka baadae tunashuka airpot ya D.C ndiyo nikakutana na mbongo tukasalimiana sasa pale ndiyo tunatoka nje ya uwanja na vimbwa vyao vile vinatunusa dah! Nikachukua tax hadi hotelini lakini jina la marekan lilinisumbua sana kwakwel...tulikaa wiki mbili siku ya kurudi tena niko peke yangu uwanjani mle kuna sehem ya kupanda zile tren za ndani heehee nasikiliza tren imetaja kituo nikadandia chap..kutika ndan aah mbona tena kama siyo hii nikashuka fasta kufika chini tu nikauliza nikaambiea ndiyo hiyohiyo zena chap nikarukia kwa mlango mwingine jaman siku ile nilitetemeka uwiiii..ngoja niishie hapa lakin mkuu we nenda tu utafika tu wala hutopotea.
 
Karibu Big ila unakuja kipindi cha baridi ndio inaanza anza. Wakati mzuri ni Kuanzia May mpaka September hali ya hewa kama bongo. Utamaduni tofauti kuna mambo yatakushangaza sana achana nayo angalia mambo yako. Pia ni mojawapo ya mji ghali duniani. Karibu sana
sawa Mkuu
 
naelewa Mkuu
Ebhana kule ni nchi yenye kila aina ya Uchafu hapa Duniani.

Maana kila biashara uijuayo wewee kule ndiko mahala pake ni wewe tu...!

Sasa kama ni hivyo usije jihusisha na Magenge ya ulaghaifu na ukatengeneza connection utapotea.

Kubwa kuliko lote ni tabia ya Ubwabwa ndo usiseme usipo kuwa makini watakupa pesa taam wakufokoe mtaro.

Bro watch out.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
pole sana Mkuu

lakini nasikia taxi drivers wengi ni scammers so, sijui naliepuka vipi hili

na mm same tu na ww nipo peke yangu na naenda just tour sio kwa mwaliko wwte
Umenikumbusha miaka Zaid ya mitano nyuma nilipoenda marekani kwa mara ya kwanza, nilienda kwa mwaliko wa shirika na nilikua peke yangu kutoka tanzania..bas nikaingia kwenye ndege sijui chochote na kwenye gar hata sioni mbongo mwenzangu yaani niko peke yangu dah! Lakini sikua na wasiwasi sana zaid ya furaha tu! Kimbembe ni tulifika sehem tunataka kubadilisha ndege asee mpaka leo huwa nachekaaa akili ikanijia niulize wale polis mle ndani.

Sasa jaman ugeni huu..naenda kumuuliza na Kiingereza changu cha kuunga nimesahau sasa ntasema marekan? Aah polis hajui marekan kimoyo moyo nasema sasa hili jina la marekani lilitokea wap? Sasa niseme amerika? Amerika si bara hatonielewa aah nikaachana naye nikaanza kufata watu..baahat nzuri kulikua na muda mrefu kabla ya kubadili ndege ndiyo nikaenda kusoma kwenye zile board zao nikaona napotakiwa kwenda..kiufup ni kama vile kulikua tu na roho mtakatifu ananiongoza.

Mpaka baadae tunashuka airpot ya D.C ndiyo nikakutana na mbongo tukasalimiana sasa pale ndiyo tunatoka nje ya uwanja na vimbwa vyao vile vinatunusa dah! Nikachukua tax hadi hotelini lakini jina la marekan lilinisumbua sana kwakwel...tulikaa wiki mbili siku ya kurudi tena niko peke yangu uwanjani mle kuna sehem ya kupanda zile tren za ndani heehee nasikiliza tren imetaja kituo nikadandia chap..kutika ndan aah mbona tena kama siyo hii nikashuka fasta kufika chini tu nikauliza nikaambiea ndiyo hiyohiyo zena chap nikarukia kwa mlango mwingine jaman siku ile nilitetemeka uwiiii..ngoja niishie hapa lakin mkuu we nenda tu utafika tu wala hutopotea.
 
US baby, karibu Maryland huku, by the way karibu US cha msingi hakikisha documents zako za kusafiria zipo poa, wale jamaa wako very serious katika watu kuingia nchini mwao.

Kuhusu safari ni ndefu kidogo almost masaa 26 kwa ethiopia airlines yaani kutoka dar mpka addis ababa to Washington to New York safari ndefu kidogo hivyo jiandae na kuvimba miguu.

Mimi huwa ni muoga sana hivyo tukishapewa zile blanket huwa nalala hadi muda wa kula nikiamshwa maana ile safari ya kuvuka atlantic ocean sio mchezo.

Ukifika hakikisha unakuwa na hela tu nzuri ya kutumia hapa na pale, by the way US ni pazuri sana independeza ukae hata mwezi
 
Ahsante sana

Naomba unieleweshe kuhusu usafiri

I mean public bus/taxi

Maana nimesikia walanguzi wapo wapo hasa kwenye taxi

Also, unanishauri niwe na tour guider? Au mm mwenyew tu inatosha?
 
Jiandae kujikinga na baridi hasa nyakati za asubuhi na jioni. Ni jiji zuri sana lenye kila aina ya vikorombwezo. Ukiona watu barabarani wanakimbia angalia wanakimbilia direction ipi ili nawe uanze kukimbilia kipande hiyo mara nyingi huwa ni fyatu kishaanza kumiminia watu risasi. Ni jiji lenye gharama kubwa sana ya maisha hivyo ujiandae vizuri na lina watu wengi sana na magari pia ni mengi sana Dar ni cha mtoto.
 
Back
Top Bottom