LATRA bado mmelala; hamjatoa mwongozo wa wazi nauli jijini Dar es Salaam. Wasafirishaji wanaamua nauli zao

Cheology

JF-Expert Member
Jun 25, 2022
323
500
IMG_20220706_070922_241.jpg

Haya mambo yanakera Sana. Kesi na magomvi kwenye daladala yanazidi na tumechoshwa na mambo haya..

Hawa wavuta bangi mliowapa mandate kujiamulia bei ni upumbavu mkubwa. Sio Daladala moja tu gari kibao.

Huyo hapo mwenye gari number hiyo anakatisha route; pili nauli ulioneshwa hapo si wanayolipa abiria.

LATRA/Sumatra bado mmelala sana. Hamjatooa mwongozo wa wazi nauli jijini Dar es Salaam. Gari zinajiamulia nauli Yao. You guys must be kidding!​


Tuamkeni
 
1.
Punguza hasira uandike vizuri

2
Fafanua sasa wameongeza njia ipi na mnalipa shi ngapi badala ya hiyo iloandikwa hapo.

3

Tumia lugha moja tutakuelewa.
 
Hao Latra ni wahujumu uchumi toka serikali ilipotoa ruzuku mwezi wa sita mafuta yakashuka bado tuliendelea kulipa nauli ya bei wakati yamepanda. Nadhani kuna namna kati yao na wamiliki wa vyombo vya usafiri, wametuibia sana
 
Back
Top Bottom