mwongozo

  1. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru ICC-Mahakama ya Kimataifa kwa kunijibu na kunipa mwongozo wa kumshitaki Rais kuvunja Katiba ya Nchi

    ICC WAPO KIKAZI KWELI. Asante Sana Mahakama ya Kimataifa-ICC kwa mwongozo mlionipa baada ya kuwatumia malalamiko yangu juu ya Rais kuvunja KATIBA na Mateso niliyoyapata gerezani. Nafanyia marekebisho nakuwarejeshea Tena.@Don Nalimison.
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo jinsi ya kupata lebo na vikopo vya plastic vyenye mifuniko

    Asalam aleykum jamiya Nataka kuanzisha kajishughuli kadogo ka nyumba ka utengenezaji wa vipodozi vya akina dada vitumiavyo matunda na mbogamboga na visivyo na kemikali kwa utaalamu adhimu na wa kipekee nilio jifunza wakati nikiwa africa ya magharibu. -Mafuta ya kuondoa pimples kwa haraka and...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji Bora wa ng'ombe wa maziwa

    Kumekuwa na maswali kwenye jukwaa hili kuhusu ufugaji wa ng'ombe wa maziwa ,Mimi ni mfugaji wa muda mrefu nimeamua nitoe mchango wangu juu ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. Hapa nchini Kuna aina tatu maarufu za ng'ombe wa kisasa wa wa maziwa pia Kuna aina nyingine ila katika mizunguko yangu...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Wanachama wa CHADEMA unaopaswa kufuatwa huu hapa

    Hapa ndipo penye kila kitu kuhusu uadilifu wa wanachama .
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais CCM adhibitiwe kuhusu suala la matumizi ya lugha ya Kisukuma. Mwongozo wa lugha wanaounadi TBC ufuatwe

    TBC katika taarifa yao kwa maelekezo kutoka Tume ya Uchaguzi ya Taifa wametoa maangalizo mengi lakini mimi moja ambalo nimeliona kama mgombea Urais kupitia CCM analikiuka sana. Lile tangazo linasema kuwa kama mgombea atakuwa jukwaani anamwaga sera basi atumie lugha ya Kiswahili tu, kama...
  6. Kelvin 04

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwongozo wa ufunguaji wa kampuni

    Naombeni msaada wa kuandaa business plan, memorundum kwa ajiri ya kufungua kampuni ya ujenzi class 7...mawazo pia yanakaribishwa
  7. J

    JamiiForums Tanzania CORONA VIRUS: Ushauri kwa Wafanyabiashara na Watoa Huduma katika Sekta ya Utalii

    Anga la Tanzania limefunguliwa takribani wiki 2 zilizopita na nchi kuruhusu Watalii kuingia nchini. Utaratibu wa watalii kuingia nchini utahusisha upimaji wa joto wakiwa Uwanja wa Ndege na kisha kuruhusiwa kuendelea na shughuli zao za kitalii. Njia hii ya upimaji wa joto pekee ndiyo...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali ni wakati wa kutoa mwongozo kuhusiana kuhusu ulipaji wa ada shuleni baada ya tamko la Rais shule kufunguliwa

    Kwa miezi mitatu mpaka mitatu na nusu wanafunzi wamekuwa nyumbani kutokana na janga la Corona. Na sasa masomo yamekuwa resumed tunaamini yataendelea na mwishoni mwa mwezi wa 11 au katikati ya mwezi Dec kutakuwa na likizo mpaka Januari. Shule ni Huduma. Tunalipia huduma ambayo ktk miezi hiyo...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako tunaomba utoe tamko kuhusu mwongozo wa elimu baada ya shule kufunguliwa, kuna shule wamebuni michango yao

    Katika shule moja iliyopo wilaya ya Magu, ambayo ni Sekondari ya kata watoto wanatakiwa kupeleka kilo kumi za mchele kila mmoja, hayo ni maelekezo waliyopewa watoto kutuambia wazazi. Shule ina wanafunzi wastani wa 2000×10 = kg 20,000/= na pesa tsh.2000@ mwanafunzi ambazo ni tsh. 4,000,000/=...
  10. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mwongozo wa Taifa katika kuendesha Shughuli za Utalii nchini wakati huu wa janga la Corona

