Biashara ya dhahabu ni fursa kubwa, lakini ili kufanikiwa ni l azima ujue taratibu za kisheria, wapi pa kupata dhahabu, na mbinu za kuhakikisha unanunua dhahabu halisi. Katika sehemu hii, utajifunza hatua zote muhimu za kuanzisha na kuendesha biashara ya dhahabu kwa ufanisi.
3. MAHITAJI YA...
Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26
Kama bado hujafanya uamuzi wa nini usome chuo kikuu, makala hii ni mwongozo sahihi kwako. Inakuletea orodha ya kozi bora ambazo si tu zina nafasi nzuri ya ajira, bali pia zinakuandaa kwa kazi katika sekta mbalimbali...
Laptop Yako Inakaribia Kufa – Huu Ndio Mwongozo wa Kuiokoa Mapema (Step-by-Step Maintenance Guide)
Watu wengi wanakumbwa na balaa moja: laptop inazima ghafla au kupungua speed kila siku.
Na mara nyingi siyo hardware mbovu – ni matunzo duni.
Leo nakupa mpango wa msaada wa dharura – step-by-step...
Habari wanajamii wa JamiiForums,
Napenda kuwajulisha kuwa nimeandika kitabu kipya kwa lugha ya Kiswahili kinachoitwa “Mbinu Bora za Ufundi wa AC”kilichoandikwa na mimi Mohamedy Joseph Kamau
Kitabu hiki:
Kinafafanua kwa ufasaha mbinu za kisasa za matengenezo, usakinishaji na uendeshaji wa...
WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima.
Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani...
Ni kweli kama uchaguzi ulikuwa mzuri na Mbowe alisimamia Demokrasia. Je hao G.55 walipatwa na nini. Njaa au kukosa maono ya maisha yao ya kisiasa. Asante Boni Umewasaidia Watanzania Bravo hotuba yako ina impact sana.
MWONGOZO WA KUHAMA CHAMA
Katika msimu wa Ligi yoyote, huwa kuna wachezaji kuhama club zao. Hata kwenye siasa, dini na hata ndoa, imeanza kuzoeleka watu kuhama au kuachana. Napendekeza Mwongozo wa kuhama:
1. Unapohama, tueleze uzuri wa unakokwenda, si ubaya wa unakotoka. Tayari tunajua utokako...
Katika dunia ya kidijitali, biashara zinahitaji maandishi mazuri ili kuvutia wateja. Copywriter ni mtu anayebobea katika kuandika maandishi ya kushawishi watu kuchukua hatua fulani — kama kununua bidhaa, kujiandikisha kwa huduma, au kujifunza zaidi kuhusu chapa fulani. Ikiwa unataka kujifunza...
Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu Bitcoin, Ethereum, au USDT lakini hujui waanzie wapi, basi blogpost hii ni kwa ajili yako.
✅ Crypto ni...
Wanajukwaa habari ya jumamosi.
Naombeni wenye uzoefu wa KUUZA MAYAI mnipe uzoefu nataka kuanza na mtaji wa 2M niwe na flem naombeni changamoto zake pia bei ya kununua sokoni na KUUZA
Mwongozo Bora wa Kununua Laptop ya Utendaji wa Juu (2024/25)
Na MALEKO GJ| #ElimuYaKompyuta
Kununua laptop mpya ni jambo linaloweza kuwa la kusisimua, lakini pia linachanganya kutokana na wingi wa chaguo sokoni.
Ikiwa unahitaji laptop ya utendaji wa juu kwa ajili ya gaming, kuhariri video...
Utangulizi
Urasimishaji wa biashara nchini Tanzania ni hatua muhimu kwa wajasiriamali wanaotaka kukuza shughuli zao na kuhakikisha wanaendesha biashara zao kwa mujibu wa sheria. Kwa mtaalamu wa ushauri ambaye anapata wateja wengi na mapato yanayoongezeka, kurasimisha biashara sio tu kunampa...
Jinsi ya Kutengeneza Pesa na YouTube — Mwongozo wa Kuanza
YouTube ni moja ya njia bora za kutengeneza pesa mtandaoni, lakini wengi hawajui pa kuanzia. Kama unatafuta njia ya kuanza kutengeneza kipato kupitia YouTube, basi makala hii ni kwa ajili yako!
1. Chagua Niche Yenye Fursa
Sio kila video...
Kwa zaidi ya miongo mitatu, mjadala wa Katiba mpya umekuwa gumzo kuu katika siasa za Tanzania, huku wanasiasa kama Tundu Lissu wakijaribu kuwashawishi wananchi kuwa bila Katiba mpya, maendeleo hayawezekani. Wanapiga kelele kwamba mabadiliko ya Katiba ndiyo yatakayotoa mwanga wa ustawi wa Taifa...
Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya eneo.
Gharama ya kuunganisha umeme ni shilingi 320,960 kwa...
gharama
gharama nafuu
kupitia
kuunganisha
kuunganisha umeme
mamlaka
mwongozo
nafuu
shirika
shirika la umeme
tanesco
tanzania
udhibiti
umeme
umeme tanzania
wananchi
Tarehe 20 Januari 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) unaoathiri wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kaskazini-Magharibi mwa nchi Kilomita 1450 na 1068 kutoka Dar es Salaam na Arusha kwa mtawalia.
Kufuatia mlipuko huu...
Wadau,
Kuna huu mwongozo ulitolewa na Katibu Mkuu TAMISEMI mwaka 2021. Bati mbaya haupo kwenye tovuti ya wizara. Nitaupata wapi?
Kama mtu ana nakala yake tafadhali nitumie.
Shukrani sana.
Kutokana na vitendo vya utekaji, utesaji na pengine mauaji kushamiri katika Nchi hii, nakusudia kwenda The Hague(ICC) kuwashtaki baadhi ya wenye Mamlaka ili waiambie Mahakama ni kwa nini haya mambo yanayokea na wao ambao ndo wenye dhamana ya kuyazuia, wapo kimya?
Habari wana JF, sitotaka kufanya uzi huu uwe mrefu sana; najaribu kufupisha ili nisikuchoshe wewe utakaechukua muda wako kusoma.
Hakuna biashara utakayoanza leo ambayo haijawahi kufanywa; naamini hilo linahusu sekta zote. Swali muhimu ni, umejiandaa vipi kushindana na wale walioanza mapema? Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.