Siandiki haya kwa ushabiki au kwa kufurahia ila naandika ili niwakumbushe kuwa ukatili wa Polisi ukitamalaki basi hakuna aliye salama.
Kuna taarifa kuwa Da Carol Ndosi ameshikiliwa kituo Cha Polisi Oysterbay huku akinyanyaswa na "kushambuliwa" na Askari kwa kile kinachodaiwa na yeye mwenyewe...
Mpaka leo Voda wanahangaika hawajapata mkurungenzi wa kudumu, kila wanayemteua anageuza na kurudi kwao baada ya muda mfupi, na wameshindwa kumpata mwenye sifa za maana ndani ya Tanzania.
Walipomteua Mkenya ile awamu ya tano kwa zile chuki zao alikataliwa tena kwa makelele mengi.
Sasa kuna huyu...
Je wazanzibari wananufaika na fursa za bara Au wabara wananufaika na fursa za Wazanzibari?
Kipindi hiki nimeona wabara wakilalamikia sana Wazanzibari mpaka kufikia hatua wanatamani katiba ya Zanzibar ibadilishwe ambayo imekuweko miaka na miaka.
Kwa mfano suala la umiliki wa Ardhi watanganyika...
Mada inajieleza.
Naseeb anaheshima Sana. Na kama unajua unapokuwa na heshima watu wanakuheshim naazia Kwa wema. Wema anavyoheshimiana na mond ni ishara ya kwanza, na anapozaa wanae na mwenza wake wanabaki kuheshimiana, juzi kati huyu binti ambaye amejaaliwa heshima na ni mpole (Jina ) alikuwa...
Baada ya vita vya pili vya dunia, Urusi na Japan hawakutia saini mkataba wa kumaliza vita, ina maana mpaka leo hayo mataifa mawili yako vitani licha ya kuishi kwa amani, wamekua wakiongea na kuelewana kimsingi na kwa namna ya kusaini mkataba.
Sasa juzi Urusi imekwenda kuvamia nchi ya watu...
Habari wana JF
Watanzania, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
Nitajadili mambo makubwa mawili
1. Vita 'kamili' ya III ya dunia.
2. Namna Tz inavyofanyiwa ujasusi
Hoja No. 1
Kwa wasiojua ni kwamba vita kamili ya 3 ya Dunia imekwisha kuanza. Pole kwa wale wanaosema kuna...
Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua.
Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa...
Natamani sana somo la ustaarabu lianze kufundishwa Shule za msingi huenda inaweza kusaidia!
Natamani sana watu wajifunze kufurahi au kuhuzunika pasipo kuathiri wengine!
Hapa ninamaanisha watu watambue umhimu wa kufanya mambo yao, ikabaki ya kwao pasipo kuathiri watu wengine bila sababu...
Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai.
Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha...
Dodoma. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amepinga majibu ya Serikali kuhusu kauli kuwa hawana taarifa ya agizo la Mahakama kuhusu kurudisha mifugo ya wafugaji kama ilivyoamuliwa na mahakama.
Mpina amesema inashangaza na kusikitisha kuona kuwa, Mahakama ilishamuru wafugaji warudishiwe mifugo yao...
Aliyefiwa na mke au mume; ni baada ya muda gani ndio anaruhusiwa kuoa/kuolewa?
Maisha ya ndoa huwa ni matamu sana, hasa kwa wale wachache waliobahatisha kupata mtu sahihi.
Inafikia kipindi, wanakuwa na mfanano fulani; unaweza kuwa wa sura, kuongea, au tabia.
Inapotokea mmoja wapo anafariki...
Yes he broke your heart.
Naam yawezekana aliuchubua moyo wako ,mithili ya mchinjaji anayetayarisha nyama kwa ajili ya walaji wenye uchu.
Na yawezekana kwa sababu umeonesha kila dalili ya mfadhaiko na malalamiko chungu nzima juu ya kile unachokiita ufedhuli kama sio unyama wake dhidi yako.
Yes...
Iko hivi nina rafiki yangu mmoja ambaye anaendesha magari daladala za hiace isela to magu. sasa kwa uzuri aliniambia mapema kuwa kuna dada kakosea namba kutoka segerema na anamchatisha sana hivyo hadi anaenda kupaki gari usiku bado mawasiliano yalikuwa ni moto sana.
Jamaa alipofika kwake...
Ahlan wa sahlan
Ukiwa kama mwanadamu lazima kuna mambo mabaya umeyapitia katika maisha yako ambayo hutamani mwanadamu mwingine (mwanao,ndugu n.k) aje kuyajua na kuyapitia.
Binafsi sitapenda mtu yeyote hususani wanangu aje kujua kuhusu Kamari (kubeti).
Why? Ni ulevi ambao mtu akishauonja ni...
Ni mwendelezo wa mateso kwa wananchi.
=======
Hali ya hewa katika Jeshi la Polisi bado haijakaa sawa baada ya hivi karibuni kushutumiwa katika matukio kadhaa ambayo yanaonekana kuwa kinyume cha utaratibu wao, leo tena Machi 14, Gazeti la Mwananchi limeandika juu ya sakata jipya.
Santus...
Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine
Jaji Tiganga alisimama kidete kama mhimili huru kusema Mbowe na wenzie wana kesi ya kujibu waanze kujitetea kutokana ushahidi uliopatikana
Mhimili wa Serikali ukiwa huru ambao ndio washitaki...
Kanye West tangia ameachwa amechanganganyikiwa kabisa na juzi mahakama imempa ushindi kim kwa mama officially yupo single .
Kanye anatishia kumuua huyo boyfriend wa Kim .
Je. wewe unaweza tishia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.