    Serikali imezindua rasmi mwongozo wa uendeshaji wa Shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la Corona na kuwataka wadau sekta hiyo kuzingatia matakwa yaliyo katika mwongozo huo ili kulinda usalama wa Watanzania na watalii wanaowasili nchini kutembelea vivutio vilivyopo. Akizindua...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa mwongozo wa uendeshaji wa taasisi za kidini, madhehebu yasiyo na utaratibu rasmi yaonywa

    SERIKALI imetoa waraka wa mwongozo mpya kuhusu uendeshaji wa taasisi za kidini nchini wenye mambo tisa ya kuzingatia. Pia, imeonya na kuyabana zaidi madhehebu yanaoibuka bila kuwa na mifumo mizuri ya kitaasisi, yanayotumia usajili wa wengine na wanaoruhusu usajili wao kutumiwa bila kufuata...
  12. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala katika JamiiForums

    Wakuu, Mwongozo huu tunauweka hapa ili wadau mtoe maoni kwani inawezekana wengi hamjausoma. Una mabadiliko kidogo lakini umekuwepo muda mrefu. Bandiko kuu lisilojadiliwa lipo hapa: JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala Unaweza kutoa maoni yako ili...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Watetezi TV yapigwa faini ya Tsh. Milioni 3 kwa kosa la kutomiliki na kutochapisha sera na mwongozo kwa watumiaji

    Baraza la ushindani wa kibiashara (FTC) jijini Dar es Salaam limeihukumu televisheni ya Watetezi inayotoa maudhui yake kwa njia ya mtandao (Online TV) adhabu ya shilingi milioni 3 kwa kosa la kutokuwa,na kutochapisha sera na mwongozo kwa watumiaji (Online Policy) jambo linalodaiwa kuwa kinyume...
  14. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Kujifukiza kiholela kutaleta athari kubwa baada ya Covid 19: Wizara ya Afya itupe mwongozo wa mchanganyiko sahihi haraka

    Kwenye kipindi hiki cha covid 19 kumekuweko na shuhuda na maelezo mbalimbali kuhusu aina za michanganyiko ya viungo, majani au mitishamba ya kutumia kwa kunywa au kujifukiza na wakati mwingine maelezo yamekuwa yakipishana. Michanganyiko ambayo imekuwa ikitajwa sana na wengi inajumuisha vitu kama...
  15. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa kufanyia kazi Nyumbani wakati huu wa Mlipuko wa Corona

    Kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona unaoendelea, moja ya njia kuu za kuzuia maambukizi ni watu kujitenga. Hivyo mataifa mbalimbali yanawataka watu wake kukaa nyumbani wakati huu wa mlipuko, ili kuepuka kuambikiwa au kuwaambukiza wengine. Kwa kuwa watu wengi wanakaa majumbani, kazi inabidi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Kamwelwe atangaza mkakati wa kupambana na ugonjwa wa Coronavirus kwenye vyombo vya usafiri

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi a mawasiliano ameitaka mamlaka ya udhibiti usafiri wa ardhini ( Latra) kukutana mara moja na kutoa mwongozo juu ya idadi ya abiria wanaoruhusiwa kusimama ndani ya daladala na Mwendo kasi ili kupunguza msongamano. Waziri Kamwele ameyasema hayo mjini Dodoma alipokuwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania CORONA: RC Makonda atoa mwongozo kwa wananchi wa mkoa Dar es Salaam na wageni

    Mkuu wa mkoa wa DSM ametoa mwongozo rasmi wa kudhibiti uwezekano wa virusi vya Corona kuingia mkoani Dsm. Mambo muhimu ni pamoja na vyombo vya usafiri kutojaza abiria kupita uwezi wake kisheria. Vyombo vya kunawia kuwekwa katika stendi zote na majumbani Kuepuka kusalimiana kwa mikono na...
  18. AMARIDONG

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

    MIGOMBA - KANUNI ZA KILIMO BORA Hapa Tanzania kilimo cha migomba kimekuwepo Kwa miaka mingi. Kilimo hiki ni maarufu sana kwa sababu zao la ndizi limekuwa likitumika kama chakula kikuu kwa baadhi ya mikoa kama vile Kagera, Kilimanjaro na Mbeya na hivyo kulifanya muhimu, kufuatia mazao ya...
  19. MindKey

    JamiiForums Tanzania Nimekuja, je ni nani atakayenifanyia orientation?

    Nahitaji mwongozo wenu, jukwaa gani nielekee moja kwa moja?
Back
Top Bottom